Kama ulipitwa na mashahiri ya Michelle Obamba kwa mumewe wakati wa Valentine’s Day basi haya hapa ???
Category Archives: Uncategorized
On the road: Couple finally together after 26 yrs!
Bado tupo kwa ule mwezi wa “mahaba” basi hizi ni baadhi ya videos ambazo zinaonyesha upendo na furaha………Steve Hartman alikutana na Mia Schand miaka 26 iliyopita (hapo 2014) na baada ya mwaka Steve alihukumiwa kwenda jela kwa kosa la kuuwa kumbe hakufanya kosa lolote. Kwa miaka 26 mpenzi wake amekuwa akiangaika usiku na mchana kuakikisha haki inatendeka, hatimaye aliipata……..
A word of wisdom!
Mother and son moment!
Mama na vijana wake. Walinzi wanguvu! Mmependeza sana, natumaini mlifika safari yenu salama. Ubarikiwe sana.
Usiendeshe maisha kwa majungu!
‘Majungu hayajengi!’……….kama majungu yangekuwa mtaji basi kunawatu wangekuwa mabilionea sasa hivi! Lakini tunawaona wako vile vile hata wakipiga hatua 5 mbele leo kesho wanajikuta wamerudi square zero bila wao kujua ni nini haswa kimetokea! wewe kama mtu hajakutendea ubaya wowote kwanini usikilize majungu na kujenga chuki na mtu bila sababu yoyote? Si unyumbu huo?! Penda tabia ya kufanya uchunguzi wako wewe mwenyewe na jifunze kusimamia ukweli hata kama unasimama mwenyewe! Hii tabia ya kuzushia na kusambaza majungu juu ya watu au mtu si tuu kwa wanawake bali hata wanaume wanayo sana! Nimeshuhudia na kuwa mmoja wa victim wa majungu tena kwa wanaume ambao huwezi amini. If you can’t stand my guts just leave me alone and mind your own business! Mwanaume mzima tena wenye familia/watoto kukaa kwenye simu na magroup ya watsup kutengeneza majungu kwa ajili ya mtu ambaye wewe mwenyewe hukumuona anafaa au ana thamani ya kuwa na wewe (wakati uko busy kila siku kufatilia mambo yake) mimi ndio nawaita “losers!” Loser is a loser haijalishi amesoma kiasi gani au anafanya nini to generate his income. Kama wewe unachukia maendeleo ya mtu yoyote yule then consider yourself a big loser! Watu waliofanikiwa huwa wapo na fikra huru ya kupenda kuona wengine wanafanikiwa.Nanyie wanawake (baadhi) ambao mnatumiwa na hawa losers kuumiza wanawake wenzenu just consider yourself the biggest losers of all time! Real strong women don’t do that only losers do! Acheni kuendesha maisha kwa majungu mtafanikiwa zaidi!
Manhood
Huu ni my cousin-brother anaitwa William, mtoto wa marehemu baba mdogo wangu. Nimependa sana muonekano wako ?
Muwe na JumaPili njema
Hot shot of the day
Awwih! My people! My darling babysister Advocate Magreth O.O Igogo and my nephew Evin (Janeth’s son) nawapenda sanaaaaaa! Naona Evin kachukua tabia ya mama yake ya kunyonya vidole ? I hope ataacha ??
#TBS #MyIronLady
Leo nimeamua kurusha back picha ya my Iron lady! Mwanamke ninaye mpenda kuliko wanawake wote hapa duniani! My darling mama! Hapa ni moja ya kanisa la Wasabato Nairobi, Kenya kwenye harusi ya mdogo wangu Advocate Janeth O.O Igogo mwaka 2007. Nakupenda sana mama yangu ? ngoja nikusindikize na huu wimbo kwasababu zangu mwenyewe binafsi ?? …….
???? Zuwena, ningempata wapi ? Zuwena mwingine sawa na yeye ??? Mtoto aliyeumbika, mwenye tabia za kupendeza, ?Zuwena, Zuwena kweli nampenda x2
?? Moyo ulianza kutulia Kukuta Zuwena angali mzima ? Ingawa ana majeraha mengi, Haidhuru mradi namuona ? Zuwena, Zuwena, Zuwena mama, Zuwena bibi ee, kweli nampenda
??Sijui ningefanya nini Kama Zuwena angenitoweka ? Tumeishi kwa muda mrefu Wote wawili tumezoeana ?? Zuwena, Zuwena, Zuwena bibi kweli nampenda…”
Nani kama bibi!
