Category Archives: Uncategorized

Father and son moment

IMG-20160130-WA0009Mtu na daddy yake. Huyu ni mdogo wangu anaitwa Isaka. Ni mtoto wa marehemu baba yangu mkubwa lakini amelelewa na kukulia kwetu toka akiwa na umri wa miaka mitano (5 yrs) mpaka sasa anakwenda 27. Kwahiyo hapa yupo na baba yake mlezi ambaye ni baba yangu mzazi. IMG-20160130-WA0007Huyu mdogo wangu ni mtaalam wa IT. Amesomea Nairobi, Kenya hivyo anafanya kazi Utegi Technical Enterprises Ltd. Yeye alizaliwa na matatizo ya kusikia na kuzungumza yani ni Bubu na pia ni Kiziwi. Na ndio maana tulimchukua kuishi naye ili apate elimu nzuri. Sasa jana baba alimkabidhi nyumba yake (ndio hii hapo juu ☝☝) ambayo ipo ndani la plot ya familia hapo Segerea. IMG-20160130-WA0006Ni nyumba iliyo kamilika yenye vyumba vitatu (3 bedrooms). Kijana kakuwa teyari kwa kujitegemea sasa. IMG-20160130-WA0008Hongera sana mdogo wangu Isaka kwa kupata nyumba nzuri sana. Asante baba kwa moyo wa upendo na ukarimu. Na sifa na utukufu zote zimwendee Mungu wa Mbinguni ??

Late post: Neema’s night

received_10207244595064781-1Wapendwa wasomaji wangu, naomba mniwiye radhi. Hili tukio lilitokea mwaka jana November 20-15. Lakini kutoka na sababu ambazo zilikuwa nje ya uwezo wangu naomba niziweke hapa siku ya leo kwa heshima ya Neema, mumewe, ndugu, jamaa, na marafiki wote.  FB_IMG_1454217920677Here comes the soon to be Mrs Huckins and our beloved “Foreigner” brother-in-law  Mr. Huckins ??  You  both were stunning in those African attires. The color was super, the design was so simple but catchy details! received_10207244594544768This unforgettable event took place in Atlanta, Georgia, USA where by then ‘bride’ to be  resides. Neema’s best friends, relatives and her mother flew-in, were there to witness, cheer, and celebrate with her! Everyone was at his / her best look. Glittering and glamouring  from head to toe of-couse with the girl (Neema) herself who was like a big brighten shiny star in the dark! In the picture, along with Neema is Itika Mwakasula and Ascala both are Neema’s best friends.

received_10207244745548543The visitors were from almost all over United States of America such as Texas, Ohio, Tennessee, Florida, Kentucky, Georgia itself and other places. People were in from different countries like Ivory Coast, Cameron, Liberia, Canada, Togo, Nigeria, Tanzania without forgetting USA where the husband and his family coming from. received_10207244594104757Everyone looks good! received_10207244968394114People were happy, and cheerful received_10207244595944803Beautiful people with beautiful soul! received_10207244593384739What a privilege to see your beloved dad getting married! Mr. Huckins and his daughter looking happy ready to add a new family member all the way from Tanzania. received_10207244593464741Neema, her step-daughter, and the flowergirl the daughter of Itika Mwakasulareceived_10207244595584794In times like these emotions must kick in. Just a way of telling how awesome God is! received_10207244596184809Too cute for a word! received_10207244594664771Sorrounded herself with people who truly love and wish her the best! FB_IMG_1454218134358Let’s dance my “African Queen” IMG_20160131_014353Cute to say the least! IMG_20160131_014216Lovely! Job well done!

:………….Stay tuned for Mr and Mrs Huckins big day pictures

:………….PLEASE DO NOT TAKE ANY PICTURE FROM THIS POST. THIS POST SHOULD ONLY BE SEEN IN THIS BLOG AND NOT SOMEWHERE ELSE. KINDLY RESPECT THIS FAMILY THEIR RIGHT TO PRIVACY.  THANKS 

“Ujinga ni kuamuliwa maisha na wengine” -Lemutuz

Screenshot_2016-01-29-00-53-58-1

kheri ya siku ya kuzaliwa mdogo wangu Magreth!

