Category Archives: Uncategorized

Family Time

FB_IMG_1433687760639Ni juma Pili, na kama kawaida ni siku ya kurusha picha za  ‘family time’. Na leo nawaletea familia mama na baba watatu.

FB_IMG_1433687766038Mama watatu naye hakubaki nyuma, kapendeza sana

FB_IMG_1433687748357Hongera sana baba watatu kazi nzuri sana

2015-06-07 11.56.07Wanapendeza kwa kweli

FB_IMG_1433687699336Family that plays together stick to gother! Mbarikiwe sana mama na baba watatu.

Aika got talent!

FB_IMG_1433690474163Wow! Aika! Yani umenifurahisha sana my doll! Mungu akubariki ufike mbali na ndoto zako zote zitimie!Amazing!

FB_IMG_1433690469242Aika ni binti wa Mr and Mrs Lyimo ambao wanaishi  San Francisco, California. Nafurahia sana kuona kipaji alichonacho Aika na inakuwa kama mshangao kidogo kwa jinsi watoto wanavyo kuwa haraka. Aika ni mtoto ninaye mfahamu tangu mdogo kwani wazazi wake walikuwa wakiishi Michigan kabla ya kuhamia California, na pia ni watu ambao tulikuwa karibu sana. Hongera sana Regina na Lyimo kwa kukuza.

FB_IMG_1433690463136Keep it up Aika, and remember to put aunty Alpha in your payroll once you get that contract ha! ha! ha!

Kutoka Facebook

Nimependa sana hii picha ya dada Tuma. She said she dress-up for her Jesus yesterday. Alikuwa anakwenda kanisani jana siku ya Sabato. Ubarikiwe sana dada yangu!

FB_IMG_1433687916458

Congratulations baby Monica-Sue

FB_IMG_1433690628361Wow! Wow! I would like to congratulate Monica-Sue Mashimi a.k.a Monie for this  achievement! Monie has graduated  from kindergarten and now heading to start her Elementary school in Fall semester. Good job cutie! Let me keep encouraging you by this quote:
nelson-mandela-quote-education-is-the-great-engine-of-personal-development-itCongratulations Monica-Sue!

Mother and daughter Moments!

Nimependa hizi picha za mama na mwana. Wamependeza kwakweli.

FB_IMG_1433102950900Penny na binti yake Nandi,  very nice!

FB_IMG_1433690419497Regina na binti yake Aika…..beautiful! Btw Happy belated birthday Regina. Ubarikiwe sana.

FB_IMG_1433687589403Mwajuma na binti yake Rougaitou, lovely!

Its Fathers’ Month

IMG-20150607-WA0031Namshukuru Mungu kwa mambo mengi sana! Na moja ya vitu au mambo ambayo siku zote huwa nashukuru ni hii zawadi ya mtoto ambayo alinipatia, sina lugha yakuelezea ni jinsi gani huwa namshukuru Mungu sanaaaaa!

IMG-20150607-WA0034Mungu alinizawadia zawadi ya mtoto katika umri ambao sikujua vizuri thamani yake au umuhimu wa uwepo wake katika maisha yangu lakini nilijua kuwa its worthy to keep her alive! Na leo hii ndiyo naelewa haswa thamani halisi na umihimu wa mwanangu kwa maisha yangu! Sitachoka kumshukuru Mungu siku zangu zote!

IMG-20150607-WA0052Kwa maneno naweza sema mwanangu ni rafiki yangu mkuu, lakini kimatendo au kiuhalisia mimi ni mama yake na ndingependa siku zote bond ambayo nitakuwa nayo ni bond ya mama na mwana na wala si bond ya best friend! Yeye anamarafiki zake ambao anawa consider kama best friends  zake,  na mimi ni mama yake ambaye uhusiano wetu ni wakaribu na uwazi kiasi ya kwamba yupo huru kuongea nami kitu chochote! Best friends sometime can’t tell you the truth but your mother always will!

