Category Archives: Uncategorized

A word of wisdom

As we grow older, and hence wiser, we slowly realize that wearing a $300. or $30.00 watch   – – – – – – they both tell the same time…

Whether we carry a $300 or $30.00 wallet/handbag – – – – – – –  the amount of money inside is the same;

Whether we drink a bottle of $300 or $10 wine – – – – – – – – – –  – -the hang over  is the same;

Whether the house we live in is 300 or 3000 sq.ft. – – – – – – – – loneliness is the same.

You will realize, your true inner happiness does not come from the material things of this world.

Whether you fly First, Business or Economy class, if the plane goes down – – – – – – –you go down with it………

Therefore, I hope you realize, when you have mates, buddies and old friends, brothers and sisters, who you chat with, laugh with, talk with, have sing songs with, talk about north-south-east-west or heaven & earth, …. That is true happiness!!

Five Undeniable Facts of Life

1. Don’t educate your children to be rich. Educate them to be Happy. So when they grow up they will know  the value of things not the price.

2. Best awarded words in London … “Eat your food as your medicines, Otherwise you have to eat medicines as your food.”

3. The One who loves you will never leave you because even if there are 100 reasons to give up he or she will find one reason to hold on.

4. There is a big difference between a human being and being human. Only a few really understand it.

5. You are loved when you are born.   You will be loved when you die. In between, You have to manage! If you just want to Walk Fast, Walk Alone!  But if you want to Walk Far, Walk Together!

 Six Best Doctors in the World

1. Sunlight

2. Rest

3. Exercise

4. Diet

5. Self Confidence and

6. Friends

Maintain them in all stages of Life and enjoy healthy life.

Author Unknown ?

Cheka uwongeze siku za kuishi

FB_IMG_1458608375822Mgabe amesema kweli kabisa. Na picha inaonyesha kuwa mtu ambaye anatamani watoto wa shule lazima ana matatizo ya akili!!

Parents Day!

IMG-20160321-WA0059Jana ilikuwa siku ya wazazi shuleni kwao na Blessing. Hivyo baba alikwenda kutimiza wajibu wake ? IMG-20160321-WA0058watoto wakisikiliza kwa makini IMG-20160321-WA0054Wazazi wanachangia sana maendeleo ya watoto kwa kuonyesha kuwajali kwa kuchukua muda kukaa nao hata kama wako busy kiasi gani. Sio lazima ukae au ushinde na mtoto wako muda wote, bali ni nini unafanya naye wakati ukiwa free ndiyo inajalisha. The quality time you spend with your children is what matters not the time span. Kuna wazazi wako nyumbani 24 / 7 na bado watoto wao wako ‘homeless’!! Yani watoto hawapati quality time na wazazi wao. Watoto hawapewi wala hawa fundishwa upendo na wazazi wao. Watoto wana lelewa na video games au wana lelewa na mahouse girl wakati wazazi wanaishi hapo hapo nyumbani. Mzazi hata hajali wakina nani wanao mzunguka mwanaye hata mtoto anafanyiwa unyanyasaji hajui. Mtoto si mdoli (toy)! Mtoto ni mama / baba, mke / mume na kiongozi wa taifa la kesho. Je wewe kama mzazi umemuandaa vipi kushika nyathiwa hizo?! Tafakari na uchukue hatua. IMG-20160321-WA0055

Kagua mazingira kabla ya kuondoka!

FB_IMG_1458313806744Wapendwa, naomba nikumbushe swala la kukagua mazingira ya tulipo kabla ya kuondoka. Kwa mfano angalia hiyo picha juu jinsi mtoto alivyo jificha. Sasa mtu kama hatojali kukagua mazingira yake kabla ya kuondoa gari inamaana mtoto huyu anaweza poteza maisha yake.

Haya mambo yameshatokea sana. Na ndio maana nakumbushia. Hata kama wewe hauna mtoto hakikisha kuwa unaangalia kabla ya kuondoka kwani huwenda mtoto wa jirani yako yupo kwenye hatari. Tena hakikisha unasema / uliza kwa sauti ili hata kama mtoto hajakuona basi atasikia sauti ikiuliza kama kuna mtu.