IMG_20160130_110427Mdogo wangu, kipenzi cha roho yangu, wajina wa bibi na shangazi yangu, nakutakia kheri ya siku ya kuzaliwa kwao.FB_IMG_1454169296383Mwenyezi Mungu mwenye wingi wa rehema na upendo azidi kumbariki, kulinda, akupe maisha marefu yaliyojaa afya tele, furaha, amani, na upendo mwingi sana. Ukusaidie uweze kuendelea kufikia malengo na mipango yako yote uliyokuwa nayo na unayo tamani kuwanayo. IMG_20160130_110916Unajua wewe ni mdogo wangu ninaye kupenda sana kuliko wadogo zangu wote eee ??? I know mzee William won’t like this ?? but hey! That’s the truth and they all know it ?? IMG_20160130_110657Nakupendaga sana wewe mdogo wangu kwani ni mtu ambaye hauna makuu, una upendo wa kweli, mcheshi, mkarimu, mpole na mnyenyekevu, uliyejawa na hofu ya Mungu. Na unamaakili sana na uwelewa wa hali ya juu. Just love you baby gal!  IMG_20160130_111610Nani kama mama?! Wewe mdogo wangu na ulikuwa unapenda sana kunisaidia kumuhudumia mwanangu wakati yupo mdogo. Ulinisaidi kubadilisha nepi, kucheza naye ili niweze kufanya homework zangu, na pia kunisaidia kumbembeleleza pale nilipo hitaji msaada wako. Leo hii nafurahia sana ninapo kuona mmekuwa Best Friends wanguvu! Mimi sana cha kukulipa chenye thamani ya uliyonifanyia kwani hakuna zaidi ya kusema asante sina mdogo wangu na nakuombea kheri na baraka nyingi sana hapa duniani. Screenshot_2016-01-30-11-29-18-1IMG_20160130_111136Hii ni moja ya matukio ambayo nitayapenda, nitayaenzi, na kukumbuka daima. Just three of us on your birthday!! Natamani itokee tena birthday yako ukiwa USA, will spoil you like tomorrow is end of the world???IMG_20160130_110523Awwih! How do I miss you young lady, bowling is no longer funny without you my game-mate!! Your presence in Kalamazoo made a whole new world to us, and we’ll forever count and cherish those blessed moments! Indeed we are ready for the “re-do!” IMG_20160130_111416Tunakupenda, tunakukumbuka, na tunakungojea tena for the tour across America ??? IMG_20160130_143655Happy birthday my darling babysister and my Lawyer, Advocate Magreth O.O. Igogo. I love you more that you can ever imagine ?❤❤❤

#TBT

FB_IMG_1454005445003#TBT January 30th 2013, my darling daughter  (with black jacket) my babysister Lawyer Magreth Igogo and I. Kalamazoo, Michigan. ……❤❤❤

Halotel ndio habari ya mujini na vijijini!

FB_IMG_1453997668975Wapendwa wasomaji wangu haswa mlipo Bongoland je umepata kusikia hii habari njema? Kuna mtandao mpya kabisaaaa ambao sasa ndio gumzo la mujini na vijijini kote! Halotel kwa matumizi ya mawasilino yenye uwakika, na Internet yenye ubora wa hali ya juu. Jiunge sasa na Halotel na wala hutojutia ??

Some sense of humor!

Screenshot_2016-01-28-11-31-42-107f36d034c256156af62547cfc22ce815f8

Hot shot of the day

FB_IMG_1453959237542Mr and Mrs Nyagilo from Bongoland ??Huyu ni mdogo wangu anaye nifuata, Advocate Janeth Igogo na huyu ni shemeji yangu wa “kimataifa” lol! The son of Jomo Kenyata, and a nephew to Raila Odinga ?? mmependeza sanaaaaaa , mbarikiwe.