2015-05-30 10.31.51Najua kuna wamama wengi ambao wako single  (not married) ambao mara nyingi huwa wanapenda kusema “mimi ndio mama, na mimi ndio baba!” Kwakweli mimi binafsi huwa sipendi huo msemo hata kama I’m a single mother, kwani naamini baba yake siku zote ataendelea kuwa baba yake na hata siku moja mimi kama mama siwezi kuchukua nafasi ya baba yake maishani mwake! Yote yale mazuri ambayo ninamfanyia mwanangu mimi nafanya kama mama ambaye anamapenzi ya dhati na mwanae na si kwamba nafanya kwa niaba ya baba yake!

FB_IMG_1433696440826Sasa basi ni influence ya kiasi gani ambayo baba mzazi anaweza kuwa nayo kwa mtoto hapo inategemea na kiasi gani huyo baba alijihusisha na maisha ya mwanae. Na hapo ndipo kunakitu kinaitwa “father figure” au “mother figure.” Yani hawa ni walezi walio simama kama wazazi katika maisha ya mtoto.

Kuzaa kunakufanya kuwa baba au mama lakini haikufanyi kuwa mzazi! Mzazi is earned not given!! Those who nurtured and inspired you to  be the person whom you’re today hao ndio wazazi wako. Kwa maana hiyo tunapo sherekea au kufurahi baba zetu katika mwezi huu wa Sita kama ilivyo desturi ya hii dunia; basi napenda kumshukuru sana baba yangu mzazi si tuu kwa kanilea mimi bali pia kwa kusimama kama baba mlezi wa binti yangu (father figure). Niukweli usio pingika kuwa kupata baba mwenye roho ya utu, hekima, busara, na upendo kama alio kuwa nao baba yangu ni nadra sana katika jamii ya Waafrika haswa Tanzania. I’m more than blessed!! Asante sana baba yangu. Mungu azidi kukubariki sanaaaaa mpaka ushangae hahaha!

Kama una picha yako na baba yako  ungependa kushare nasi basi kuwa huru na tutumie kwa [email protected]

Asante sana.

Kutoka Facebook

Nimependa sana hiinpicha ya mama double G (George Jr and Georgina Faith) a.k.a Fina Nyongo. Yupo simple lakini kapendeza sana.

FB_IMG_1433372416699

Hongera Millen Magese

FB_IMG_1433089819632Naomba nichukuwe fursa hii kumpongeza mrembo, mwanamitindo wa kimataifa , na Miss Tanzania 2001-Millen Magese (mwanzo alijulikana kama Happiness Magese) kwa kutununikiwa tunzo ya “Global Good Award” na kituo cha television cha BET (Black Entertainment Television) cha Marekani.

28412_387312786985_591511985_4463172_5687224_nTuzo za BET ni moja ya tuzo kubwa sana duniani, najambo la kujivunia sana kama Watanzania ni kutokana na ukweli wa kwamba kipengele cha Global Good Award ni kipengele kipya kabisa ambacho kimeanzishwa na kituo hicho mwaka huu 2015 na Millen Magese amekuwa mtu wakwanza kutunukiwa tuzo hiyo!

FB_IMG_1433309087240Millen Magese ametukiwa tuzo hiyo kutokana na kuwa mmoja wa wanaharakati duniani watokao bara la Africa ambao wanapigania awareness na kinga ya ugonjwa ujulikanao kama ‘Endometriosis.’ Kwakweli mie siyo mtaalamu sana wa maswala haya ila nakuhaidi kumtafuta ntu ambaye ataweza kutufafanulia kwa kina kuhusu ugonjwa huu.Millen ameungelea kwa kadri awezavyo jinsi anavyoteseka, na matumaini yake ya kupata mtoto yalivyo shuka kabisa kwenye interview aliyofanya na Sporah Show (tazama video hapa chini).

https://youtu.be/jPrfEQuyhS0

Nimesoma kutoka katika mtandao wa Endometriosis Association kuwa ugonjwa huu unatesa mamilioni ya wanawake duniani na wengi wao huwa wanaishia kutokuwa na uwezo wa kupata watoto kama hawata pata matibabu mapema. Pole sana Millen.

