Jane Daniel Oming’o na binti yake kipenzi Grace Ngereza siku ya gratuation yake MSc-IT. Nani kama mama?!
Category Archives: Uncategorized
Its Mothers’ Month
Happy Mother’s Day to all mothers
Napenda kuchukua fursa hii kuwatakia Furaha ya Sherehe ya Wakina Mama duniani kote. Mimi binafsi nashukuru sana Mungu kwa kunipendelea kuwa mmoja wa uzao wa tumbo la mama yangu. Naamini nisinge kuwa hapa nilipo kama si kwa maombi ya kila siku kutoka kwa mama yangu, ambayo huniombea kwa Mungu bila kuchoka.
Mama nasema asante sana. Nakuombea maisha marefu, yenye furaha na amani zaidi ya uliyo nayo. Nakupenda sana mama yangu.
Prisca (Ls) ni rafiki yangu tulisoma wote secondary, hapa alikuja nyumbani kunisalimu toka Mwanza ambako ndipo anapoishi. Asante Prisca nawe nakutakia Happy Mother’s Day.
Nani kama mama? !
Hapa ilikuwa siku ya birthday yangu na tulikuwa tunaelekea kwa dinner.
Nakushukuru sana mama yangu, si tuu kwa kunilea mimi kama mwano bali pia kwa kunisaidia kwa malezi ya mwanangu.
Its Mothers’ Month
Its Mothers’ Month
NANI KAMA MAMA?!
Pichani ni Suzy Igogo na mama yake mzazi siku ya gratuation yake.
Hapa Suzy na mama yake walikwenda kutembele makumbusho ya baba wa taifa kikijini Butiama. Mama yake Suzy yeye ni Mzanaki, kabila la marehemu baba wa taifa, lakini aliolewa Ujaluoni na baba yangu mkubwa hivyo mimi namwita mama mkubwa. Ubarikiwe sana mama yetu.
Its Mothers’ Month
Fina Nyongo na mama yake mzazi Mrs. Kimati. Hapa ni 6 yrs ago, ilikuwa siku ya Kitchen party ya Fina. Jamani, nani kama mama?
Mama kimati akiomboleza kifo cha mme wake late Dr. Kimati. Tunamshukuru Mungu kwa kila jambo. Tunajifunza mengi sana toka kwa mama zetu; upendo, kuheshimu Mungu, uvumilivu,pia pamoja na jinsi ya kukabiliana na matatizo mbali mbali yanayo tupata kama vifo vya wapendwa wetu. Pole sana mama. Nani kama mama?!
Hapa Fina Nyongo na mtoto wake wa kwanza George Jr. By the way Fina Nyongo was is our 2015-Hottest And Best Couple Of The Year. Kusoma zaidi, bonyeza HAPA
Hapa ni Fina Nyongo na binti yake mpendwa Georgina Faith: Nani kama mama?!
Its Mothers’ Month
Its Mothers’ Month
Its Mothers’ Month
Hapa ni Neema Musira (last born) na mama yake. Mama Musira ni mtoto wa kwanza kuzaliwa katika familia ya mama yangu mzazi. Pia yeye alikuwa kama mama mlezi wa mama yangu wakati pindi alipo kuwa akisoma Rugambwa Secondary School.
Hapa ni Makubwa, mimi, na da Eddie (1st born wa makubwa) back in 2010 Nilipo enda wasalia ndugu zangu wa Musoma baada ya kutoka kusalima ndugu zangu huko vijijini Utegi na Kowak.
Its Mothers’ Month
Its Mothers’ Month
Huu ni mwezi wa kusherekea mama zetu, na Sunday May 10th, 2015 ndiyo siku yao maalum. Hivyo basi kama una picha ya mama zazi / mama mlezi au mtu yoyote ambaye amesimama kama mama katika maisha yako ambayo ungependa kushare nasi unakaribishwa. Tuma picha na ujumbe kwa [email protected]
Penny na watoto zake Nandi na Agrey wakisherekea New Year 2015 in Zanzibar
Penny na wanae wakienda vacation Ngorongoro na Serengeti National Parks
Mgomo wa Madereva na Makondakta
Tumeshuhudia kwa siku mbili mfululizo mgomo ulio fanyanywa inchi zima na madereva pamoja na makondakta; kwa kweli inasikitisha sana. Embu tafakari kama kulikuwa na mgonjwa ambaye pesa zake hazimruhusu kuchukua Taxi hivi si mtu anakufa hivi hivi?
