Category Archives: Uncategorized

Mjumbe hauwawi!..You be the judge!

IMG-20160316-WA0013-1

HOTUBA YA BALOZI JUMA MWAPACHU KUTANGAZA KUREJEA CCM  MIKOCHENI 16/03/2016

Ndugu zangu, 

Mtakumbuka kwamba mnamo tarehe 13 Oktoba 2015, nilitangaza kuihama CCM na kurejesha kadi yangu ya uanachama kwenye ofisi ya CCM Kata ya Mikocheni. Nilitoa maelezo kwanini niliamua kujiondoa CCM (maelezo hayo pia niliyabandika katika ukurasa wangu wa facebook). Nilieleza kwamba CCM imepoteza mwelekeo kwa kuamua kumnyima haki ya kugombea mcha mungu Edwad Lowasa. Nikasema Edwad Lowasa ndiye chaguo la wana-CCM na ndiye chaguo la Watanzania. Nikasema nitakuwa mnafiki nikiendelea kubaki CCM huku naamini Edwad Lowasa anafaa kuwa Rais kuliko John Pombe Magufuli. 

Baada ya miezi miwili ya uongozi wa Magufuli nataka niseme nilikosea sana. Nililewa mahaba ya Lowasa, nililewa ahadi ya Lowasa kunipa uwaziri wa mambo ya Nje. Niliamini mafuriko ya Lowasa ambayo yakanifanya niamini kabisa anachukua nchi. Tulikubaliana na wenzangu kwamba wiki mbili za mwisho tuihame CCM kwa wimbi kubwa ili kuitikisa na kuitoa madarakani. Lakini baadhi wakaogopa na hadi sasa wengine wamebaki CCM na wana vyeo. 

Leo natangaza kurudi CCM kwasababu nimeona kazi nzuri ya Magufuli. Nimefanya kosa kubwa katika siasa ambalo nawasihi vijana kwenye siasa wasifanye. Nilihama kwa kwasababu ya mtu (Lowassa). Nimerudi kwasababu ya mtu (Magufuli). Nataka niwaahidi kwamba CCM ikiweka mtu hovyo baada ya Magufuli, sitahama. Usemi wa CCM kwamba Chama Kwanza, Mtu Baadaye sasa ndio nauona maana yake. Niliwalaumu CCM kwa kumuacha Lowassa lakini sikujua kwamba CCM ina uwezo wa miujiza wa kuibua jembe bora linaloitwa Magufuli. 

Naomba mnisamehe kwa kulifanya jambo langu la kujitoa CCM na kurudi CCM kuwa jambo la kitaifa ukizingatia kwamba sikuwa na nafasi yoyote ya uongozi wa CCM wakati nahama na pia sijawahi kuwa hata Mjumbe wa NEC ya CCM na nilikuwa nje ya ulingo wa siasa za CCM kwa miaka 20. Niliamua kulifanya jambo kubwa ili kumsaidia Lowassa. Na sasa nimeamua kulifanya jambo kubwa ili Magufuli ajue sasa niko naye kwasababu sitaki shughuli zangu na za washirika wangu zikwamishwe na Serikali kwasababu tu huko nyuma niliamua kumsaidia swahiba wangu.  

Naomba radhi kwa familia ya baba wa taifa mwalim Nyerere kwa kuitumia kisiasa siku aliyokufa (tar 14 Octoba) na kutumia msiba wake kutoa kauli za kisiasa zidi ya chama chake alichokiunda na ambacho hadi anakufa alikuwa mwanachama. 

Wananchi wote tumuombee Magufuli na tumsaidie kwani tumepata nyerere mpya.

Mungu Ibariki Tanzania.Mungu Ibariki Afrika 

Balozi Juma Mwapachu 

 

people will always be people! And God will always be God!

Screenshot_2016-03-16-13-15-00-1

Hot shot of the day

FB_IMG_1458147142380-1Gorgeous! Hawa Gwao former Miss Tanzania-UK. Kapendeza sanaaaaaa!…… Happy birthday girl, me love you mingi ???

