Nimependa sana hii picha ya Hawa, from the ‘Queens land’ kapendeza sana na lemba lake. Simple and beautiful!
Category Archives: Uncategorized
A word of wisdom
The New Yorkers family
I truly love the New Yorkers family, beautiful people with beautiful soul! Guys, you know how to partyy, one day gonna join you ? not like I’m jealous no-no-no! Just want to have fun with ya! ?? Awhh! Look at that msosi, so yummy!Halafu wee mtani mmh! Unapenda kurusha watu roho kha! And who is that ? yes him!! “Wivu sina lakini roho inauma” ?? Haya bwana, lemme zip it oops! Am typing! Brothers looking shap! ? Siyo siri umetisha mtani wangu! To cute ??
Hot shot of the day
Mr and Mrs Mali Kimesera. Naipendaje sasa hii couple ?? Wamependeza sana. Hapa ni jana wakiwa katika charity event huko Atlanta, Georgia a.k.a “Hotlanta” Georgia. Safi sana LB na Manager wake mnafanya kazi nzuri mno. Great example to many couples. Mbarikiwe sana.Huyu #KichunaWaKizaramo unajua ni level nyingine kabisa! Hiyo nguo aliyovaa Missy LB ni kashona mwenyewe designer wetu waukweli ? soma hayo maneno aliyo andika basi kama uwamini……… Nahivi ndivyo ionekanavyo kwa nyuma. Hongera sana #KichunaWaKizaramo Mungu akujalie ufike mbali zaidi. Pia hongera kwa shemeji yetu kwa kuwa Manager mzuri. Mbarikiwe mno ?
Kutana na Sophia Makoyo
Men in action!
Marehemu baba wa taifa na Rais Dr. Magufuli. Maneno kwa vitendo ????
Some sense of humour
Here’s some stress reliever…………..?
*If swimming is a good exercise to stay FIT, Why are whales FAT ?? ???
*Why is the place in a stadium where people SIT, called a STAND ????
*Why is that everyone wants to go to HEAVEN, but nobody wants to DIE ???
*In our country,We have FREEDOM of SPEECH Then why do we have TELEPHONE BILLS?!???
*If money doesn’t grow on TREES, then why do banks have BRANCHES ? ???
*Why doesn’t GLUE stick to its BOTTLE????
*Why do you still call it a BUILDING, when its already BUILT????
*If its true that we are here to HELP others,What are others HERE for ? ???
*If you aren’t supposed to DRINK and DRIVE…Why do bars have PARKING lots ? ????
*If All The Nations In The World Are In Debt, Where Did All The Money Go? ???
*When Dog Food Is New With Improved Taste, Who Tests It..? ???
*If The “Black Box” Flight Recorder Is Never Damaged During A Plane Crash, Why Isn’t The Whole Airplane Made Out Of That Stuff..? ???
*Who Copyrighted The Copyright Symbol..? ???
*Can You Cry Under Water.? ????
*Why Do People Say “You’ve Been Working Like A Dog”, When Dogs Just Sit Around All Day..?? ???
*Why we Drive on Parkways, and Park on Driveways? ???
*Why do Mosquitoes Suck Blood Instead of Oil so they can gain Weight?! ???
??? Enjoy
Source: unknown
Manhood
Lovely pics of Mr. Madebe. I love the kitinge, very colorful. Be blessed Mr.
Kutoka Facebook
Pendeza sana binti wa mzee Otto! Nimepitiwa na ulivyo vaa na mpangilio wa rangi za mavazi yako ni mzuri sana. Ubarikiwe sana. Simply beautiful!
A word of wisdom
Source: one of my Facebook friends.
Happy 1st birthday my son Evin
Happy 1st birthday my handsome boy. Mwenyezi Mungu azidi kukubariki, akupe maisha marefu yenye amani na furaha, na afya njema. Ukulinde na mapepo yooote ya dunia hii. Happy birthday my nephew, love you so much! Happy birthday Evin, we all love you!
Joke of the day
*The reason why I hate make-up*
1st Day : she comes looking like Lady Gaga
2nd Day : she comes looking like Beyonce
3rd Day : she comes looking like Rihanna
4th Day : she comes looking like Nicki Minaj
5th Day : she comes for a sleep~over ……. in the morning she looks like MR. IBU
⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇????? credit to Mambobiad
“Kushinda wivu…….”
Wivu ni hali ya kuwa na uchungu moyoni pamoja na chuki kutokana na mafanikio ya mtu/watu wengine. wivu ni mbaya na madhara yake ni makubwa pengine zaidi ya ghadhabu na hasira. Hasira ni ukatili na ghadhabu kali ni gharika, lakini ni nani awezaye kusimama mbele ya wivu?
