The Bosslady herself, Mama Tee wa ukweli looking great as usual! Pendeza sana muke ya baba Tiffa ? ……..❤❤
Category Archives: Uncategorized
Nani kama bibi
The story of a married woman
MARRIAGE ADVICE
LOVE, NOT WORDS WINS AN ARGUMENT
The story of a married woman: My husband is an Engineer by profession, I love him for his steady nature, and I love the warm feeling when I lean against his broad shoulders. Three years of courtship and now, two years into marriage, I would have to admit, that I am getting tired of it. The reasons of me loving him before, has now transformed into the cause of all my restlessness. I am a sentimental woman and extremely sensitive when it comes to a relationship and my feelings, I yearn for the romantic moments, like a little girl yearning for candy. My husband, is my complete opposite, his lack of sensitivity, and the inability of bringing romantic moments into our marriage has disheartened me about love. One day, I finally decided to tell him my decision, that I wanted a divorce.
“Why?” he asked, shocked. “I am tired, there are no reasons for everything in the world!” I answered. He kept silent the whole night, seems to be in deep thought with a lighted cigarette at all times.
My feeling of disappointment only increased, here was a man who can’t even express his predicament, what else can I hope from him? And finally he asked me:” What can I do to change your mind?” Somebody said it right, it’s hard to change a person’s personality, and I guess, I have started losing faith in him.
Looking deep into his eyes I slowly answered : “Here is the question, if you can answer and convince my heart, I will change my mind, Let’s say, I want a flower located on the face of a mountain cliff, and we both are sure that picking the flower will cause your death, will you do it for me?” He said :” I will give you your answer tomorrow….” My hopes just sank by listening to his response.
I woke up the next morning to find him gone, and saw a piece of paper with his scratchy handwriting, underneath a milk glass, on the dining table near the front door, that goes….
My dear, “I would not pick that flower for you, but please allow me to explain the reasons further..” This first line was already breaking my heart. I continued reading. “When you use the computer you always mess up the Software programs, and you cry in front of the screen, I have to save my fingers so that I can help to restore the programs.
You always leave the house keys behind, thus I have to save my legs to rush home to open the door for you. You love traveling but always lose your way in a new city, I have to save my eyes to show you the way.
You always have the cramps whenever your “good friend” approaches every month, I have to save my palms so that I can calm the cramps in your tummy. You like to stay indoors, and I worry that you will be infected by infantile autism. I have to save my mouth to tell you jokes and stories to cure your boredom.
You always stare at the computer, and that will do nothing good for your eyes, I have to save my eyes so that when we grow old, I can help to clip your nails,and help to remove those annoying white hairs. So I can also hold your hand while strolling down the beach, as you enjoy the sunshine and the beautiful sand… and tell you the colour of flowers, just like the color of the glow on your young face…
Thus, my dear, unless I am sure that there is someone who loves you more than I do… I could not pick that flower yet, and die.. ” My tears fell on the letter, and blurred the ink of his handwriting… and as I continue on reading…
“Now, that you have finished reading my answer, if you are satisfied, please open the front door for I am standing outside bringing your favorite bread and fresh milk…
I rush to pull open the door, and saw his anxious face, clutching tightly with his hands, the milk bottle and loaf of bread…. Now I am very sure that no one will ever love me as much as he does, and I have decided to leave the flower alone…
That’s life, and love. When one is surrounded by love, the feeling of excitement fades away, and one tends to ignore the true love that lies in between the peace and dullness.
Love shows up in all forms, even very small and cheeky forms, it has never been a model, it could be the most dull and boring form.. . flowers, and romantic moments are only used and appear on the surface of the relationship. Under all this, the pillar of true love stands… and that’s our life… Love, not words win arguments…
PRAYER: “Lord, you fill us with all good things. Fill my heart with the love, peace, joy, and righteousness of your kingdom. May the fire of the Holy Spirit inflame my heart with an eager longing for you and for your return.”
“They will laugh at your struggles and admire your success”
Hot shot of the day
Anajiita K-Lynn Mengi mke wa Mwenyekiti mtendaji wa IPP Dr. Mengi ? utani pembeni kapendeza sanaaaaaa! Yani mno!…….. Jamani mie sijui kuendesha bicycle japo napenda ?? tatizo ni hivyo viti vya bicycle kha! Vidogoje sasa, yani not fair at all kwa sisi wenye “big back yard” if you know what I mean ?? Anyway, she’s gorgeous!
Sister sister!
my New Yorkers wakiwa Cleveland, Ohio kwenye min vacation yao. Looking fabulous as usual …….. Truly love my New Yorkers’ spirit they know how to have fun!….. Enjoy ladies
Hongera serikali ya Dr. Magufuli
Mdogo wangu Magreth hakutaka kupitwa na hii historia ya kufunguliwa kwa daraja la Kigamboni hivyo ameendesha mpaka darajani na kupiga picha ??? eti anadai Kigamboni sasa kama Texas ??? …….. Hongera sana serikali ya Dr. JP Magufuli kwa kukamilisha ujenzi huo. Najua ulianza wakati wa Dr. Kikwete lakini umemalizika wakati wako hivyo nawapa hongera wote. Sasa sisi wa maeneo ya Kigamboni, New International city, Kibada n.k mambo mswano kabisaaaa ? ………Asante little sis kwa picha ?
