Category Archives: Uncategorized

Happy 70th birthday mzee Manongi

IMG-20151004-WA0001Kheri ya siku ya kuzaliwa mzee wetu Stanley Manongi. Leo hii umetimiza miaka 70 ya kuishi katika sayari hii tulio pewa na Bwana. Umetimiza ahadi ya Mungu kuwa mwanadamu ataishi miaka 70, na zaidi ya hapo ni miaka ya upendeleo  (grace period ) kutoka kwa Mwenyezi Mungu! Pokea na furahia upendeleo huo, kwani unastahili mzee wetu. IMG-20151004-WA0000Tunakutaki na kukuombea maisha marefu zaidi, yaliyo jaa afya njema, amani, upendo, na furaha nyingi mno. IMG-20151004-WA0004Tunakuombea wewe na mama yetu, maisha mazuri zaidi ya haya. Mkapate kufurahia ‘pension’ ya Bwana Mungu pamoja katika amani na afya njema. Ubarikiwe wewe na uzao wako wote. Happy 70th birthday baba yetu. We love you!

Hot shot of the day

FB_IMG_1444803774233-1Hot pic of Mr and Mrs Ngonyani. So lovely! Mbarikiwe sana.

Mother and son moment

FB_IMG_1444803568048Wow! Pendeza sana mama na “jembe” lake la nguvu. Beautiful! FB_IMG_1444803582625Mbarikiwe sana wapendwa.

Kutoka Facebook

FB_IMG_1444803819095-1Nimependa sana hii picha kutoka huko Facebook. Natural beauty, kapendeza sana.

How do you party?

FB_IMG_1444362176925Eddah na wifi yake kipenzi Lulu Saria wakila raha ndani ya Washington DC. FB_IMG_1444362154846Mambo ya casino hayo.  Kama hela yako ni ya “mfungo” kama ya Alpha hapa basi usije kanyaga sehemu hizi ? waachie wenye pesa zao ??  You rock da Eddah. FB_IMG_1444362147905Mtu na wifi yake, raha sana.   FB_IMG_1444362166741-1Wifi yetu mrembo, mcheshi, na mwenye upendo mwingi. Ubarikiwe sana wifi Lulu.  FB_IMG_1444362201012Mwili haujengwi kwa mawe ati! Vyakula vizuri ni muhimu. FB_IMG_1444362211576Eddah na mumewe kipenzi Vincent, yani sharti kwa kudeka.  FB_IMG_1444362226239Wow! Party yoyote ili ikamilike lazima watu waogonge glass ? mmependeza sana

Hot pic of the day

FB_IMG_1444622740531Mwe, huyu ni mdogo wangu kabisa anaitwa Guka. Yani huwa anavituko siku zote. Anyway nimependa haya mapigo na mapozi yake. He looks Hot! FB_IMG_1444622716370hapa anasema number one ni CCM. Team Dr. Magufuli hao. FB_IMG_1444622733627cheka muongeze siku za kuishi ??

Baba na mama Manongi

IMG-20151004-WA0005Mzee Manongi na waridi la roho yake. Wamependeza sana. IMG-20151004-WA0012Mbarikiwe sana wazazi.

Father and daughters moment

FB_IMG_1442500324317Baba na mabinti zake wamependeza sana. Hakuna kitu watoto wakike wanahitaji sana katika kukuwa kwao zaidi ya uwepo wa baba yao / zao katika maisha yao. FB_IMG_1442500331215Upendo ambao mtoto haswa wa kike anao upata toka kwa baba yake unasaidia sana kumpa confidence  na kuweza ku-accomplish  kitu chochote kile. FB_IMG_1442500290334Kazi nzuri sana Vincent, umekuza haswa. Na hongera sana kwa kuwa baba mwema kwa wanao. Mbarikiwe.

Kumbukumbu

IMG-20151009-WA0000

Leo tarehe 12.10.15 umetimiza mwaka mmoja toka ututoke tarehe 12.10.14 katika hospitali ya Muhimbili. Umeacha pengo kubwa katika familia ya Marehemu Philip Ambrose Macha.Unakumbukwa daima na watoto wako Maryam,Mustara. U nakumbuka na  watoto wa dada zako na kaka. Unakumbukwa na dada zako Saum, Maryam, Thanisa, mama wakubwa, wadogo, kaka, mashangazi, wajomba, team Manchester, mtani jembe, wanajumuiya wa Fransis wa exaver,waumini wa kanisa Katoliki la Hananasifu. Bwana ametoa na Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe milele. Roho ya marehemu Anna Philip Macha ipate rehema kwa Mungu apumzike kwa amani, Amina.