Mmoja wa marafiki zake ambaye pia ni shabiki wake mkubwa aitwae Loveness Hoyange alimpongeza Millen kwa maneno haya  “Africa please help me to congratulate our very own former Miss Tanzania, International model, The statute of Tanzania, Icon of the nation and humanitarian Millen Happiness Magese who has been honored and nominated to receive BET Global good award 2015 for her incredible work in educating and empowering women about Endometriosis. This is a new category at the BET awards this year and Millen will be the very first person globally to receive it. What an honor to Tanzania and the entire African continent! Millen has been the symbol of hope and courage to many women across the continent through her Endometriosis work. Millen you humbled yourself and today GOD has lifted you up. When we mocked your efforts in educating women about endo you called us sisters. You loved Tanzania even when we gave you a reason to hate us. You have a heart of GOLD and today God has decided to make your name shine among nations. Congratulations my love I am super proud of you”

Kwa mara nyingine napenda kusema pole sana kwa mauumivu unayopitia, na pia hongera sana kwa tuzo uliyopata kwani unastahili.

Kutoka Facebook

FB_IMG_1433284639517Nimependa sana hii picha ya hawa public figures! Hapa walikuwa huko Mwitongo, Butiama, Mara ambapo Muheshimiwa Makongoro Nyerere a.k.a Mako alikuwa amekwenda kutangaza nia ya kugombea urais kwa tiketi ya CCM. Muheshimiwa Shy-Rose Bhanji pamoja na mwanamuziki Lady Jaydee walikuwa miongoni mwa watu waliokwenda kumpa support. Kila la kheri Muheshimiwa Makongoro!

Busara za marehemu baba wa taifa

 2015-05-13 22.34.23“Hapa hatuchagui mtu maarufu, Hapa tunachagua mtu safi na huyu si safi. Kama unapenda sura yake basi nenda kanywe naye chai.  Wengine mnasema aaah ni tuhuma tu. Samuel (Sitta)! Yusuf (Makamba)! Mnasimama hapa mnasema ni tuhuma  tu! Lakini mtakumbuka mke wa Kaisari alipotuhumiwa  kwa ugoni Kaisari  akaagiza uchunguzi ufanyike. Uchunguzi ukafanyika na ikabainika kwamba sio kweli. Lakini Kaisari bado akamuacha, akasema mke wa Kaisari hapaswi hata kutuhumiwa. Na sisi hapa Mgombea wetu hapaswi hata kutuhumiwa wakati wapo wengine safi ambao hawana tuhuma. Kama mkimteua huyo mimi sitapiga kampeni. Siko tayari kumsafisha mtu matope  halafu ndio nimuombee kura. Hapana kabisa. Huyu mimi najua si msafi na nchi nzima inajuasi msafi. Hafai kuwa mgombea wetu.”  – Mwl. Julius Nyerere, NEC Dodoma, Juni 1995 Nyerere,

Credit to www.U-turn.co.tz

 

 

Miriam Odemba

FB_IMG_1432823417638The one and only one gorgeous International Model Miriam Odemba (in Oprah’s voice)!! Stunning to say the least!

FB_IMG_1432602563054Miss Odemba attended the ‘Youth’ premiere during the 68th Annual Cannes Film Festival that was held on May 20th, 2015 in Paris, France. (Pictures credit to gettyimages)

FB_IMG_1432604758293

At the same time Miriam Odemba was featured in Fashion Week Germany Margazine; what a milestone! Congratulations missy you are truly making us proud!FB_IMG_1432823358918Proud of you! Btw, for those who don’t know us (Miriam and I); we came a  long way! Those days before being Miss Temeke. Funny thing I used to do her hair hahahahaha! Hakikosa msusi ananitafuta nimsuke! 🙂  🙂 #GO-GIRL! #GO-NYarTuri-GO!

Kutoka Facebook

FB_IMG_1432764933221Nimependa sana hizi picha za Mr. and Mrs. Mali. Wamependeza kwakweli ki-BBQ zaidiFB_IMG_1432764920493FB_IMG_1432764943650Linda is rocking her own handmade dress from LB designs

Its Mothers’ Month

FB_IMG_1432794048612Amazing  picture of aunt Sophia Ateng and daughter AnnD…….. No one like mama!