Kutoka Facebook
Leo kutoka Facebook nimependa sana hii picha ya mwanangu (RHS) na rafiki yake Bupe (LHS) . Wamependeza sana. Hapo ni Western Michigan University, Kalamazoo, Michigan. Mercy alimsindikiza Bupe kwenye party ya wanafunzi walio ingia kwa Deans list! Congratulations Bupe, keep it up! Sky is just another platform go dance on it!
Mr and Mrs Kakoschke
Ni muda mrefu kidogo sijawaweka hawa love birds humu ? Mr and Mrs Kakoschke katika ubora wao! Wamependwza sana………..Please tembelea blog yao ijulikanayo kama www.maisafari.com ukajionee dunia katika picha. Pia wa follow kwa IG kwa jina la Zawadi Kakoschke au BintiMalaika ili ujionee na kujichagulia nguo nzuri kwa bei karibu na bure ?
Hongera Nuru
Hizi picha nimetumiwa sijapewa maelezo yoyote zaidi ya bibi harusi anaitwa Nuru. Lakini naona kama hili ni kanisa la Wasabato la Utegi,Rorya. Naomba tu niwape pongezi na kuziwakilisha picha kama zilivyo:- Hongera sana Nuru na mume mwema kwa kufunga pingu za maisha. Nawatakieni maisha marefu yaliyojaa upendo wa dhati na furaha ya kweli! Mkabarikiwe sana, mdumu katika Bwana! mlipendeza mno Nimekumbuka kitu! Nuru aliishi nyumbani kwetu KekoJuu wakati anasoma chuo lakini mimi sikubahatika kumuona! ……….. kwa mara nyingine, hongereni sana!
Blessing na nduguze
Blessing akifurahia weekend na nduguze huko KekoJuu ……hapa akiwa na cousin-sister wake Rhoda Igogo……… Btw, Blessing naye jina lake lingine ni Rhoda. Wamepewa jina la marehemu bibi mzaa baba ?pendeza sana mdogo wake mimi hapa. Ubarikiwe kwa kwenda kusalimia ndugu zako mmependeza sana. Ila sasa hapa sijui kama huyu ni Oliver au Mage ?? mmekuwa sana nashindwa watofautisha ? jamani Blessing si kwa jicho hilo ati ?? huyo aliyetizamwa lazima aweweseke si mchezo ?? halafu hiyo ‘cut walk’ ya nguvu sana ?? haya be blessed as your name ❤
A word of wisdom
So true! Katika hii dunia kama bado ungali unaishi usije hata siku moja ukamdharau binadamu mwenzio! Kama unataka mfanyie dharau na kejeli zote MAITI kwani haito badilisha kitu aliye kufa amekufa kazi yake na mambo yake yote yamemalizika! Lakini mwanadamu mwenye pumzi ya uhai si mwenzako kwani hakuna hajuae ya kesho! “Be nice to the nerd, you might end up working for them”!! Actually most nerds tend to be very creative!
Tamu Flavors
My wifi is cuter than yours ? my darling wifi looking good with her nephew. The Delaware people, love it!……….btw nawaombeni to LIKE her Facebook page ya Tamu flavors. Yeye anafanya biashara ya catering ya African food. Anapendelea kuviita “Authentic Kenyan Dishes”. Mlioko maeneo ya Delaware basi nakuomba majaribu kula vyakula vyake. Mtashuhudia wenyewe jinsi vilivyo vitamu. Asante sana
Things come with title “babu / baba”
yap! Ukitaka title kama baba / kaka/ babu / mama n.k lazima ukubali na mambo yote yanayo kuja nayo. Wahenga wanasema “ukipenda boga sharti upende na uwa lake”! …….. Nakumbuka Latoya Jackson (dada yake na marehemu Michael Jackson) alitaka ku adopt mtoto. Wakampa test ya ku babysit watoto wawili (2 babies) kwa masaa 12 ili kujua kama kweli yupo teyari kuwa mama. Ndani ya masaa mawili akasema she is surely not ready ??? akasema its too much work she can’t do it ?? (tazama video ?)…………….. (Pichani ni babu na wajukuu zake pamoja na mwanae wote wanataka kukaa na babu )
??? hapa kavalishwa kofia na Blessing lol! Umeneja mwisho getini nyumbani ni baba / babu tuu ??? hapa na mjukuu wajina wake, ni mtoto wa mdogo wangu. Mdogo wangu alikuwa ananyonya kidole sana. Amenyonya mpaka anamiaka karibia 8 ndo akaacha. Naona mtoto wake naye anatabia hiyo ?? I hope itakwisha soon
Ujumbe: respect wazazi wetu haswa single parents. Wahenga walisema “kulea mimba si kazi kazi kulea mwana”! I did it one time, I’m done with it! Its time to do me ??
