Mmependeza sana mama na mwanawe! Nani kama mama?! Furahini katika Bwana, na.mbarikiwe siku zote!
Category Archives: Uncategorized
Kutoka Facebook
Nimependa sana hii picha ya Ritha Semizigi, simple but beautiful! Ritha nilisoma naye Mgulani Primary School, sisi ni product ya Mwalimu Mwailafu ?? Pendeza sana my friend! Ubarikiwe sana
#TBT#
Collage days at CBE back in 2000………..old is gold ?
“Truth in plan sight”
TRUTH IN PLAIN SIGHT Tuesday, January 5, 2016
So………your man tells you he is not planning on having kids or getting married anytime soon as he is still sorting out his life…….. he tells you he wants to have his second degree, a proper house and a bigger car first…. you sit there smiling with just a birth certificate thinking you’ll be the wife?
With the little he has, you ask for brazillian hair and timberland……… he goes to work and goes straight to class after work…….he leaves you in pyjamas and finds you in the same pyjamas…….. while he studies you watch generations and isibaya……..He comes back home to find pap and chiken in the microwave everyday……….the house is clean and his clothes ironed……..the only serious conversation ya’ll have is about the typa groceries you guys need.
The only advice you give him is “babe you need to buy new socks, the ones you bought last time are torn” nothing intelligent comes out of your mouth…………..no plans of making your own life better………….yes you are pretty………no doubt about that!………so is every second girl passing by!!
Do you realize something……..you are not doing anything a maid can’t do………. he’s gonna finish school and the first thing he’s gonna do is REPLACE HIS MAID cause he can now afford to pay one and have a PROPER WIFE/GF.
Thats when we gonna hear your famous last words “l was with him through thick and thin when he had nothing, now that he is successful he thinks I am nothing” Yes you’re right…….you’ve always been NOTHING but a maid to him……
Empower yourself to be the woman your man wants to be with…….a woman who would be able to carry the whole family if anything happens to his job or his health!!!
Please note: Lupita Nyong’o has nothing to do with the moral of the story! I just used her pictures for decoration!………….credit to Vijimambo blog
A word of wisdom
Father and daughter moment
Lovely pic of Advocate Janeth Igogo and Sir. O.O Igogo. Simply beautiful!
Kutoka Facebook
Nimependa sana hii picha ya Lady JD. Rangi na mshono vyote vimemkaa vizuri sana. Sijamsikia huyu dada muda sasa au mie ndo nimezeeka?
Wazo la leo
I suggest of staying away let’s show them some love ❤ and get them to see the solution in every problem ? Tusiwatenge tuwanyooshe kwa upendo ?? tuwaonyeshe suluhisho kwa kila tatizo. Kazi njema! #ChangeTanzania
Hadithi ya dada yangu Grace-AnyangoNyoyoo!
??? acha nicheke kwanza lol! Je kwenye familia yenu mlishawahi kufanyiwa surprise ambayo kidogo iwatowe roho?! Basi huyu dada yangu alishawahi kufanya hivyo. Ni mtoto wa marehemu baba yangu mkubwa ambaye alikuwa mtoto wa pili kuzaliwa katika familia ya bibi yangu mzaa baba. Huyu dada yangu anaitwa Grace (official name), Anyango Nyoyoo (Jina la kilugha alipewa la bibi yake mzaa mama yake). Kwa sisi wa nyumbani tumezowea kumuita Anyango, waliosoma naye wanamwita Grace. Jina la utani ni Yondo sister (alikuwa anacheza sana muziki wa Yondo sister). Sasa siku moja tuliamka tukakuta yupo ndani ya magazeti kuwa ameshinda kuwa “Miss Kibaha” ??? kipindi hicho alikuwa “modo” kweli kweli! Hiyo picha juu ni last month ambapo ana watoto wawili teyari na wote wako above 18 (Hakuwaambia kuwa ana watoto)! Basi surprise hiyo ilitokea nafikiri ilikuwa miaka kati ya 94-95 kipindi hicho bado wazazi wengi walikuwa na mtazamo tofauti kuhusu mambo ya modeling na u-miss! Jambo hilo lilishtua sana wazazi haswa ukizingatia kuwa amezaliwa, kulelewa, na kukulia katika mazingira ya “conservative Sabato” hivyo was a big shocking news to all of us! Masikini si wazazi wakamkatalia kuendelea na mashindano. Kwahiyo ndoto zake za “umodo” zikaishia hapo ??