The Hot shot of the day!

FB_IMG_1432568093180Mr. and Mrs Obama…………..Simply Beautiful!

Manhood!

Nimependa sana hii picha, nimetumiwa na baba yangu kwa Watsapp. Inapendeza sana kuona picha za wazazi wetu jinsi walivyo tumia ujana wao kuendeleza inchi yetu, tofauti  na vijana wa sikuhizi ambao nguvu zao nyingi wanatumia kwa mambo ambayo hayawajengi kiroho, kimwili, wala kiuchumi. Hongera sana Sir. Kinana and President Kikwete.

IMG-20150525-WA0000

Mungu ni mwema wakati wote!

Kwakweli sikuwahi kuwaza kuwa ipo siku nita post habari za misiba hapa kwa hii blog. Ila my “morals” inaniambia nilazima niweke haswa kwa sababu kuu mbili zifuatazo (1) ni ndugu zangu (2) ni blog yangu binafsi haiko sponsored na kampuni yoyote hivyo sina pingamizi. Basi kwa maana hiyo; kuwanzia leo kama kuna msiba wa ndugu yangu wakaribu au rafiki yangu wa karibu basi nita share nanyi kwa hii blog.

FB_IMG_1432478728295
R.I.P baba mdogo……you will always be missed

Wiki hii haikuwa nzuri kwetu kama familia na ukoo wa Igogo. Tumepatwa na misiba miwili ndani ya wiki moja na wamepishana only a day. Pichani ni marehemu baba yangu mdogo ajulikanaye kwa jina la Agonda, amefariki siku ya Thursday katika hospitali ya Bugando, Mwanza.

Ni baba yangu mdogo kwa pande zote mbili; yani kwa baba na kwa mama (Double undugu). Kwa baba, marehemu alikuwa ni mdogo wake baba kwa ukoo (au kwa lugha za wenyewe wanasema cousins). Marehemu alizaliwa katika kijiji cha Utegi, wilaya ya Rorya, mkowa wa Mara na huko ndipo atakapo zikwa.

FB_IMG_1432479047955
Kutoka kulia kwa chini-: 1st born: Felister Cornel Awiti (Mrs. Musira) 5th born: Cecilia Cornel Awiti (Mrs Igogo) last born: Magreth Cornel Awiti (Mrs. Sassi)

Kwa upande wa mama marehemu amemuoa mama yangu mdogo kitinda mimba (last born) kwa familia ya mama yangu mzazi (Familia ya marehemu mzee Cornel Awiti). Kama picha hiyo hapo juu inavyo jieleza. Basi ndio maana nimesema hapo mwanzo kuwa marehemu ni baba yangu mdogo kwa pande zote mbili.

2015-05-24 10.28.18Picha hapo juu ni marehemu alipokuwa kwenye graduation ya binti yake Dorice Sassi a.k.a Vumi.  Vumi kama wengi tupendavyo kumtwa, yeye ni mtoto wa pili kuzaliwa, lakini ni binti pekee kati ya watoto watatu wa familia hiyo. Mungu akupe nguvu Vumi, can’t imagine what you are going through right now and personally I don’t want to ever be in your shoes! So  sad to lose someone you truly loved and cared for. I have lost aunties, grandparents, uncles, cousin-sister, cousin-brother that were truly close to my heart, I know how it feels, but can’t imagine losing a father! Pole sana mdogo wangu, Mungu awape nguvu.