R.I.P Mr Violence!
Kwakweli wanawake wenzangu acheni kuishi maisha ya kunyayasika si vizuri kiafya, kiakili, kimwili, wala kiroho!………… Yani mimi naona nimekuwa muoga hata wa kuongea na mtu mwenye dalili za unyanyasaji, roho mbaya ya kikatili, au mnafaiki! Siwataki hao watu anywhere close to me!! It’s 21st century say #R.I.PMr.Violence….!
#TBT
It’s #TBT na leo I’m throwing back my darling daughter akiwa na miaka sita (6 yrs old) mwaka #2000 kwenye harusi ya kaka yangu. Yeye alikuwa mmoja wa flower girls. Harusi ilifungwa #TemekeSDAChurch na marehemu Pastor Joshua Onyango. Sherehe ilifanyika #PTAHallSabaSaba. Hiyo nyingine ni mwaka huu siku birthday yake 04/02/2016 kama ulipitwa na post hiyo bonyeza hapa mwanangu (kulia) na mdogo wake bibi harusi (kushoto). ?
LB: Designer of the year 2016 acceptance speech!
LB inaendelea kunguruma kwa nguvu sana ndani ya jiji la Atlanta, Georgia! Wiki iliyopita alitunikiwa kuwa Mwanamitindo wa Mwaka 2016 kutoka kwa Black Women In Jazz & The Arts Awards Association yenye makao makuu yake ndani ya Georgia State. Ms. LB aliongea kwa kuelezea kuwa mapenzi yake na mambo ya fashion yametoka kwa marehemu mama yake mzazi. Pia kipaji chake cha ubunifu wa nguo kilionekana na mumewe Mr. Mali Kimesera! Atoa asante nyingi sana kwa mumewe. Wakati huo huo alitoa shukran zake za dhati kwa muanzilishi wa Black Women In Jazz pamoja na msemaji wa shirika hilo kwa kutambua na kuthamimi kazi yake mpaka kuona kuwa anafaa kupokea tunzo hiyo. Ukumbuke kuwa tunzo hiyo wanapokea watu maarufu sana hivyo kwa LB kutunukiwa tunzo hiyo si tuu fahari kwake bali kwetu sisi wote Watanzania kwani hii inazidi kuikuza jina la Tanzania nje ya inchi! (Tafadhali tazama video).
Mimi binafsi kama Mtanzania mwana diaspora na rafiki wa Linda, nampongeza sana tena sana! Namuombea mafanikio makubwa zaidi ya haya. Hivi nitaanzaje kuacha kumshukuru mume mwema! Mungu akubariki sana shemeji yetu wa ukweli. Uzidi kupenda dada yetu naye aka kutangaze dunia nzima ikujue wewe mume mwema! ……. Kama ulipitwa na hii post kuhusu Hottest And Best Couple Of The Year 2016 bonyeza hapa Kwa mara nyingine tena hongera sana LB! Well deserved!
Bonus video of LB
Hot shot of the day
I love this pic! Love the dress, the shoes, em legs Omg! Too cute! Pendeza sana ❤❤❤
The Amish
Hapa Marekani kuna watu wajulikanao kama Waamish. Hawa watu hawatumii umeme, hawa endeshi magari (wanatumia puna na farasi kama usafiri), hawaendi shule hizi za Kawaida kwani wana shule zao wenyewe ndani ya vijiji vyao. Wala hawatumii technology yoyote ile ya kisasa, na vyakula vyao ni organic tuu ambavyo wanalima wao wenyewe. Nguo wanazo vaa hushona wao wenyewe ambazo ni style zile za kizamani sana na huwa hazibani yani ni kubwa kubwa.
Wanatabia ya kuishi nje ya mji kwa mfumo wa vijiji. Familia zao huwa hazitengani kwani nyumba zao huwa ndefu kama treni! Kila mtoto wa kiume akiowa anaongeza chumba chake kwenye mstari. Nilipo kuwa naishi Wichita nilibaatika kuwatembelea kwenye makazi yao. Kwakweli unaweza usiamini kuwa ni Marekani. Chakushangaza ni kuona Wamarekani wakiwashangaa Waafrika ambao bado wanaishi katika mazingira kama haya wakati hapa kwao pia wapo!!
Anyway, hizi picha ni za rafiki yangu Janet Kisyombe. Yeye na ndugu zake walibahatika kuwatembelea hao Waamish siku chache zilizopita. Ni watu ambao ukikaa nao utabaki unashangaa sana. Kama mtu anatumia moto wa kuni kufanya nyumba iwe na joto wakati wa baridi ambapo angeweza kuweka umeme na kurahisisha kila kitu! Asante sana Janet kwa picha. Ubarikiwe
Father and daughter moment
Nimependa sana hizi picha za ‘Fathers and daughters moments’ kushoto ni Mr. Obama na binti yake Malia na kulia ni Mr. Kimesera na binti yake Brenda. Wamependeza sana Wow! too cute! I support Linda’s msg ☝ Yes, It does! wabarikiwe wababa wote!