Hongera sana Mtoto wa Tandale!

Screenshot_2016-01-28-11-25-51-1We Diamond wee ee! Haya “matusi” yako ni makubwa sana lakini mimi sikubali lazima ni “revenge” tuu sikumoja ?? yani nitabeba “mabox” mpaka kieleweke tuu ?? Screenshot_2016-01-28-11-25-26-1Wow! Wapendwa haya ndiyo mambo ya kuiga na kushindania  (kwa jasho halali). Nani alijua?!! who knew folks?!!Let God be called God!! Sikuzote mtoaji ni Mungu lakini lazima uvitafute kwa bidii na kwa njia halali halafu yeye “anajazilizia’ tuu!! Hongera sanaaaaaa Mtoto wa Tandale umetisha sana ?? mama naona jinsi gani alivyo na furaha moyoni, but let all the glory and honor be to God!

A word of wisdom

FB_IMG_1453959427549

Huwezi kumzuia ADUI…….

kukutisha, kujitapa, kukukejeli na kukudhihaki, kujiona yeye ndio bora kuliko wewe………kubwa Simama kwenye nafasi yako. Ukikaa kwenye nafasi yako wote waliokukataa, waliokususa, waliokudhihaki, waliokutusi na waliokuona si lolote si chochote ipo siku watakuunga mkono. Waliokuona hufai kuwa kwenye maisha yao…………………..hao hao watasimulia mambo makuu kuhusu wewe, watakutamani na watakuheshimu. Hata wasipokiri kwa vinywa vyao mioyo yao itakiri na kuthibitisha wewe sio wa kawaida. Kumbuka Ulivyo leo sivyo utakavyokuwa kesho. Nakukumbusha tena Kaa kwenye nafasi yako, ndani yako unayo mambo makubwa ambayo bado hujafanya hata Robo.

FB_IMG_1453959328000

Wewe sio wa kawaida…….mtag na umwambie na mshikaji/shost wako wewe sio wa kawaida…Usilale wewe ndio kwanza kumekucha. Simama kwenye nafasi yako. Je nafasi yako unaijua?????

Kutoka Facebook

FB_IMG_1453998045068Nimependa sana hizi picha za rafiki yangu wa miaka mingi sana toka tupo shule pale Kowak Girls Secondary school iliyopo wilaya ya Rorya, mkowa wa Mara. Hapo ndipo tulikutana na mpaka leo hii zaidi ya miaka 20 bado tu marafiki sana.  Yeye anaishi Geita………..ha! ha! ha! Ngoja niwape story moja hivi ya huyu rafiki yangu ??? kwa mara ya kwanza kusikia mvua inapiga kelele kwenye bati ilikuwa shuleni Kowak! Aliliaje sasa, alikuwa anatetemeka kama mtu mwenye mapepo! Tulikuwa wageni kabisa shule tupo form one akasema hakuwahi kusikia mvua ikifanya hivyo , tukawa tunamshangaa lol! Kumbe toka azaliwe amekulia kwenye nyumba za ghorofa ??marehemu baba yake alikuwa General Manager wa Mwatex hivyo siku zote ameishi kwenye nyumba za shirika. Halafu shule alisoma Nyakaoja, Mwanza ambapo nazo ni ghorofa. Maisha ya watu na experience ni tofauti sana, kile ambacho wewe unaweza kufikiria kuwa ni kitu cha kawaida “normal /simple thing” kumbe kwa mwingine ni miujiza! Lakini bado wote ni binadamu na thamani yetu wote ni sawa kabisa…………Kuna binamu yangu yeye alikuwa anasema anaomba Mungu amjalie apate elimu nzuri na pesa ya kuweza kumjengea mama yake nyumba yenye paa ya “mabati” eti naye aweze sikia sauti ya mvua ikinyesha kama wengine ?? kwani akiwa ndani ya nyumba ya “majani” hasikii wala hajui mvua kama inanyesha mpaka atoke nje!! Lakini Mungu si Athumani, her wishes came true! Nasasa hivi ni judge mwenye PhD naalipo anza kazi kitu cha kwanza alimjengea mama yake nyumba ya “mabati”!??FB_IMG_1453998006263Prisca umependeza sana. Mbarikiwe wewe na familia yako. Much love ❤❤

