Category Archives: Uncategorized

Manhood

FB_IMG_1442500307440Baba na mwanawe mkubwa. Wamependezaje sasa.  Safi sana.  FB_IMG_1442500314923Hapa ma kijana wake mdogo. Hongera SANA Vincent kwa kukuza.  Jamani mume wa mtu huyu!! Nawatahadharisha wale wenye macho mia-mia, wakina dada nisipitwe ??

How do you party?!

FB_IMG_1442496990862How do you party?! Nimeamua kuanzisha hichi kipengele cha “how do you party?!”  Nitakuwa naweka picha za matukio tofauti ya watu wanavyo kula raha ? na leo naanza na wana San  Francisco. Hapa walikuwa kwenye Concert. FB_IMG_1442496995738Regina, gal! You are too cute! God bless you  FB_IMG_1442497002257Ukishikwa Sharti ushikamane ati!  Wenye bahati zao ☺ I am not jealous just being honest ?

Mr and Mrs Lyimo

FB_IMG_1442497011219Mr and Mrs Lyimo! Wamependeza sana.  Safi sana Regina and Lyimo mfano wa kuigwa! Mbarikiwe sana, mapenzi yenu yadumu milele zote.

Hot shot of the day

FB_IMG_1442099801807Dada yetu kipenzi chetu ShyRose Bhanji akiwa na mama yake (aunt / mlezi) nyumbani kwao Mwitongo, Musoma vijijini. Safi sana, nani kama mama. FB_IMG_1442099809843Tafadhali hapa alienda msalimia mama. Hizo uniform za chama alizovaa ni mapenzi yake kwa chama chake na ukizingatia sasa hivi ni wakati wa campaign. Ubarikiwe sana dada yetu.

Kutoka Facebook

2015-09-15 10.36.06Leo nimependa sana picha hii ya Happy. Nimependa rangi ya gauni lake pia amependeza. Ubarikiwe.

Tuwapende na kuwaheshimu walimu wetu

FB_IMG_1441688921784Kila mtu hapa dunia amejifunza  kitu fulani kwa maana ya kuwa hakuna aliyezaliwa akijua kituchochote bali ni kwakujifunza. Mfumo ya kujifunza ipo ya aina mbili formal  (mfumo rasmi) na informal  (mfumo usio rasmi). Haijalishi ni mfumo gani umetumia kujifunza kwani yote lengo lake ni kutoa elimu. Na wale watu wanao tumika kutoa elimu wanaitwa walimu kwasababu wanakuelimisha.  Continue reading Tuwapende na kuwaheshimu walimu wetu

Happy 12th Wedding Anniversary to Mr and Mrs Nyagaswa!

FB_IMG_1442162783960Napenda kuwapongeza  Mr and Mrs Nyagaswa kwa kutimiza miaka 12 katika ndoa yao. Mungu awalinde, awabariki sana, mapenzi yao yazidi kusonga mbele na wadumu pamoja mpaka kifo kitakapo watatenganisha.  FB_IMG_1442162792166Hapa ilikuwa siku ile kuu, siku ya ndoa yao miaka 12 iliyopita. “Thank you Lord for our 12 wedding anniversary. ” Hayo ndiyo maneno machache sana lakini ni mazito kutoka kwa mke mwema Dr. Elizabeth Daniel Oming’o. Kwani ni Mungu tuu bila Mungu hak uh na kitu!!………..Happy 12th wedding anniversary my darling cousin. Mbarikiwe sana.

Happy 51st Wedding Anniversary to Mr and Mrs Musira

FB_IMG_1442162824184Napenda kuwatakia mama yangu mkubwa pamoja na baba yangu kheri na furaha ya miaka 51 ya ndoa yao. Mungu azidi kuwalinda, kuwabariki sana, upendo, furaha na amani vizidi  kutawala maisha yenu na nyumba yenu. Mmekuwa mfano nzuri si kwetu sisi watoto wenu hata kwa watu wengine. Mbarikiwe sana. FB_IMG_1442162911883-1-1Kwa faida ya wengi; mama Musira au Mrs Musira ni dada yake mkubwa na mama yangu mzazi. Yeye ndiyo mtoto wa kwanza kuzaliwa katika familia ya mama yangu. Pia alikuwa mlezi wa mama yangu wakati anasoma secondary huko nyumbani kwa watani zangu Rugambwa Secondary. Vile vile walikuwa ni walezi wangu mimi wakati nasoma Kowak Girls Secondary school. Mzee Musira ndiyo alikuwa akija kwa mikutano ya wazazi pale wazazi wangu walipo shindwa fika, kwani ilikuwa ni rahisi kwa mzee Musira kufika si tuu kutokana na ukaribu wa wanapoishi bali pia alikuwa Mkurugenzi wa Elimu wa diocese ya Musoma (kwa kanisa la Catholic) hivyo kila mkutano lazima anakuwepo. Asante sana baba na mama.  2015-09-13 11.51.37Hapa ni mwaka jana waliokuwa wanasherekea Jubilee ya ndoa yao. Atukuzwe Baba Mungu aishie mahali pa juu Mbinguni.  FB_IMG_1442165014532Hapa ni mimi na wadogo zangu Janeth na Magreth pamoja na mama mkubwa. Tulienda wasalimia huko Kamnyonge, Musoma mwaka 2013.  FB_IMG_1442165050258-2FB_IMG_1442165035697

 Kwenye picha hizi ☝ ni mimi na wadogo zangu pamoja na baadhi ya watoto wa mama mkubwa Neema (mwenye top nyeupe na nyeusi) pamoja na Yacinta (mwenye pink na black)…………Happy 51st Wedding Anniversary wazazi wetu. Tunawapenda sana.