Mmependeza sana mwanangu na mama yangu mkubwa. Mwe! Umenikumbisha bibi zangu, waendelee kupumzika kwa amani! ….Mbarikiwe mno.
Kutoka Facebook
Nimependa sana hii picha ya Dr. Elizabeth Daniel Oming’o. Pendeza sana cousin yangu, nimependa rangi ya nguo, na makeup imekupendeza. Ubarikiwe sana.
Bella’s homecoming party
Bella umependeza sana! Naona jinsi gani mama Ayugi alivyo furahi. Enjoy every single moment, and wishing you the best of all! Wapendwa wasomaji wangu, kama haumfahamu huyu dada, yeye anaitwa RoseBella Ayugi Twaakyondo. Ni mke na mama wa watoto wawili. Anaishi USA, sasa hapa baada ya miaka mingi amekwenda nyumba kusalimia ndugu, jamaa, na marafiki. Umependeza sana! Asante cousin Baraka na my wifi kwa picha. Nanyi mlipendeza mno. Mbarikiwe sana.
“Mtoto Magazine”: Hongera sana Dina Marios
Nilipompata Zion kama mzazi yoyote ilikuwa ni furaha sanaa alileta furaha maishani mwangu na mwanzo mpya katika maisha yangu. Katikati maisha yangu yoote nilikuwa muoga sanaa kupata mtoto sikuwa najua nitaanzia wapi kumlea. Zile story za wakinamama waliotangulia kuwa kuzaa kunauma zilikuwa zinanipa stress saana. Lakini Nilimuomba Mungu nikifikisha miaka 30 Mungu anijaalie mtoto katika mahusiano yanayoeleweka. Zion hakuwa bahati mbaya siku ambayo baba yake alisema anatamani tupate mtoto Mungu aliweka tiki matamanio hayo wiki iliyofuata nilishika ujauzito.
Nikiwa natimiza miaka 30 nilikuwa na mimba kubwa ya Zion na nikamzaa nikiwa na miaka 30 nikaamini ni mpango wa Mungu. Nilipopoteza leo tena nilihuzunika sana nikaanza kukufuru Mungu.Kwamba kwa miaka 8 mfululizo nimekilea kipindi leo nimeenda kujifungua narudi nakuta nafasi hiyo haipo kwa nini? kwa nini kuzaa kubadilishe tena ghafla? nakumbuka siku hiyo hata kunyonyesha sikuweza kabisa kabisa Lakini nikamuomba Mungu anipe muongozo anataka kunipeleka wapi?Kwa sababu ya Zion niliweza kuja na product ya mafuta ya nazi dina marios coconut baby oil. Alipotimiza mwaka mmoja picha za birthday yake ndio zilileta wazo la kuanzisha magazine ya parenting/malezi. Later nikajoin @efm_93.7 radio nakuanza kipindi kipya cha UHONDO. Na magazine cover story toleo la kwanza yupo Zion na mimi mama yake kukusimulia mengi maana yeye ndio inspiration ya hiyo magazine.Nilianza upya na MTOTO wangu Zion ndio inspiration ya mwanzo wangu mpya. Baada ya mwaka mmoja kupita wa kulipika wazo jana nikafanikiwa kutambulisha magazine ya MTOTO kwa ndugu, jamaa na marafiki waliokuja katika birthday party ya Zion. Lolote tunalomuomba Mungu atatupa lakini sio kwa picha ile tunayoitaka ni kwa namna apendavyo yeye na anavyoona inakufaaa. Usikose nakala ya MTOTO magazine kuanzia wiki ijayo kusoma mengi yahusuyo malezi ya watoto wetu . Litauzwa Tsh 5,000 tu! Hongera sana tena sana Dina kwa kuonyesha mfano mzuri sana katika jamii yetu. Mungu akuongoze ujalie mafanikio makubwa zaidi ya hapa ?
Source: Dina Marios Facebook account
A word of wisdom
Hot shot of the day
Hawa Gwao, former Miss Tanzania- UK……kapendeza sanaaaaaa! na hiyo smile naona limezidisha urembo! Safi sana. Ubarikiwe sana my dear!