Akothee Akothee katika ubora wake

Screenshot_2016-03-16-11-56-52-1Ha! Ha! Ha! Nafikiri Akothee na mimi “mapepo” yetu yanaendana ??? yani mimi sipendi mtu wa kuvuta nywele zangu au kubana kichwa changu na vilemba. Naweza zimia aisee!! Ukiona nimefungua kilemba  jua ni mapozi tuu ya picha ?? Rasta za wamasai niliwahi suka mara moja tuu tena kwa shinda kweli kweli. Siwezi kaa chini kabisa ??………

The Lyimos

FB_IMG_1458149041549Awii! The Lyimos family looking great, of course as usual!! Hapa walikuwa wameenda shuleni kwa watoto wao (Holy Rosary Elementary school) kwa ajili ya father and daughter, mother and son 1st dance. FB_IMG_1458149034705Hapa baba aki dance na binti yake. Raha eeh! Ubarikiwe baba mwema. 

FB_IMG_1458149022715Mama naye na kijana wake. Safi sana. FB_IMG_1458149049217Beautiful! FB_IMG_1458149028690FB_IMG_1458149015802FB_IMG_1458149008841Mbarikiwe sana wapendwa. Asanteni kwa ku share picha zenu ?❤❤❤

Kutoka Facebook

FB_IMG_1458147567567Leo nimependa picha za my darling friend Prisca kutoka Geita…….. hawa watu wa migodini huwa wananukia pesa kila wakati ?? IMG_20160316_120107pendeza sana my friend. Ubarikiwe sana. Btw, lemme change the channel as this one is confidential ??? Be iwinjo gimakoni Nyakowak? Apeleka no make matek ???

Father and daughter moment

Screenshot_2016-03-15-18-44-41-1Wow! Ain’t they cute! mimi penda nyinyi sana. Zari my dear, despite her skin color and gender; you got nothing here! Yani ni Diamond mtupu!! #DNAForWhat? ??

Manhood

IMG-20160308-WA0000-1My dad and his business colleague. As usual, doing what he does best ?

A word of wisdom

Screenshot_2016-03-16-08-07-11-1FB_IMG_1458133670274

Hellen is Founder & Managing Director of Nuya’s Essence,LLC.

Founder & Managing Director of Nuya's Essence,LLC.
Founder & Managing Director of Nuya’s Essence,LLC.

Hellen is Founder & Managing Director of Nuya’s Essence,LLC. Based in Zanzibar, Tanzania. Nuya’s Essence, Natural bath & body care handcrafts natural skincare products are from carefully selected botanical oils, butters and herbs without any harmful chemicals . Only the highest natural ingredients in the market, thus creating market and employment to local producers and creating the most amazing skincare products that are gentle on the skin. #HappyWomenDayIWD2016 FB_IMG_1458145152359Hellen Dausen. Miss Universe Tanzania 2010
Hellen ni Mwanzilishi na Mkurugenzi Mtendaji wa Nuya’s Essence, LLC. Iliyopo Zanzibar, Tanzania. Nuya essence inazalisha sabuni za kuogea na mafuta ya kupaka mwilini yatengenezwayo kwa kutumia bidhaa asilia kama vile mafuta ya asili, siagi na mitishamba bila kuongeza kemikali yoyote. Kwa kutengeneza bidhaa hizi Hellen anatoa fursa ya soko na ajira kwa wazalishaji wa ndani(Wenyeji) na kutengeneza bidhaa bora kabisa za ngozi ambazo ni nzuri kwa ngozi.#HappyWomenDayIWD2016

Hongera sana Ms. Hellen

Nani kama mama!

Screenshot_2016-03-15-19-53-16-1Hakuna kama mama!! Upendo wa mama kwa mtoto ndiyo ‘pumzi ya uhai’ kwa mama na mtoto. Ukikosekana kunakuwa hakuna uhai tena……. wabarikiwe WAMAMA wote duniani. Jamani naomba uwelewa nimesema “wamama” kwa herufi kubwa siyo wanawake wote walioza ni wamama!! Mama ni zaidi ya kubeba mimba na kuzaa!! Kuna wanawake wengine wamezaa tuu lakini hawana sifa wala hawastahili kuitwa mama!!#RealTalk…. !