Kagua hata majiko (umeme / gas) ndani ya nyumba yako kabla ya kuondoka uwezi jua haswa kama unawatoto ndani. Usiweke vitu ovyo ovyo kwani ni hatari sana. Kwa mfano dawa au hela za chumba ambazo mtoto anaweza meza. Kuwa sensitive na mazingira kwa usalama wa watoto na pia wako mwenyewe.

Kutoka Facebook

FB_IMG_1458631070268-1Nimependa sana nywele za Neema. Naona watu wengi siku hizi wameamua kuwa na nywele fupi. Kwakweli bado tunapendeza sana na vipili pili vyetu, inaonyesha kujikubali na kujiamini. Ubarikiwe sana Neema.

Hello Single ladies!

FB_IMG_1458608780054

Single Ladies, why seek already made men! Why don’t you be your husbands backbone! Trust me you can make your man be who you want him to be, that’s when you are his strength. Michelle Obama always knew that Barrack was going to be a great man someday and held him firmly! She did not meet him with the most xpensive cloth or car or whatever; why don’t we start supporting our men, inspire them, tell them words that will make them challenge themselves!

Let’s learn from her, don’t wait until he is rich before you get hooked up; which may lead to divorce, beating, misunderstanding, lack of respect many many more. Now Barrack Obama is the President of the United States, in charge of everything and holding Michelle so tight cause she was there with him from the scratch! Let’s be wise ladies and stop depending on the rich fellows. We have supernatural power that can be visible only when we believe in ourselves. FB_IMG_1458609047423If you meet the rich ones that’s fine but don’t bring him down instead, be determined to get him to the top same to the average and poor. We women are incharge the earlier you know, the better for us all.

Credit to: Wedding flash

A word of wisdom

FB_IMG_1458607040295Time tells the story. How we spend our time determines if we’re moving toward or away from our goal. Do a time inventory today. Maybe you’re not really as passionate about your goal as you say you are. Find out. Align your schedule so it reflects your passion. You might have a 9 to 5 day job but you can still allocate evenings and weekends to working on your craft. Talent takes time don’t let your time management squander your gift. #DeVonFranklin #Truth #Inspiration

FB_IMG_1458133670274

Kutoka Facebook

FB_IMG_1458606901031Leo nimependa sana hii picha ya my cousin-sister kutoka Kamunyonge, Musoma, Tanzania. Kitu natural beauty! So beautiful.  Ubarikiwe sana

Sister sister

FB_IMG_1458607124079-1Sister sister! Mmependeza sana my nieces July na Jackie. Mungu awapiganie katika kila jema mlifanyalo. Mbarikiwe sana

29 yrs of Kairuki Hospital

FB_IMG_1458607587725

Here are some of images of  Kairuki Hospital’s 29th Anniversary day. FB_IMG_1458607571678On that day, Kairuki Hospital (KH) donated full sets of 35 modern hospital beds to the Tumbi Hospital. Keep in mind that Tumbi is a Government Regional  Referral hospital in the Coast Region. Never heard before of any private hospital giving back to public hospital! This act validates my testimony that I gave earlier that day! Click here to read it. “Earth provides enough to satisfy every man’s needs, but not every man’s greedy” ? Mahatma Gandhi.FB_IMG_1458607577663FB_IMG_1458607607072FB_IMG_1458607615911FB_IMG_1458607527283Congratulations the Kairuki Hospital,. Well done! 

Gone but not forgotten!