2015-05-24 10.57.37
R.I.P Jessica Kateti Sarungi

Msiba wa pili ni wa my niece Jessica Kateti Sarungi.  Huu msiba umetokea jana katika Hospitali ya Muhimbili. Marehemu Jessica alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa wa SickleCell na jana Mungu aliamua kumpunzisha.
FB_IMG_1432479118688Napenda kuchukua fursa hii kuwapa pole au salaam zangu za pole kwa familia ya kaka yangu Jamoko Kateti Sarungi (kwenye picha hapo juu). Kwa jinsi ninavyo mpenda mwanangu sipati picha ni maumivu ya namna gani waliyo nayo sasa kwa kuondokewa na binti yao kipenzi. Mungu awe nanyi katika kipindi hichi kigumu. Jessica atasafirishwa kwa ndege kesho hasubui kwenda kijiji Utegi ambapo ndipo wazazi wake wanaishi, pia ndipo Jessica alipo zaliwa na kukulia.

Picha za kuagwa kwa Jessica zimepostiwa na baadhi ya blogs, naomba niseme hili, binafsi sipendezwi na tabia ya watu au baadhi ya bloggers kupost picha za maiti kwenye mitandao. Ila hii link ambayo naweka ni blog ya mtu mwingine hivyo ipo nje ya uwezo wangu. Zipo Hapa

Najua kuna watu wanaweza kujiuliza kuwa nina undugu gani nao especially hiyo last name ya Sarungi kwasababu ni jina ambalo limezoeleka sana katika jamii ya Watanzania.

Kwa baadhi ya watu ambao hawatujui vizuri ngoja nifafanue kama ifuatavyo; Ukoo wa Marehemu Chief Igogo ni mkubwa sana. Hii inatokana na kuwa Chief Igogo alikuwa na wake 19 ooh yes! Nineteen wives! Sasa you can imagine huu ukoo ni mkubwa kiasi gani. Chief Igogo alikuwa babu yangu aliye mzaa babu mzaa baba (My partenal great grandpa) ambaye kwasasa naye ni marehemu. Yeye alikuwa anaitwa William Olunga’a Igogo. Kwa wale wanao jiulizaga kwanini baba yangu mzazi initials zake ni O.O.Igogo basi mtakuwa mmepata jibu. (Otieno ni first name, Olunga’a ni middle name, na Igogo ni m last name).

Sasa William (Olunga’a), Sarungi, Sassi, na wengine ambao sijawataja wote ni watoto wa marehemu Chief Igogo. Sasa nafikiri utakuwa umepata picha ya undugu wangu na wakina Sarungi, Sassi, na Igogo. Kama unaswali usite kuniuliza  🙂

Tunamshukuru Mungu kwa yote. Bwana alitowa, na Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe milele zote!

Dad is a girl’s best friend

FB_IMG_1432137080166Nothing empowers, boosts self-esteem, and gives confidence to a girl like having good relationship with her father! The bond that they create from the time when she’s a little girl helps her to become a great woman in a society; because she’s assured that there’s someone somewhere she can talk too, someone she trusts, someone supports her, and above all someone is there watching and protecting her!!FB_IMG_1432229474544 When a girl has a loyal relationship with her dad there’s a greater chance of making a great wife, friend to her husband, great leader, and a happy mother-you know happy mama means happy family! There is a great lesson to learn from president Obama especially to African parents!! God Bless them and keep there unity together always till the end!

Its Mothers’ Month

Hapa ni Magreth na “mammy yake”.

FB_IMG_1432041936717Nani kama mama?!

Kutoka Facebook

FB_IMG_1431737412313Nimependa sana hii picha ya Miss. LB pamoja na a very well known public figure, comedian and actress Kim Whitley. binafsi nampenda sana Kim haswa katika ile reality show  yake (Raising Whitley) inayo onyeshwa kwenye Oprah Winfrey Network  (OWN).  Nice picture!

Smile more. Smile often!

FB_IMG_1431802152265Often people are underestimating the power of a smile! They failed to realize that your smile is important and powerful just like the act of kindness, caring, or compliment all of which have the potential of changing someone’s life! We need to smile more and often. Keep   our smiles alive whenever possible.2015-05-16 14.20.57“Your  smile is your Logo. Your personality is your Business Card. How you leave others feeling after having experience with you is your Trademark”-Unknown

FB_IMG_1431829393301“A smile is the light in your window that telling others that there’s a caring, sharing person inside”

FB_IMG_1431802172406SMILE MORE AND SMILE OFTEN!