Je, unaishi mikononi mwa Farao?!

Kuna wakati unakuwa inlove lakini actuallywewe ni kama Mtumwa aliyeko Misri kwenye himaya ya Farao! Umekazana kulia na kumfurahisha mpenzi wako ambaye hana tofauti na Farao. Lina roho ngumu, hajali hisia zako, anaku-treat wewe kama object halafu wewe unavumilia na kupoteza muda wako wakati hata ndoa hujafunga naye! Wakati huku nje kuna akina Musa kibao wanajaribu kukutoa utumwani Misri ili uingie Kaanani, nchi ya ahadi, nchi yenye maziwa na asali, nchi iliyojaa upendo na furaha. Lakini wewe cha ajabu, unasema “you are in love?” na Farao?? Yani hupo teyari kufunga maktaba na shetani? Mateso yote anayokupa na kukutumikisha lakini you still think ipo siku life itabadilika na Farao atakuwa mwema! Farao hawezi kuwa mwema kamwe, hata siku Misri ibadilike haiwezi kuwa na Maziwa na Asali!!

Wake up, go after your destiny, toka Misri nenda Kaanani uishi kwa raha. Mapenzi yana raha sana ukiwa Kaanani, huyo Farao unaloling’ang’ania wala halikupendi na halina future na wewe. Poleni wale mnaodate na Farao, fungueni macho, Musa anawasubiri!!

Mama na wanawe

FB_IMG_1441688623789Aren’t they cute?! Wamependeza sana halafu wazurije! Regina umebarikiwa  watoto wazuri sanaaaaaa na familia nzuri mno, hongera! FB_IMG_1441688720208Nyie ni warembo sana ? FB_IMG_1441688611279safi sana, mother and son ?FB_IMG_1441688669943Dada na kaka, wazurije sasa. Wamependeza sana ? FB_IMG_1441688654587Mbarikiwe sana wapendwa ??

Happy 4th birthday to my darling niece -Essy

2015-09-06 16.07.30Napenda kumtakia mpwa wangu kipenzi cha roho yangu kheri ya siku ya kuzaliwa. Essy ametimiza miaka 4 siku ya leo. Naomba Mungu ajalie maisha marefu na mazuri, awe na afya njema, amlinde na maadui na mapepo yote ya dunia hii. FB_IMG_1441573927426Essy ni mtoto wa mdogo wangu anaye nifuata. Hapa nilikuwa nimekwenda kuwasalimia kwao mwaka 2013 akawa ameamka na kuni kiss kama unavyo muona. Ma’am I need to visit Bongoland ASAP ? FB_IMG_1441573851403Hapa ni Essy na wazazi wake walikuwa nyumbani kwa kaka yangu mkubwa (first born) huko  Kunduchi Beach. Siku hii kaka yangu alinichinjia Mbuzi na Kondoo na kuita familia yote kwenda kula kwake. Ni kawaida kwa kaka yangu kunichinjia na kufanya family dinner kwakuwa mie sikai Tanzania hivyo atuonani mara kwa mara. Wazazi wa Essy  wanakaa Mbezi Africana hivyo wao hutembeleana mara kwa mara na kula BBQ mara nyingi.IMG-20150608-WA0011Hapa Essy na wazazi wake pamoja na mdogo wake Evin. Walikuwa Serena hotel for some family dinner.  2015-09-06 16.07.30Once again Happy 4th birthday my cutie pie, aunt Alpha miss you and love you so very much  ????

Family time -the Lyimos’

FB_IMG_1441511953982 FB_IMG_1441511931434 FB_IMG_1441511923816You got to love this family! So beautiful and lovely! The Lyimos’  enjoying some family bonding time at Art Wine &  Jazz in San Francisco, California. Mbarikiwe sana wapendwa and keep that love always.

Hot shot of the day

FB_IMG_1441512010394Isn’t she gorgeous! Aika you are very-very beautiful my dear! You’re becoming a ‘min Regina’ ? I need to search for em old photos that we took together wayyyyy back and throw them back  one day ?    FB_IMG_1441512001992Such a gorgeous yound girl! May God continue to bless you, protect you, and guide you to become the best woman that He wanted you to be! Much ? from aunt Alpha.

Kutoka Facebook

FB_IMG_1441512219713Nimependa sana hii picha ya Mr and Mrs James Chanda. Wamependeza sana.