Mimi na kaka yangu (R.I.P) nyumbani kwa baba yetu mdogo-2010
Mimi na kaka yangu (R.I.P) nyumbani kwa baba yetu mdogo Segerea, TZ-2010

Wapendwa wasomaji wangu, naomba mniwiye radhi kwa mara ya kwanza na ya mwisho nitaongelea kuhusu kumbukumbu ya ndugu zangu na marafiki zangu ambao wamelala kwa amani ya Bwana. Siku kama ya leo miaka 4 iliyopita nilifiwa na kaka yangu kipenzi aitwaye William Charles Igogo au kwa majina mengine ni Mzee William au Jeshi. Yeye alipewa jina la marehemu babu yetu mzaa baba zetu (William Olung’a Igogo). Kwa heshima ya jina la babu vijana wote waliopewa jina la babu tunawaita Mzee William  (Sir William ) na kwakuwa babu alikuwa anapenda bunduki basi alipewa jina la “Ja jeshi”! Maana yake ‘mtu wa jeshini’. Hivyo huyu kaka yangu tulimkatisha na kumuita Jeshi. Na ndio jina ambalo alikuwa akijulikana nao sana kwa sisi wa nyumbani. Na kwa marafiki zake wa shule walimjua kama Willy  (William).

Marehemu William Charles Igogo a.k.a Jeshi

Nimesema nitaongelea kuhusu kumbukumbu za ndugu zangu na marafiki zangu ambao wamelala kwa amani ya Bwana leo kwa mara ya kwanza na ya mwisho kwasababu moja kuu. Mimi nimeamua ku celebrate life! Katika maisha yangu nimefiwa na watu ambao walikua si tuu muhimu kwangu bali pia walikuwa karibu sana na mimi. Vifo vyao vimeniachia pengo kubwa sana na maisha yangu will never be the same again! Kifo cha huyu kaka yangu mpendwa ndicho kilinifanya nifanye maamuzi hayo kuwa nitalia na kuhuzunika lakini sito omboleza milele! Na njia pekee ya mimi kuweza ku overcome the pain ni kuto sherekea kumbukumbu ya vifo vyao! Nitakuwa nikiwakumbuka kwa good memories we shared together in any other regular day (s) lakini nisingependa to bring the memories of their death days into life. Nashukuru Mungu kuwa watu ambao walikua karibu nami awe ni ndugu au rafiki nilihakikisha wanajua jinsi gani nawapenda na kuwa ni wamuhimu sana kwa maisha yangu. Kwakweli namshukuru sana Mungu kwa hilo kwani natumia kila nafasi ya uhai anayonipa kuhakikisha kuwa wale wanao gusa maisha yangu kwa njia moja au nyingine wanajua jinsi gani nawashukuru na kuwapenda. Na hivyo ndivyo nataka kuishi maisha yangu yaliyo baki. Basi, hamtaniona tena nikileta special post ya watu wangu waliyo tangulia mbele za haki………..Hii ? ni msg nyingine niliandika siku hiyo ya msiba. Na hiyo nyingine ni ya mdogo wake anaye mfuta ameandika leo. Kwa heshima na-share nanyi……………R.I.P brother and all my beloved relatives and friends ?   Screenshot_2016-03-21-19-50-49-1Screenshot_2016-03-21-20-55-18-1-1

Hot shot of the day

FB_IMG_1458493726969-1Awii! Isn’t this powerful!! Iron ladies from the most beautiful, blessed land on earth -Tanzania. Leaders of generation now! Icons of future generations. The daughters of Mwl. Nyerere! Looking amazing, shining like diamond. Mbarikiwe sana wadada wa nguvu  ?❤❤❤

Happy birthday Mrs. Nyongo

FB_IMG_1458502219426-1-1-1Happy birthday my darling friend and sister to my heart Mrs. Fina Nyongo! May God continue to bless the work of your hands and grant you continued favor in your life. I love you not because you are my friend, but because you are such a wonderful human who truly deserves the most amount of love from anyone. Happy birthday mama double G! Have a wonderful day.

Kutoka Facebook

FB_IMG_1458502154461Pendeza sana my sister. I love everything. ?? ubarikiwe sana

Happy birthday Vanessa!