Naomba nitoe pole zangu za dhati kabisa kwa wafiwa wote, ndugu, jamaa, na marafiki wa Anna, pamoja na ukoo wote wa Macha. Mungu awape faraja na muweze kupata amani katika Bwana wakati mkiendelea kuomboleza cha mpendwa wenu. R.I.P Anna.

Kutoka Facebook

FB_IMG_1444622606034Leo nimependa picha hii ya Sophy, natural beauty so cute

There’s no competition in God given Destiny!

I was jogging this morning and I noticed a person about 1/2 a kilometre ahead. I could tell he was running a little slower than me and I thought, good, I shall try to catch him. I had about a kilometre before Ineeded to turn off. So I started running faster and faster. Every block, I was gaining on him just a little bit. After just a few minutes I was only about 100 metres behind him, so I really picked up the pace and pushed myself. You would have thought I was running in the last leg of an Olympic competition. I was determined to catch him. Finally, I did it! I caught and passed him. On the inside I felt so good. “I beat him” Of course, he didn’t even know we were racing. After I passed him, I realised I had been so focused on competing against him that I had missed my turn. I had gone nearly six blocks past my turn and I had to turn and go back.

Isn’t that what happens in life when we focus on competing with co-workers, neighbours, friends, family, trying to outdo them or trying to prove that we are more successful or more important? We spend our time and energy running after them and we miss out on our own paths to our God given destinies. The problem with unhealthy competition is that its a never ending cycle.

There will always be somebody ahead of you, someone with a better job, nicer car, more money in the bank, more education, a prettier wife, a more handsome husband, better behaved children, etc. But realize that “You can be the best that you can be, you are not competing with no one.”

Some people are insecure because they pay too much attention to what others are , where others are going, wearing and driving. Take what God has given you, the height, weight and personality. Dress well and wear it proudly, you’ll be blessed by it. Stay focused and live a healthy life.

There is no competition in Destiny. Run your own race and wish others well!!——-by anonymous

Hongera Mr and Mrs Bilton Otto

FB_IMG_1444319093219~3~2Hongera sana Mr Bilton kwa kuamua kufanya ‘maamuzi magumu’ ya kuachana na maisha ya u-single na kufunga ndoa, kuanza maisha mapya ya familia. Hongera sana! FB_IMG_1444319126268~2~2Harusi yao ilifungwa katika kanisa Katoliki la Mtakatifu Maurios, Kurasini na kufanyika Marantha Hall, Msimbazi CenterFB_IMG_1444319023444~2~2Mrs Lulu Otto, amependeza sana. Hakuna ajuae kuumba kama Mungu! wifi yangu kaumbwa na akaumbika kweli kweli ? FB_IMG_1444319073277~2Mungu awabariki sana upendo wenu ukadumu milele FB_IMG_1444319126268~2~2Naomba niwakumbushe tena wale walevi kuwa huyu mrembo si Lulu Andrea Nyigo tena bali NI MKE HALALI Wa NDOA WA BILTON TOBIAS OTTO! Heshima inahusu sana, wajaluo huwa hawataki matani na wakezao ooooh! Usijesema sijakwambia. FB_IMG_1444319093219~2Hongera sana Bilton, umepata mke mwema mpende na umtunze vyema kama utunzavyo mboni ya jicho lako. FB_IMG_1444319051171Mawifi naona wao walivaa “dark-red” mmependeza sana. Haya kaka kesha owa mumshike wifi yenu kwa mikono yenu yote miwili lasivyo itakuwa “imekula” kwenu ?? 

FB_IMG_1444319004969~2Safi sana. Mmependeza mno?? FB_IMG_1444318994885~2Hongera sana Mr and Mrs Bilton Otto ❤❤

Hongera sana Cecilia

FB_IMG_1444360997456Hongera sanaaaaaa binti yetu Cecy kwa kumalizia elimu yako ya msingi. FB_IMG_1444360969305Huu uwe ni mwanzo tuu, tunakuombea uwendelee mpaka upate ile elimu ya juu ambayo Mungu ataona inakufaa kupata. Mungu akutangulie, akakushindie majaribu yote na ukaishike sana elimu usiiache.  FB_IMG_1444360956936Hongera sana dada yangu na shemeji yangu kwa kukuza binti. Mungu abariki uzao wenu wote.  FB_IMG_1444360990994-1Kwa mara nyingine tena, hongera sana Cecilia. Ubarikiwe sana.