Wivu unatokana na nini? Kuna mambo mengi yanayosababisha wivu lakini mambo makuu ni…….
1. Matarajiyo yasiyofanikiwa – Mara nyingine unaweza weka matarajio ambayo sio rahisi kufikia, na tunataka yafanyike haraka. Pale ambapo mambo hayaendi kama ulivyotarajia ndipo unakuta unatafuta mtu wa kumlaumu na unapoona mwingine kafanikiwa kwa jambo hilo hilo wivu unaanza kukuingia.
2. Kudhani kuwa unastahili zaidi – Unaweza kudhani kuwa kutokana na elimu yako, kazi yako au hata historia yako basi kuna mambo ambayo unastahili kuwa nayo. Pale ambapo unakuwa hujayapata na kuona watu ambao ulidhani wewe unastahili zaidi yao wamefanikiwa, wivu unaingia maana unaona kama wao hawastahili bali wewe maana uliwadharau.
3. Kutokujiamini – Wivu unaweza kukuingia kama wewe mwenyewe hujiamini, maana kutokana na kutokujiamini hutakuwa tayari kufanya mambo makubwa na utakapoona wengine wanafanya na kufanikiwa utafikiri wanapendelewa na ndipo utakapoanza kuwaonea wivu.
Utajiepusha vipi na wivu?
1. Acha kujilinganisha na wengine na pia usimdharau mwingine. Kila mtu ameumbwa kwa jinsi ya kipekee na tofauti. Mungu anampango na maisha yako na pia na ya mwingine kwa namna tofauti tofauti hivyo usipende kujilinganisha na mwignine au kumdharau mtu yeyote. Hutakiwi kujisikia vibaya pale ambapo unaona kuwa hauna vitu fulani ambavyo wengine wanavyo, Mungu anampango na maisha yako kwa wakati wake.
2. Fikiria na wengine. Umetumia muda mwingi kujifikiria wewe tu na maisha yako ndio maana wivu unapata nafasi, jaribu kufikiria na wengine pia. Angalia ni kwa njia gani unaweza kuwa baraka kwa watu wengine na kwa kufanya hivi utaona furaha na amani ya ndani na kugundua kuwa na wewe pia una kitu cha thamani ndani yako. Wivu hautaweza tena kukupata maana sasa utakuwa ni mtu wa kuwabariki wengine na sio kuwaonea wivu.
3. Kuwa tayari kulipa gharama. Unaweza muoneo wivu mtu sababu ya mafanikio yake kimasomo au kibiashara, je upo tayari kulipia gharama ilikupata mafanikio kama hayo? Hapa sizungumzii fedha bali ile kazi aliyoifanya kufikia hapo alipo, kusoma kwa bidii, kuamka mapema na kufanya kazi kwa bidii, kujitoa n.k. Badala ya kukaa na kuona wivu inuka na wewe ufanye kazi ili upate mafanikio yako.
4. Tumia vipawa vyako. Mungu amekupa vipawa vingi na nafasi nyingi ili kufanikisha maisha yako, badala ya kuangalia wengine wana nini, angalia wewe una nini na tumia ulivyonavyo ili uweze kufanikisha maisha yako na kutimiza ndoto zako. Mungu akubariki sana. Source unknown!
#TBT
#TBT 2012 Christmas, Kalamazoo, Michigan nikiwa na mdogo wangu anayenifatia kwa mara ya pili. I love her so much❤???
Kutoka Facebook
Nimependa sana hii picha ya Zawadi Kakoschke na mdogo wake Tina wakiwa Oman. Tina yeye anaishi Tanzania ila kwasasa yupo Oman kumtembelea dada yake. Unaweza ona picha nyingi na nzuri zaidi kwenye blog yao ya www.maisafari.com, au mfollow Zawadi Kakoschke kwenye Instagram. Mbarikiwe sana wapendwa.
BRAVO Mh. Rais!