Flaviana Matata- Miss Universe Tanzania 2007 International Model

Flaviana Matata- Miss Universe Tanzania 2007 International ModelFB_IMG_1458142745664Founder of Flaviana Matata Foundation, was founded and launched in 2011. FMF was established as a not for profit, non governmental by the Tanzanian International model as a way to give back to a society and aide in improving lives of fellow Tanzanians especial young girls. Currently sponsoring a number of girls in secondary schools, contributed pads, pants, plastic disposal bags, anti bacterial soaps also provides desks, stationery kits to students, rehabilitated classrooms and improved sanitation for teachers and pupils.#HappyWomenDayIWD2016 FB_IMG_1458142752494Flaviana Matata- Miss Universe Tanzania 2007 Mwanamitindo wa Kimataifa
Mwanzilishi wa Mfuko wa Flaviana Matata, Ulianzishwa na kuzinduliwa mwaka 2011. FMF ilianzisha kama shirika linalojiendesha bila faida na lisilo la serikali na Mwanamitindo wa kimataifa Mzalendo kama njia ya kuitumikia jamii na kuboresha maisha ya Watanzania wenzake hususani watoto wa kike. Mpaka sasa mfuko umeshadhamini wasichana mbalimbali wa shule za sekondari, ikichangia vitaulo vya wanawake (Pads), nguo za ndani, mifuko ya plastiki,sabuni zenye dawa pia wamedoa madawati, mifuko ya kuwekea madaftari,kukarabati madarasa na vyoo vya wanafunzi na walimu. #HappyWomen’sdayIWD2016 FB_IMG_1458142759011

Hongera sana Ms. Flavianna.

*Please note: bado tupo mwezi wa tatu. Hivyo nitaendelea luleta hizi msg za siku ya wanawake duniani mpaka mwisho wa mwezi*

Hot shot of the day

FB_IMG_1458025215961Jamani huyu mtani wangu nampenda sana. Halafu tumetoka mbali ati! Toka enzi za college  (CBE) product ya Mwl. Mwikila siye lol!  FB_IMG_1458025196517Halafu sasa, anajua kunikosha kweli; yani yeye huwa habahatishi hachagui “koroma” hata sikumoja, si mnawaona that “chocolate” brother??? isn’t he handsome ??? No, nothing is going on, they’re ‘just’ good buddies ? ……….pendeza sana mtani wangu just keep “indulging” yourself with that chocolate ?? ❤❤❤

Biashara ni ubunifu si majungu!

IMG-20160315-WA0019Wapendwa wasomaji wangu, katika kila kitu hapa duniani ambacho binadamu anataka kufanya iwe kwa kujikwamua kiuchumi, kijamii, au kisasa lazima utakutana na watu waliotangulia ambao walianza kabla yao. Wakati huo huo kutakuwa na wengine ambao watakuja nyuma yako kufanya kile kile unacho fanya. Basi usiwe mwoga kwani haijalishi hata mkawa watu mia moja katika mtaa mmoja wote mnauza au mnafanya biashara inayo fanana kwani ubunifu wako ndio “nguzo” yako!!

Kuna wengine ambao wao “majungu” ndo kazi yao. Badala ya kufikiria jinsi gani watajiboresha wao kutwa “kupepeta” mdomo ili kuchafulia washindani wao majina wakifikiri kuwa kufanya hivyo kutawapa kile wanacho kitaka bila kujua wanajichimbia ‘kaburi’ lao wenyewe kwani “chema chajiuza kibaya chajitembeza”!! Hawa wapenda majungu ndo wanao ishia kwenda kwa waganga na kuuwa watu ………… Biashara ni ubunifu si majungu!!