FB_IMG_1458493980548Happy birthday beautiful Vanessa. God doesn’t count the candles on your cake or the money in the bank, but the love in your soul. May you grow older, be the kindest and loving woman of God! Happy birthday gorgeous, aunt Alpha loves you ?❤

Mother and son moment

Screenshot_2016-03-20-12-14-57-1Dina Marios na kijana wake Zion. Wamependeza sana. Ngoja niwasibdikize na huu ujumbe toka kwa Palm 125:1 “Those who trust in the LORD are like Mount Zion. It cannot be shaken; it remains forever”. Mbarikiwe sana.

Rafiki wa kweli ni kama Almasi

Screenshot_2016-03-20-12-11-15-1Nimependa sana ujumbe huu toka kwa Foster Mbuna Mkapa kwenda kwa marafiki zake Anna and Gertrude. “Harmony prevails in the hearts of those who are filled with the music of friendship”. Wale walio jaliwa kupata marafiki wa kweli ndio watakao elewa na kuguswa na ujumbe huu!! Nashukuru Mungu kwani mimi nimebahatika kuona na kuonja upendo wa marafiki wa kweli-Ni mtamu sana!……..Hawa ni marafiki toka secondary hadi leo hii ??FB_IMG_1458493911617Mpendwa, kama umebahatika kupata rafiki wa kweli basi nakusii mshike kwa mikono yako yote miwili. Muweka ndani ya moyo wako siku zote kwani ni Almasi ambayo haipatikani kirahisi rahisi na haipo kila mahali!! Nakama bado hujabahatika basi Muombe Mungu akujalie kupata angalau mmoja. Utakuja ushuhudie kama sisi tunavyo shuhudia……….. btw, hii ilikuwa birthday ya Anna na Gertrude, hivyo ni vyema nikawatakia kheri ya siku za kuzaliwa kwao. Mbarikiwe sana.FB_IMG_1458490216003-1Mmependeza sana wapendwa. Wadada wa nguvu mbarikiwe sana kwa kuwa mfano mzuri kwa jamii yetu………… Foster asante sana kwa picha. Ubarikiwe sana

Mother and daughter moment

FB_IMG_1458430374793Zari na binti yake Queen Latifah. Wamependeza sana. Mbarikiwe sana wapendwa

Kheri ya siku ya kuzaliwa Mh. Halima Mdee

FB_IMG_1458493784604Napenda kuchukua fursa hii kumtakia ya siku ya kuzaliwa Mh. Halima Mdee, Mbunge wa jimbo la Kawe (Chadema).  FB_IMG_1458493784604-1Yeye alizaliwa siku ya 03 / 18 / hivyo nimechelewa kidogo lakini si mbaya kwani birthday inasherekewa kwa mwezi mzima ulio zaliwa  ?  Namuombea maisha marefu yaliyo jaa upendo, furaha, na afya njema. Akapate kulitumikia vyema taifa letu la Tanzania.FB_IMG_1458493681076-1Jamani, hivi mnajua ni jinsi gani mlivyo pendeza bila kuvaa zile ‘uniform’ zenu za chama! Yani Mh. Mbowe mpaka ameonekana kama kijana wa miaka 18 vile ?? Mh. Easter and Mh. Halima hips don’t  lie; mashallah dada zangu ?? Mmependeza sanaaaaaa. Ni vizuri tukiwaona pande zote mbili siyo kwenye magwanda ya kaki  na zile rangi za njano na kijani kila wakati!! Na pia inapendeza kuona ushirikiano mlionao nje ya siasa kwani siasa si uwadui! Mfano mzuri sana wa kuigwa. FB_IMG_1458493753582FB_IMG_1458493697141Mlipendeza mno FB_IMG_1458493718941-1FB_IMG_1458493774050FB_IMG_1458493687960-1FB_IMG_1458493702362Beautiful people with beautiful souls! Mbarikiwe sana.IMG_20160320_131249Kheri ya siku ya kuzaliwa Muheshimiwa. Live long ?

Happy birthday Muke ya Mashimi

FB_IMG_1458437262001Better late than never ? Happy birthday aunt ake, the ones and only one Muke ya Eng. Evans Mashimi. Mungu akubariki sana wewe na familia yako. Nakutakia mafanikio mema, furaha, na amani. Much love from Michigan and Texas ❤?