Happy belated birthday mtani wangu. Natumaini ulikuwa na siku njema na uliuwanza mwaka vyema. Hahahahaha! halafu Wahaya mnavituko yani wewe picha zako zote umepiga ofisini?! Ndo tujuwe kuwa una ofisini au uneajiriwa ??? Nitakomaje sasa kwenye Facebook ??? ole wako unichambe “nitampiga chini” mdogo wako ?? siunajua my future “Denzel Washington” anatoka Bukoba ???? Happy birthday mtani wangu. Be blessed.
Category Archives: Uncategorized
Jipu la jana
???? Wambie hao “vidudu” mtu ??? Jamani hii nimetoa kwa dada Joan yeye ni mtangazaji wa Bahari Fm Radio Zanzibar. Anasema mwaka huu anatatumbua “majipu” na hivi ndivyo alivyo anza ?? siku ya 1/1/2016! Basi usiwe nahofu mie nitakuletea kila jibu atakalo litumbua ???
Birthday Boy katika pozi!
He he he! Naona mtu kanunuliwa suti mpya na tai, sijui ndio wanajaribu kumwambia “muda wa kuowa” umefika ?? mwe! Huyu mdogo wangu ni mpenda starehe huyu ngoja avute vute muda kidogo ???? tatizo wadada wa “mujini” wamemganda kama ‘ruba’ vile ??? hapa naona yupo na mdogo wake. Wote wamezaliwa December. Soma hapa au hapa kusoma birthday wishes zao Haya kaka naona suti zimekukaa kweli kweli ?? lakini yani wewe hata wifi wabandia hukumpata upigenaye picha ?? Blessing sijui alikuwa ametoka kuamka? Maana kanuna lol! Haya nawatakieni Mwaka Mpya mwema. Hope to see you soon maana nimewa miss kichizi ?
Namshukuru Mungu
Namshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa kumponya mama yangu. Mama alikuwa anaumwa, huwa anasumbuliwa na Allergies pamoja na Asthma huwa anapata tabu sana especially majira ya joto kali. Hivyo for the past two weeks hali yake aikuwa nzuri sana lakini sasa anaendelea vizuri. Hapo ni siku ya Ijumaa Mrs Zou Fu Qiang alienda kumtembelea. Yeye ni family friend wetu. Tushukuru na kuwaombea marafiki wanao chukua muda wao kuja kutujulia hali. Mbarikiwe sana wapendwa. Love you mama!
Hello there!
Happy New Year wapendwa wasomaji wangu! Naomba mnisamehe sana leo nimeshindwa kuleta picha za familia kama ilivyo kawaida yetu. Lakini Nahaidi nitazileta kesho, kwa sasa nimebanwa kidogo. Natumaini mmeanza mwaka vyema. Asanteni sana.
#TBS#Home,02/2010 Nilikuwa likizo Bongoland na hapo nilikuwa nakwenda kula “bata” Hiyo nguo bado ninayo ila sijawahi ivaa tena sina uwakika kama bado inanitosha ? I love that color is one of my favorite colors. Haya Muwe na siku njema.
Nawatakieni Mwaka Mpya mwema!
Wapendwa wasomaji wangu, ndugu, jamaa na marafiki. Napenda kuwatakieni kheri ya kuufunga mwaka 2015 na kufungua mwaka 2016. Nasema asanteni sana kwa kutembelea hii blog bila kuchoka, sina cha kuwalipa zaidi ya asante. Naomba mnisamehe wale wote niliyo wakwaza kwa namna moja ama nyingine. Sidhani kama nilikusudia kumuumiza mtu na sina huwakika kama nimemuumiza mtu yoyote! Lakini kama binadamu huwezi jua hivyo najishusha kwa kusema I am sorry! Tuzidi kupendana, tuombeane, na tutakiane mema siku zote! ……………….Mdogo wangu ? Blessing naye anawatakieni mwaka mpya mwema. Anasema yeye ni mpenzi wa hii blog hivyo siku zote anatembelea na kuwasoma hapa kwa kutumia mtandao wenye mawasiliano na Internet ya kuaminika. #Halotel ndiyo habari ya mujini na vijijini!
Nawaacheni na huu wimbo. Nimoja ya nyimbo ninazo zipenda sana sana. Yani huwa nausikiliza kwenye gari karibia kila siku!
https://youtu.be/9aIhta9exts
Happy New Year wapendwa. Tukutane 2016 ???