Some sense of humor
Credit: Unknown
Bacon and Egg: Lesson in Commitment
The simple breakfast plate of ham and eggs (or bacon and eggs) has become the motivational story of “The Chicken and the Pig.” Both the chicken and the pig look on at a family eating breakfast.The chicken comments how a chicken’s eggs allows it to participate (or involve) itself to help others. The pig then comments on the bacon/ham; pigs aren’t just “participating” or “involved”—they’re totally committed! The story-: There are several variants as to how the Chicken and the Pig meet and the level of the relationship between the two. The Chicken suggests to the Pig that they start a restaurant where they will each contribute to breakfast. In reply, the Pig always notes that, for the Chicken, only a contribution is required (as a chicken can simply lay an egg and then resume normal activities), while for the Pig a “total commitment” (or total sacrifice) is needed (as in order to make ham or bacon, the pig must be slaughtered).
Interpretation-: This story is commonly referenced to illustrate two types of project members: pigs, who are totally committed to the project and accountable for its outcome, and chickens, who consult on the project and are informed of its progress. By extension, a rooster, can be defined as a person who struts around offering uninformed, unhelpful opinions. A successful project needs both chickens and pigs (roosters are seen as unproductive). However, given the sacrifice required of being a pig— they can be difficult to collect. Thus, the construction of a successful project-team must ensure that the project has sufficient “pigs” – and ensure that they are empowered to drive the project in return for committing to and taking accountability for it. The difference between involvement and commitment is like ham and eggs. The chicken is involved; the pig is committed.
Lesson: No one wants to be Bacon or Eggs about their life. Here’s a perspective about Bacon and Eggs or I should say the pig and the chicken. Let’s start with name calling. Who wants to be called a pig? You? I didn’t think so. And who wants to be called a chicken? Me neither. So, we can agree that we both don’t want to be called either a pig or a chicken. And certainly, we don’t want to be categorized as either when it comes to how we relate to life. But the lesson in this story that I want to summarize is this: Bacon or Eggs – life will be sacrificed. If you’re a chicken, every egg you lay is a chick that you’ve sacrificed. If you’re a pig – you sacrifice your life. Both take risk to give and both have a reward in contributing to the meal we call breakfast. And the question and ultimate lesson is how much of your self are you willing to sacrifice to have the life that you truly want? Who exactly are you upsetting?
Credit: https://rochemamabol
Manhood
My dad, doing what he does best engaging with general public in public matters at his office via Azam TV
Mother and daughter moment
Mama na binti zake. Yani mnafanana sana. Warembo wa Shirati hao, mbarikiwe sana. Jamani ukipata wifi anasema maneno kama hayo hapo ☝☝ juu yako wewe basi nifuraha sana. Maneno mazito hayo toka kwa wifi. Mbarikiwe sana familia ya Kachare.
Tuige wenzetu wa Kenya kwa harambee ya elimu
WENZETU nchiini Kenya wanajali sana elimu na wanaipatia kipaumbele. Selikali kwa upande wake imekuwa ikijitaidi kuwekeza katika elimu kwa maana ya kujenga
kiasi kikubwa katika elimu.Jamii pia inathamini na kuweka kipaumbele katika elimu.kila mmoja anajua wajibu wake kwamba anawajibika kughalimia elimu.Mtoto aliepata nafasi ya masomo nje ya nchi,wazazi au mlezi anaandaa mkutano mahalumu wakuwakutanisha marafiki,jamaa na ndugu na Jamii kwa ajili ya kuchangisha fedha,.Utamaduni huo umewasaidia sana wakenya wengi wameweza kupata elimu bora ndani na nje ya nchi.Kutoka nana hiyo Kenya imekuwa wasomi wengi katika sekta mbalimbali.Na leo hii nchi Kenya inaongoza katika uchumi na maendeleo katika eneo la afrika. Ndio maana watanzania wamekuwa wakipinga wakenya kuruusiwa kuja nchini kufanya kazi.Mtanzania ambaye kila uchao analalamika kuwa hana pesa za kuchangia elimu ya mtoto wake, ndie anaeshiriki kuchangia harusi ambayo huchangiwa kuanzia laki moja na kuendelea.huu ni utamaduni ambao haufai na umepitwa na wakati UKIWA MTANZANIA ULIEGUSWA TUNAOMBA UTOE MAONI YAKO. Mipango wa elimu BURE kwa mtanzania pia changamoto katika utekelezaji wakeYani shemeji yangu umeongea point mpaka naona aibu kukutania ?? ila bado mtu akisoma atajua tuu aliye andika ni Muhaya ??