Mh. ShyRose Bhanji-Kikazi zaidi

Screenshot_2016-01-27-11-27-43-1Mh. ShyRose Bhanji akiwa ndani ya Bunge la EALA. Napenda sana kumuangalia huyu dada yangu kwani ni mwanamke shujaa sana. Nimekuwa nikimfatilia safari yake katika maswala ya siasa kwa muda mrefu sana. Kwakweli nimejifunza mengi sana toka kwake kama mwanamke. Hakati tamaa, na haogopi kujaribu. Nimfano mzuri sana kwa watu haswa wanawake ambao wanafikiria kupata “shot cut” kwa kuigawa “miili” yao kwaajili ya kufanikisha malengo yao. Screenshot_2016-01-27-11-27-21-1Well, mtu anaweza sema wapo wanawake waliofanikiwa kwa kuigawa miili yao! Sasa ngoja nikwambie hao wanawake ni kama jipu linalovuja usaa halafu wao wakalipangusa kwa nje na kufunga vizuri na bandage bila kutoa “kiini” cha jipu! HAKUNA MAFANIKIO bali ni wamejiweka au kujijengea daraja la utumwa kwa wanaume! Yani siku zote hawatokuwa na amani wala furaha moyoni mwamgu kwani wanajua wako “powerless” hawawezi simama wenyewe bila kutoa miili yao. Na huwa hawafiki mbAli kabisa. Hii ni hata kwa wale wanao pata maendeleo kwa kutumia njia isiyo halali, huwa hawana amani, wala furaha, hata kama anapesa kiasi gani. Hivyo ni bora uangaike kwa jasho lako hata kama ni kwa tabu lakini matunda yake ni matamu sana. Hongera sana dada yangu Mh. ShyRose Bhanji kwa kuwa mfano mzuri kwa jamii yetu. Ubarikiwe sana. (Pichani ni Mh. ShyRose Bhanji, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje Dr. Susan Kolimba, na mwingine ni Mbunge wa EALA).

Shout-out to all strong ladies out there!

Screenshot_2016-01-24-21-10-56-1

Hot shot of the day

IMG-20160127-WA0000Hii leo ndio picha yetu ya moto moto! Baba yangu, kaka yangu mkubwa, wifi yangu mkubwa na my nephew  Gabriel.  Wifi yangu yeye anafanya kazi Utegi Technical Enterprises Ltd, hivyo baba yetu ni “top boss” wake. Kwahiyo hapo kuna undugu wa kidamu na ki-business ??  IMG-20160127-WA0001Mambo yakuchangia gari na mumewe (kaka yangu) basi siku nyingine kaka yangu huwa anabanwa na kazi zake hivyo inabidi wifi yangu apande daladala ?? hiyo haikumpendeza boss wake (baba yetu) jana akaamua kum-surprise na “kausafiri” wake ambao hautumii mafuta sana na hivyo nirahisi kwake kumudu mizunguko ya mujini…………..”Amen. It was always painfull to me seeing my own daughter in law jumpimg on daladalas, While I could afford her a  vehicle. So yesterday I suprised her with that small gift. She was Amazed!” ? hayo nimaneno yake babamkwe wa ukweli ?? Haya hongera sana wifi yangu, sasa nikiwa Dar utanikomaje na mizunguko ???❤❤❤ you!

Father and daughter moment

Screenshot_2016-01-27-11-27-56-1Ha! Ha! Ha! Nimependaje hii picha! Huyu ni kaka yangu anaitwa Martin Sarungi hapa yupo na binti yake. Nimecheka kwanza kwasababu ya hiyo peace symbol  (✌) aliyo weka mtoto wake. Huyu kaka yangu yeye ni Chadema / UKAWA damu damu. Naona kamridhisha na binti yake? ubarikiwe sana kaka yangu na familia yako yote.