Wimbo nilio upenda zaidi mwaka huu 2015 #Utanipenda?
Nimeusikiliza huu wimbo zaidi ya mara 20, believe me! wimbo huu una ujumbe mzito sana ambao mtu yeyote yule anayekaa chini na kutafakari vitu haswa watu walio kuzunguka lazima utakuliza! Very touchy song with a Billion $$ question #Utanipenda? Nakuletea behind the scene za wimbo huu na wimbo wenyewe angalia na tafakari sana tunapo malizia mwaka huu na ufanye maamuzi sahii! Je hao watu iwe ni rafiki, jamaa, wapenzi, n.k waliokuzunguka je ungekuwa hauna hivyo vinavyo wavutia sasa je wangekubali kusimama nawe? Je vipi vikiondoka ghafla wataendelea kuwepo au nao wataondoka? #Utanipenda?
#TBT# Mahojiano yangu yamwisho kwa mwaka 2015: Bin Zubeiry
Unamagari mangapi? Yapo matatu tu, Passo anayotumia mke wangu, Range Rover na BMW ambazo natumia mwenyewe
Continue reading #TBT# Mahojiano yangu yamwisho kwa mwaka 2015: Bin Zubeiry
A word of wisdom
Dr. Ben Carson (Retired world renowned neurosurgeon, and Republican Presidential Aspirant) wrote this beautiful piece. Read and be blessed………
“Sometimes you are unsatisfied with your life, while many people in this world are dreaming of living your life.
A child on a farm sees a plane fly overhead and dreams of flying. But, a pilot on the plane sees the farmhouse and dreams of returning home. That’s life!! Enjoy yours.
If wealth is the secret to happiness, then the rich should be dancing on the streets. But only poor kids do that.
If power ensures security, then officials should walk unguarded. But those who live simply, sleep soundly.
If beauty and fame bring ideal relationships, then celebrities should have the best marriages. But those who live simply, walk humbly and love genuinely!
All good will come back to you!!!
Man asks, “Where was God when Myles Munroe, wife and his associates were killed in a crash? He answers, “The same place I sat when John the Baptist my servant was beheaded. When Stephen my servant was stoned to death. When Paul my servant was murdered in Rome. The same place I sat when my only Son was brutally crucified, wounded, bruised and killed. I have not moved from my position.” I am the same. It is not the means of exit from earth that matters but the destination. Live simply. It’s all about God!!”
kheri ya siku ya kuzaliwa mdogo wangu Guka Igogo
Oya! Siunajua nakupendaga right ? Ok. Nakutakia furaha na kheri ya siku ya kuzaliwa kwako. Mungu akuzidishie neema. May u have more faith in God as u turn……years old! All I can wish u on ur birthday is happiness, success and long Life in this world my adorable baby brother Guka Igogo….I Love u n u know it aah! (Your sister ☝) Happy birthday dogo and Prosperous New Year ?❤
Happy birthday Hon. Madam, Judge
My heartfelt birthday wishes to my darling cousin-sister Honorable, Madam, Judge Dr. Modesta Makopolo! Wishing countless blessings filled with joy, love, and happiness. Happy birthday mutoto wa shangazi yangu. Love you! ?
Kheri ya siku ya kuzaliwa mdogo wangu Mai Igogo
Kheri ya siku ya kuzaliwa mrembo wa Utegi ? uwe na mwaka mpya mwema ulio bubujikwa furaha na amani. Happy birthday beautiful! Love you!
Kheri ya siku ya kuzaliwa Mwl. Ngonyani
Nakutakia kheri ya siku ya kuzaliwa mzee wangu Mwl. Ngonyani. Mungu akulinde, akupe afya njema, na furaha tele. Pia uwe na kheri ya kumaliza mwaka 2015 na kuuanza mwaka 2016. Ubarikiwe siku zote. Much love from Texas.