Hapa kitu cha kujifunza nikuwa wazazi tusiwe too strict kwa watoto wetu! Si kitu kizuri sana. Kila kitu ni kizuri kikiwa na limit na siyo extremely! Ni bora ujuwe mtoto wako kama anapenda mziki, au mambo ya umodo n.k kuliko kupata surprise kwenye magazeti au watu baki. Najua wazazi wetu walilelewa katika mtazamo tofauti na yetu hivyo mambo mengi kwao waliona kama ni uhuni au anasa. Yani maisha ya mtoto yapo so “structured” to the extent mtoto hapati nafasi ya kuwa mtoto na kupita hatua za ukuwaji ambazo anastahili kupitia. Malezi hayo ndiyo yanasababisha watu wengi kutoka Africa wanafanya vitu kinyume na umri wao. Yani mambo ambayo alitakiwa kufanya akiwa “teenager” anafanya akiwa mtu mzima na familia yake! Vile vile imefanya watu wengi haswa Watanzania kuwa very judgemental! Yani watu wanaishi maisha ya “kukariri” na “ku-fake”kwa sana! Yule ambaye anaenda tofauti na the “normal route” anaonekana kuwa amepotea au hana maana yoyote! Wazazi na watu wengi wa nashindwa kuelewa kuwa kila binadamu ni unique hatufanani! Kwamaana hiyo hatuwezi wote tukafata na kufanya mambo ya aina moja! Wazazi msibane sana watoto wapeni uhuru kidogo wa kupumua, kutafakari, na kuchangia katika maamuzi ya maisha yao. Wasaidie kuishi kwa kutimiza ndoto zao nasi zenu wazazi! Ilimradi havunji sheria au hamkufuru Mungu basi wewe msapoti tuu! Kila mtu anawito wake hapa duniani inawezekana ikatofautiana au ikafanana yote ni sawa tuu! Basi hiyo ndiyo hadithi ya dada yangu kipenzi Grace-AnyangoNyoyoo!
A word of wisdom
Family time-the Igogos
Ha ha ha! Leo nakupeleka kijijini kwetu Utegi, wilayani ya Rorya. Hapa kuna baba yangu mdogo, mama zangu, dada zangu, na bibi zangu. Yani wamenikumbusha kwetu! Kwenu ni kwenu hata kama nyumba za manyasi ati! Kheri ya mwaka mpya ndugu zangu, mbarikiwe sana
Happy New Year: The Bereges
Hawa naona wao walikula Christmas na New Year kwa jirani zetu huko Zambia. JB (Jimmy Berege) far right, ni my college mate at CBE, huyo kati ni kijana wake anaitwa Thomas, na huyo mwingine ni cousin-brother. Haya mbarikiwe sana wapendwa.
Family time-the Kakoschkes
The Kakoschkes wakimalizia vacation yao huko Bangkok. Pendeza sana and Happy New Year
Sister sister! The Sarungis
Hahaha! jamani hawa dada zangu hawa msiwaone hivi! Hawa walikuwa “Homa ya jiji” hapo Dar es salaam na Mwanza yote! Yani watu ambao walikuwa wanakula bata la kueleweka miaka ya 80 mpaka late 90 wanawajua hawa watoto wa marehemu mzee Robert Sarungi! Ndio maana nasema ni muhimu mtu kujitambua. Unaona hawa sikuhizi wamejikalia zao na familia zao mambo ya bata wamewaachia vijana lol! Happy New Year my sisters mbarikiwe sana.
Jipu la leo!
??????????
Sister sister!
Don’t play with wadada kutoka “kanda ya ziwa Victoria” ni warembo kupita kiasi. Just look at them! Hapa walikua wakitalii ndani ya jiji la Oakland Huko LA. Si utani lazima uwe “unajitambua” kuwa na wadada kama hawa! Hey, Yes you! Stop! Wake za watu hawa usilete maswali mengi ?? Mbarikiwe sana dada zangu!
Happy New Year-Tengas
Naona wa kwa Tenga nao walikusanyika kusherekea mwaka mpya pamoja. Nawatakieni Mwaka Mpya mwema, mbarikiwe sana wapendwa.
Mother and daughter moment
Picha yetu ya kwanza kabisa katika kipengele Chetu cha “mother and daughter moment” kwa mwaka huu 2016 inatoka huko Mbagala kwa binamu yangu kipenzi Tabu Obago na binti zake Julieth na Jacqueline. Hapa walikuwa wakisherekea mwaka mpya. Mbarikiwe sana wapendwa.
Happy New Year: The Sarungis
Hivi ndivyo familia ya mzee Prof. Sarungi walivyo funga na kufunga mwaka. Wamependeza sanaaaaaa Safi sana. Happy 2016 wapendwa.
Happy New Year -mama Pendo na timu yake
Salamu za mwaka mpya toka kwa timu ya mama Pendo. Kwakweli leo ndo nimeona madhara ya watoto wakike kubadilisha last name zao ?? yani nimeshindwa kabisa kukumbuka ubini (last name) ya hii familia japo ni watu tunao fahamiana sana kwa zaidi ya miaka 20! Nimejaribu kupekua wapi!! Watoto wakike waliolewa na kubadili majina mwe! Na wengine wanatumia majina bandia, basi imekuwa ngumu sana kukumbuka ndio maana nimeandika “mama Pendo” kwani n Pendo ndiyo first born wa familia hii. Mama Pendo nihuyo mwenye shortpants ya pink amemuegemea “barafu” ya roho yake (baba Pendo) pia naomba niseme Happy belated birthday to mama Pendo. Naona watu wengi wamefungua mwaka na birthday zao pamoja. Ok. Mbarikiwe sana wapendwa.