Penny Tenga katika ubora wake

FB_IMG_1453913047946Sister Penny doing what she does best! Kufundisha watu nikipaji cha pekee sana haswa kufundisha watoto wadogo. Sio wote wanaoweza kusoma na kushika pen au chaki wanafaa kuwa walimu / wakufunzi! Ni talanta waliojaliwa nayo watu wachache sanaaaaaa kama huyu dada yangu. FB_IMG_1453914015070Hapa ni siku ya Sabato   (Juma Mosi iliyopita) akiwafundisha watoto maneno ya Biblia kuhusu uumbaji wa Mungu. Penny yeye si mwalimu, ila anahicho kipaji cha kuelekeza / kufundisha watu kwani hata sehemu kubwa ya kazi yake ni kuelekeza watu……Kama nilivyo sema kipaji cha kufundisha watu ni kipaji cha pekee sana, kwakweli mimi sikujaliwa nacho ?? mimi na panick haraka sana na huwa nakuwa confused kama mtu anielewi! Hata mwanangu anajua hilo yupo radhi afundishwe na mtu mwingine lakini siyo mimi ??? nilimfundisha kuendesha gari mbona ilikuwa ni patashika?! Lakini hakuwa na ujanja alielewa tuu mpaka akapata driving license yake. Hakuna ubaya wowote kusema your weakness (es) ni njia moja wapo yakuonyesha kuwa umekomaa kifikra na unajitambua!Hivyo mimi huwa nipo muwazi sana sioni shida kusema my weakness as a normal human being! FB_IMG_1453913081327-1Naomba nimpongeze dada yangu Peninah Tenga kwa kipaji ambacho Mungu amemjalia nacho na anakitumia kama kinavyo stahili, zaidi kwa kumtukuza Mungu. Ubarikiwe sana dada yangu na Mungu awaongoze watoto wetu washikemafundisho yake, Amen!

Manhood

imageMy dad, Mr O.O Igogo,  enjoying himself somewhere in China last week. We thank God for His traveling mercies, he’s safely back home.

Let us support Maryam

Screenshot_2016-01-27-10-34-03-1Nimevutiwa na gukuswa sana na maneno ya #KichunaWaKizaramo hapo juu ☝ ……….Hongera sana Maryam, Mungu akuongoze, akubariki sana,  usiishie hapo tuu bali ukawe the next Christian Amanpour!

Screenshot_2016-01-27-11-29-08-1Wow! Mama akiwa beneti kabisa na binti yake, kwa support na upendo wa mzazi. Hongera sana Linda kwa kuwa mama mwema. Screenshot_2016-01-27-11-31-03-1Wapendwa wasomaji wangu, nawaombeni tum-support mtoto wetu. Maryam pia yeye amejaliwa kipaji cha ushonaji, na amesha onyesha dalili za kwenda mbali zaidi basi tumuunge mkono wapendwa. Yeye anabuni nguo za midoli. Unaweza kuona kazi zake na mambo anayofanya kwa kum-follow kwenye IG yake kwa jina la #Fashionadoz. Mbarikiwe sana mnapo fanya hivyo. Screenshot_2016-01-27-11-28-44-1Once again, Congratulations Maryam and your whole group, wishing you the best of all.

Mother and daughter moment

FB_IMG_1453913754298-1Mama na binti zake. Wamependeza sana.  Mwenye dera la blue hapo kati ni my friend and schoolmate wangu toka Kowak Girls Secondary school iliyopo wilaya ya Rorya, mkowa wa Mara. Yeye anaitwa Maimuna, mwenye dark-blue ni dada yake mkubwa, na mwenye green ni mama yao mzazi. Asanteni sana wapendwa, mbarikiwe mno.

Manhood

FB_IMG_1453913149506-1Binadamu yangu Wakili wa kujitegemea Richard Opiyo  (Katikati) akiwa na marafiki zake ndani ya Ngorongo Crater, Arusha. Mbarikiwe sana