BTW,  James ni kaka ambaye tumefahamiana kwa miaka mingi sana. Tulikutana mara ya kwanza Buttler Community College, Andover, Kansas. Nikiwa nasubiria ride from my cousin brother China Igogo naye alikuwa anasubiri kuona adviser basi katika kuongea ndiyo tukajuana wote wa Tanzania na pia wanafahamiana sana na kaka yangu. Basi akampigia na kumwambia asije kunifuata yeye atanirudisha kwani ilikuwa inachukua kama saa moja hivi kutoka Wichita mpaka hapo college. Natoka hapo tukawa marafiki akawa siku ambazo anaenda shule huwa ananipitia na mimi kwa wakati huo nilikuwa sijajifunza kuendesha gari na ilikuwa msimu wa snow. James Asante sana. Uzidi kubarikiwa sana wewe na familia yako yote.

Father’s Day wishes

FB_IMG_1441513105274Leo ni siku ya kinababa huko Australia. Hivyo napenda kuwatakia wale wote wanao ishi maeneo ya huko (wababa na wababa watarajiwa) kheri ya siku ya kina baba haswa kwa mume wa rafiki yangu Aidan Nyongo. Mungu awabariki sana.2015-04-22 19.06.31“Happy Father’s Day to my amazing husband”  hayo ni maneno ya mke mwema Fina Nyongo………….mbarikiwe sana wapendwa!

#FBF

FB_IMG_1441390215001Muheshimiwa ShyRose Bhanji akiwa vacation Zanzibar mwaka 2004. Simply beautiful!

Nini faida za hirizi wanazo fungwa watoto?

FB_IMG_1441135967436Jamani kama kuna mtu anajua naomba kuelimishwa kuhusu hizi hirizi ambazo wanafungiwa watoto. Nimesha ona wengine wanafungiwa shingoni kama cheni na kunawanao valishwa mkononi kama Princess Lattifa (mtoto wa Diamond na Zari).  Naamini hizi huwa zinatoka kwa waganga wa kienyeji wale wanao roga watu (siyo wanao uza madawa ya kienyeji). Kama nitakuwa nimekosea basi nielimishe tafadhari. Sasa naomba kuliaza inamaana mtoto huwa anapelekwa kwa waganga na kufungiwa au zinauzwa tuu mahala fulani na watu wanaweza kununua? Na nini haswa faida zake katika ukuwaji wa mtoto.

Naomba uwelewe kuwa na heshima sana imani za watu na uhuru wa kuabudu kitu wanacho kiamini. Hivyo nataka kuelimishwa tuu na siyo kumkashifu mtu. Asante.

Hongera sana Mariam Kimesera

FB_IMG_1441339014943Hongera sanaaaaaa Mariam  Kimesera kwa nafasi uliyopata toka Georgia Music Awards. Mungu akubariki na huu uwe mwanzo tuu wa mambo mengi mazuri na makubwa zaidi ya hapa. FB_IMG_1441339025711Mariam alichagulia kuwa mmoja ya watu waliokuwa waki-present zawadi za washindi katika sherehe au tukio la GA Music Awards iliyofanyika tarehe 21 / 08 / 2015 katika jiji la Atlanta, Georgia, USA.  FB_IMG_1441339075921Mariam alipata nafasi ya kuwakilisha / kukabidhi zawadi kwa watu watatu tofauti. FB_IMG_1441339101390Mariam ni mtoto wa  tatu wa mwanamitindo aliyetukuka Missy LB (Linda Beuzenhount). FB_IMG_1441339056026Hapa akiwa na mama yake pamoja na International model Renee Norris tayari kwa kuingia kwa red carpet.  Wote watatu walikuwa wamevaa nguo zilizo shonwa na LB……Hongera sana Mariam.

Hot shot of the day

FB_IMG_1441339007037Missy LB katika u bora wake! She’s on fire ? Alikuwa anakwenda kwenye GA Music Awards.  FB_IMG_1441338989542Kwakweli msimchezo, ni mrembo sana ?  FB_IMG_1441339044408Kama kawaida Missy LB siku zote huwa anashona na kuvaa nguo zake. Hongera sana Linda

Huduma ya haraka kwa upungufu wa sukari mwilini

Ubongo wa binadamu unahitaji sukari ( glucose) kwa mda wote kama gari inavyohitaji mafuta.Sukari hiyo itokanayo na vyakula aina ya wanga, huingia katika mzunguko wa damu na kuzipatia chembechembe za ubongo sukari ya kuendeleza utendaji.  Hivyo ni vyema kusema ubongo hauna uwezo wa kuzalisha au kuhifadhi sukari ya kutosha  matumizi ya  baadaye.

Kutokana na hitilafu ya kingosho (dysfunctional pancreas) wagowja wa kisukari huwa na hali ngumu ya kuthibiti sukari katika kipimo kinachohitajika na hivyo hujikuta   sukari kuwa juu kupita kiasi (Hyperglycemia) au chini kupita kiasi(Hypoglycemia).  Japo hali zote huhitaji huduma, leo tutazungumzia Hypoglycemiaambayo huhitaji huduma ya haraka ili kuokoa maisha. Soma zaidi hapa