“Makonda hajabebwa”-Salima Moshi

Mr. Paul Makonda akila kiapo cha utiifu mbele ya Rais Dr. John Pombe Joseph Magufuli
Mr. Paul Makonda akila kiapo cha utiifu mbele ya Rais Dr. John Pombe Joseph Magufuli

Ukiwa mchapa kazi Mungu lazima akulipe, na huhitaji kuwatembelea waganga wa kienyeji kutafuta promotion. Nawashauri vijana wenzangu muige mfano wa Makonda wa kufanya kazi kwa kujituma na kuzipenda kazi zenu ili mfanikiwe. Na  kamwe msiwasikilize wale waliozoea kubweka na kubeza kila kitu kwani wao ni vigumu kuona ubora wa kazi na mazuri yanayofanywa na serikali kwa kutumia macho ku mchuzi.  Kama Makonda ameweza, nina uhakika na wewe unaweza. Jitumeni, muwe wabunifu na mzipende kazi zenu ili mbarikiwe na muonekane.  Makonda hajabebwa, bali kajibeba mwenyewe mpaka ameonekana.  KAZI NI KIPIMO CHA UTU…….

Ms. Salima Moshi
Ms. Salima Moshi

Kutoka Facebook

FB_IMG_1458025681556Leo nimependa sana hii picha ya huyu binti anaitwa Tunu kutoka Bongoland.  Kapendeza sana na uzuri wake wa asili. Tunza sana ngozi yako usije haribu kwa kupaka chemical yoyote ile. Ubarikiwe sana

Please don’t do it!!

Wapendwa, naomba leo nigusie hili swala la kutumia simu wakati una drive! Kama wewe ni mmoja ya watu ambao hufanya hivyo tafadhali nakuomba uwache. Si tuu kwa faida yako mwenyewe bali pia kuokoa maisha ya watu wengine wasiyo na hatia!

Picha hii ni kabla na baada ya ajali.
Picha hii ni kabla na baada ya ajali.

Embu angaliahiyo video hapo juu jinsi huyu binti alivyo taka kupoteza maisha yake kwa ajili ya kutaka kusoma tex msg wakati akiendesha. Japo mama yake siku zote amekuwa akimsihii kutotumia simu naye amekuwa akimsikia mama yake lakini saa nyingine anatumia. Mbaya zaidi hii text ilikuwa inatoka kwa mama yake ambaye alikuwa kazini na hakujua kama binti yake yupo bara barani!

Jamani, hili swala halina cha mkubwa wala mdogo kutumia simu wakati upo bara barani ni hatari sana na inaweza mkuta mtu yoyote yule! Tafadhali kama nilazima utumie simu basi paki gari inje ya bara bara tumia simu kisha uwendelee na safari yako!

Screenshot_2016-03-15-01-38-04-1Najua kuna mtu anaweza sema ooh! Siku hizi unaweza tumia handsfree phone ambayo ipo built-in kwenye gari! Sikia, tatizo sio kushika simu wakati unaendesha ndio tatizo pekee bali pia mawazo / akili yako wakati unaendesha nayo nitatizo. Hivyo ni bora kuacha kwani its not worthy it!! Jali na okowa maisha ya wengine kwa kuwa extra cautious!!

Akothee Akothee katika ubora wake!

Screenshot_2016-03-13-19-56-39-1FB_IMG_1457939661272Jamani Akothee kitanda kimoja kinatandikwa na mutu 3? ??? aah! Umetisha! FB_IMG_1457939666737I love your bedroom, hakipo clouded. Safi sana. Nakitanda kizuri sana. FB_IMG_1457939676249Nice!……..jamani mme soma ujumbe hapo juu ….!!

Hot shot of the day

Screenshot_2016-03-14-03-13-38-1This is so hot! Huyu anaitwa Iris ni binti wa mwanamitindo wetu wa kimataifa Miriam Odemba! Kapendeza sana, mrembo kama mama yake. Be blessed!

A word of wisdom

Screenshot_2016-03-14-01-17-25-1“INTEGRITY IS EVERYTHING”! ……AMEN! AMEN! AMEN brother! Screenshot_2016-03-14-01-18-36-1