Happy 4th birthday Alicia

FB_IMG_1444359984261Napenda kumtakia kheri ya siku ya kuzaliwa mtoto mzuri Alicia. Alicia leo ametimiza miaka minne. Tunaomba Mwenyezi Mungu amlinde, ambariki, amuongoze katika maisha yake ya hapa duniani na ya kiroho. Amuepushe na mabalaa yote pamoja na mapepo wabaya wa hii dunia.  FB_IMG_1444359938686Alicia ni mtoto wa Eddah na Vincent wanaishi Ellicott, Maryland. Mungu awabarikiwa sana wazazi wake. Happy birthday gorgeous! Can’t wait for the party  ??

U.S.A Green Card Lottery: Jaribu bahati yako!

USA_GreenCard_HeadHaya kwa wale wanaotaka kujaribu bahati zao za kupata Green Card ya Marekani na hatimaye kuwa raiya wa Marekani basi huu ndio wakati wako. Ni msimu wa lottery ambao unakujia kila mwaka (kama hawajabadilisha) mwezi kama huu.  Unaweza cheza kila mwaka mpaka siku utakapo shinda. Kama unapenda basi ingia kwa mtandao wao kwa kuponyeza ‘hapa‘ au copy link hiyo hapo ?? chini

http://www.travel.state.gov/content/visas/en/immigrate/diversity-visa/instructions.html USA_GreenCard_Head

Naomba ieleweke yakuwa mimi Alpha sihusiki na kitu chochote kuhusu hii lottery. Nimefurahi share tuu hii link kwa watakaopenda kujaribu. Lakini kama unaswali kuhusu jinsi ya kujiandikisha tafadhali sana naomba uwasiliane nao kwa njia ambayo wameeleza kwenye mtandao / tovuti yao! ?KILA LA KHERI!?

Kutoka Facebook

FB_IMG_1443975078065Dada Tuma katika ubora wake ? kapendeza sana na vazi lake la kitenge, love the shoes. Hapa alikuwa yupo teyari kwenda kumsifu na kumtukuza Muumba wake siku ya Sabato. Ubarikiwe sana dada yangu.

Hot Shot of the day

FB_IMG_1443975105415Mwajuma, mother of three and a wife! Looking absolutely gorgeous! Everything is just right-now point! ? FB_IMG_1443975120935Beautiful! FB_IMG_1443975111856Gorgeous!

Malaika’s 8th birthday party!

Mwishoni mwa mwezi ulio pita Malaika Kakoschke alitimiza miaka 8 ya kuzaliwa kwake. Na hivi ndivyo alivyo sherekea pamoja na marafiki zake………..2015-10-04 12.06.032015-10-04 12.03.532015-10-04 12.05.072015-10-04 12.09.03Mama Malaika akiwa busy kabisa kuwa entertain marafiki wa Malaika.  FB_IMG_1443974465953Lovely!

2015-10-04 12.05.352015-10-04 12.03.09kwa picha nyingi nzuri zaidi  tembelea www.maisafari.com……..kusoma post ya birthday wishes bonyeza hapa …………….Happy birthday girl , you such a gorgeous daughter!

Kutoka Facebook

FB_IMG_1443588036010Nimependa sana hii nguo ya kitenge kutoka kwa dada yetu ShyRose. Rangi ni nzuri, mshono mzuri sana, pia na yeye mwenyewe jinsi Mungu alivyo muumba kafanya nguo ipendeze zaidi ?? Nampenda sanaaaaaa huyu dada yangu hana majivuno wala mkuu na mtu! Such a beautiful, humble  lady with a ‘diamond’ soul! Ubarikiwe sanaaaaaa dada.

Family time-the N’diaye

FB_IMG_1443975134509Father and his children enjoying Sunday brunch in the Queens. Very cute babies. FB_IMG_1443975128247And here n is mama and all the children. How lovely! Mbarikiwe sana.