Eddah Elegant Catering Christmas party
Niliahidi kuleta hizi picha hapa, basi ngoja nitimize ahadi yangu. Kwa wale mliotukutia kati ni vihi, wiki iliyopita siku ya Christmas Eddah Elegant Catering iliandaa party kwa familia na wanajumuiya wote wa ishio Maryland na vitongoji vyake. Basi zifuatazo ni picha za kazi waliyoifanya. Huyu ndio mama EEC (Eddah Elegant Catering) mwenyewe. Hongera sana tena sanaaaaaa Eddah Gachuma. Kazi yako imefurahiwa sana. Nawewe mwenyewe ulipendeza sana.Mapambo na rangi zake zimeendana kabisa na tukio. Imependeza sana. Ninaposema Eddah Elegent Catering naomba ujuwe kuwa si wababaishaji ati! Ni watu wa huwakika na kile wanachokifanya. Hivyo usije sita kuwatumia pale unapo hitaji catering. Nimependa Ubunifu wako wakujua kuwa Christmas ni siku ya kifamilia zaidi hivyo ukakumbuka kuweka sehemu ya watoto nao wakafurahi. Unajua hakuna ubaya wowote watu hata kumi kufanya biashara ya aina moja. Kitu kikubwa ni ubunifu! Wewe unajitofautishaje na wengine ili uvutie wateja wote kwako Kwa mfano kuna weza kuwa hata na KFC kumi katika eneo moja lakini huduma zao ndizo zitakazo watofautisha kati ya mmoja na mwingine. Hivyo kazania sana kuwa mbunifu, na huduma zako zidisha ubora zaidi ya hapa. Hata kama unapata faida kidogo lakini kama watu wanakupenda watakuita kila siku kwenye sherehe zao. Ukishajenga trust kwa wateja wako yani hata uwa charge kiasi gani watakuita tuu. Kwa mara nyingine tena hongera sana Eddah Elegant Catering kwa kazi nzuri unayofanya. Najua next time itakuwa nzuri zaidi na zaidi. Wapendwa hizi ndizo party za kwenda haswa kwa wazazi. Party zenye heshima na hadhi zake . Party ambayo uwoni aibu kumwambia mtoto wako twende sote mwanangu! Party ambazo zinajali familia na kuandalia watoto sehemu yao bila gharama ya ziada. Siku nyingine ukisikia EEC wanaandaa event yoyote yani usikose.
Hot shot of the day
Wow! Black Beauty! Huyu anaitwa Aisha toka Bongoland. Nimependa sana hii picha, haswa ngozi yake. Ngozi nyeusi laini na nzuri kabisa. I mean her skin texture is to die for! Mimi binafsi napenda sana weusi wangu tatizo nililonalo; ngozi yangu ya uso inamafuta sana hivyo huwa napata chunusi usoni. Na dawa nyingi za kuondoa chunusi zina bleach basi napataje shida?! ?? kwa hiyo huwa nikiona watu wenye ngozi kama ya Aisha huwa na furahia sana. Tunza ngozi yako dada ni rangi adimu sana kupata sikuizi. Nashukuru sana Mungu mwanangu naye anangozi kama yako, very soft!Ubarikiwe sana mpendwa. Uwe na mwaka mpya mwema.
Happy 61st birthday Denzel Washington
Awii! Nampendaje sasa huyu mwanaume ?? mwanaume mwenye akili timamu zilizo kamilika, mcheshi, mnyenyekevu, ana wingi wa hekima na busara, aliye jawa na hofu ya Mungu! Did I say he got money too?!?? Mh! some women are just lucky huh!?? 61 and still hott! Happy 61st birthday Mr handsome! God be with you always ❤
Kutoka Facebook
Leo kutoka Facebook nimependa sana hii picha ya Zawadi na binti yake. Wao wameenda kupumzika huko Bangkok kwa sasa. Unaweza wa follow kwenye IG kwa majina haya Zawadi Kakoschke, Bintimalaika, au wa tembelea kwa familia blog yao hii www.maisafari.com
Happy birthday Sophia Makoyo!
Napenda kumtakia my darling cousin-sister kheri ya siku ya kuzaliwa. Ubarikiwe sana, uwe na maisha marefu yenye amani, furaha, na afya njema. Mungu akutangulie katika masomo yako. Happy birthday girl! Much love ?
“Tumtangulize Mungu we are nothing bila Mungu”
Mother and daughter moment
Kichuna cha Kizaramo a.k.a Missy LB muke ya Mali pamoja na binti yake kipenzi Brenda. Napendaga sana hii familia na smile zao, lovely and genuine!? Wamependeza sana. Mbarikiwe wapendwa.