Nani kama John Pombe Magufuli?! Wow! Hatakama unaichukia CCM ni ngumu sana kumchukia Rais wa awamu ya 5 ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Vitendo vyake vinaelezeya jinsi nafsi (roho) yake ilivyo! Wiki iliyopita niliandika kuhusu picha za Zari a.k.a “Mrs Chibu Dangote” akiwa ameenda kijijini kwa baba yake na watoto wake. Hizo picha nilizipa Tittle isemayo “True beauty comes from within” soma hapa. Naomba nirudie kusema uzuri wa mtu yoyote yule hauko kwenye sura yake, wala maumbile yake, wala usomi wake, wala mavazi yake n.k bali unapatikana kutoka ndani ya roho yake!Vitendo kama hivi anavyofanya Rais Magufuli ndivyo vitakavyo waunganisha Watanzania pamoja, kujiona kuwa wote ni ndugu haijalishi upo kwenye nafasi gani kimaisha. Ni vitendo vinavyo onyesha kuheshimu kila mtu kwa nafasi yake hata awe mfagia vyoo naye ni binadamu kama wewe anastahili kuheshimiwa na kuonyeshwa upendo. Nimfano nzuri sana kwa jamii. Matendo haya hayafanywi nakila mtu nilazima uwe na roho ya utu na uungwana to humble yourself, of course humbleness is God’s character thus one must have the Holy Spirit within him / her to humble yourself to this level. Hata kitendo cha mtu kufikiria kujishusha nilazima uwe na Roho wa Mungu ndani yako!………Sisemi kuwa marais waliopita walikua si watu wakujishusha hapana bali Rais Magufuli took it to the whole new level! BRAVO Dr. Magufuli! Nimefurahishwa sana na ujumbe huu wa Missy LB kuhusuana na Mh. Rais. Japo wote tunajua LB haikubali CCM (which I don’t blame her) lakini nafurahia kuona uungwana wake wa kukubali mazuri ya Rais wetu. Ubarikiwe sana #KichunaWaKizaramo Hili swala la “kujishusha” kwa Rais Magufuli siyo mara ya kwanza, nitabia amekuwa akionyesha hata kabla hajawa Rais. Napia hivi karibuni tulishuhudia yeye na familia yake wakishiriki katika kufanya usafi wa inchi yetu siku ya sherehe za Uhuru. Ubarikiwe sana Rais na familia yako yote! ?
Kutoka Facebook
My sister! Umependeza, na weusi wako usiyo chuja. Wapendwa wasomaji wangu huyu ni dada yangu mtoto wa marehemu baba yangu mkubwa. Yeye anaishi Tanga na familia yake. Mdogo wake ndiye yule anategemea kuowa yule wifi yetu mpya toka Tanga. Nime m-miss sana, love you sister!
Parents! Parents!
Parents with young children must be very careful when they take in adolescents in their homes. It is important to teach the young children about ‘bad and good touches’ and the urgent need to report them. Even when the adolescents are relatives, one must not assume that unmentioned incest taboos will keep the hot-blooded youths from fondling the younger children or even going all the away! This incident happened for real, it is true!……..The daughter of a friend of mine was repeatedly raped at home by her soft-spoken teenaged cousin who came to live with the family during the holidays. The daughter was silent for a while because of the shame of being used, as well as fear of reporting the violence to her ‘christian’ parents! The hardworking soft-spoken cousin continued raping this girl whenever the parents left for work and her siblings were occupied with play or homework! And then the nightmares started. The story came out through a cancelling session conducted by family’s Pastor. Pregnancy tests were negative so do the STD tests! However, the damage to this girl and family relationships is severe! The cousin was returned back to his village home and his tuition fees were cut-off. My friend started hating her husband because he failed to report his nephew to the police and failed to rebuke or punish the nephew! The daughter still gets horrible nightmares. Taking in poorer relative is cool and compassionate but it must not become a punishment or curse to one’s child!! Discuss the difference between “bad and good touches” with all the children living under your roof, even then ones living at your home temporarily/ holidays time, or when they go for sleepovers at their friends’ houses. Teach them who can kiss them and where. Not all kisses are good kisses; indeed not every person can kiss them. Prevention is better than cure, let’s protect our young ones!
Please note: The picture displayed has nothing to do with the story. It’s only to “glamourize” the page!
Hot shot of the day
Shamimu Mwasha looking hot! Mama wa 8020 fashion blog! Nimependa rangi na nguo yenyewe, ngozi safi nzuri mno, make-up imetulia kabisa! Mimi si mpenzi wa kuvaa vilemba lakini huwa napenda nikiona mtu kavaa halafu likamkaa vizuri kama yeye. Yani mimi kama ningekuwa na uwezo wa kuvaa T-shirt na skinny jeans au tighty kila siku ya Mungu basi ningevaa hivyo kila siku ??? sipendi shopping ya nguo kabisa aaaa hivyo mambo ya fashion nawaachia wajuzi kama Shamimu! Kwakweli huyu dada anajitahidi na nimevutiwa sana na ile TV yake mpya iitwayo Zeze TV, imenikuna haswa aaa nafikiria “kumgelezea” ??? Ubarikiwe sana mpendwa, keep doing the good work.
Joke of the day
“You keep editing your pics! What if gone missing………..How we gon find you? You look like Beyonce Online and Smeagol in Person!” ??? ??? ?? ?……….. #NaturalIsBeautiful