Mimi naamini tabia ya kuto kuheshimu ajira zisizo rasmi ndiyo kunaleta haya matatizo yote. Serikali na Watanzania kwa ujumla wameshindwa kuheshimu na kutambua kua ajira zisizo rasmi nazo ni muhimu kama ilivyo kazi zingine zozote zile ambazo zinahitaji elimu ya juu. Hivyo basi kuwa na mikataba ya kazi wakati wa kuajiriwa ni muhimu kama ilivyo kuwa kwa Medical Doctor (MD) au kwa Marketing Manager.
Hakuna kazi ambayo haina maana hapa duniani, hata kama hiyo kazi haiitaji elimu kubwa lakini inaumuhimu na inapaswa kuheshimiwa. Utakuta mtu anamdharau mfagizi wa bara bara. Hivi assume wafagizi wa bara bara pale Dar es salaam wagome kwa siku mbili tuu; unafikiri hali ya Dar itakuwaje? Kama kwa sasa pamoja na jitihada zao lakini jiji bado ni chafu, watu wanatupa taka ovyo bila kujali machafuko ya hali ya hewa na magonjwa ya mlipuko?! Sasa wakigoma kwa siku mbili nafikiri kipindu pindu kitawamaliza wote kwa siku moja tuu!!
Kitendo cha kuto kutambulika na kuwa na mikata rasmi ya madereva pamoja na makondakta ni AIBU kubwa sana kwa serikali ya Tanzania haswa katika hii karne ya 21. Kuto kuwa na mikataba ya kazi naamini kwa upande mwingine kuna changia sana madereva kuto kujali kazi zao na kupungukiwa na utu ambao zinafanya wasababishe ajali zisizo isha kila leo. Kama wangekuwa wanapewa mafunzo maalum kutoka serikalini kabla ya kuajiriwa, kuwa certified na serikali, na then kupewa mkataba rasmi ya kazi na waajiri wao basi mimi naamini hawa madereva wangekuwa makini huko bara barani na ajali zingepungua kwani mkataba wa kazi yake unamlinda yeye kama dereva (maslahi), na pia unalinda usalama wa abiria waliopo ndani ya hayo mabasi kudhurika na ajali zisizo na lazima kutoka kwa madereva wazembe.
Inchi za wenzetu zilizo endelea hakuna kazi isiyo dhaminiwa, na ndiyo maana kuna mikataba ya kazi katika sector zote za ajira. Na hakuna kazi ambayo utaipata bila kuwa na some sort of training and be certified. Hata kazi ya kulea watoto lazima kuna kozi utafanya na CPR course ni must!! Lakini embu angalia Tanzania, hivi ni waajiri wangapi huwa wanahakikisha kuwa ma housegirl wao wanajua na wapo certified kutoa huduma ya kwanza kwa watoto haswa CPR?? Je, housegirl wako yupo teyari kuokoa maisha ya mtoto wako kama akipaliwa (choked) na kitu au chakula? Je, anajua ni nini cha kufanya kama moto ukatokea ndani ya nyumba? Ukitafakari haya yote utaona sababu ya kuwa na well trained babysitter na kuweka mkataba wa kazi unaoeleweka ili kukidhi mahitaji ya kila mmoja.
Nafikiri huu mgomo uwe fundisho si tuu kwa serikali kuanza kutambua na kuheshimu ajira zisizo rasmi bali hata kwa Watanzania wote kwa ujumla ambao wanatabia ya kudharau kazi za watu haswa ambazo hazihitaji elimu ya juu. Wewe msomi hunamuhitaji mzibua vyoo ili maisha yako yaendelee, wewe muuza duka unamuhitaji mbeba mabox ili maisha yako yaendelee, wewe Dr unamuhitaji muhudumu wa wodini ili maisha yako yaendelee etc….. Viumbe vyote vilivyo na uhai vinaishi kwa kutegemeana ili kuweza ku survive, tuache dharau zisizo na mpango!!
“I am sure Zari loves her kids as any mother does to her children”-Johanna HK
I think Zari knows what she is doing, and its people who don’t see far who don’t understand her moves. This lady is not a teenager who is looking to have fun with boyfriends. She has experiences and life has taught her many lessons. She has had money whether through her own efforts or through her ex (it doesn’t matter) and she has realized that money without happiness causes depression. She has met this guy who is showing her love and she has fallen for it. I understand her situation.
People, especially women keep on criticizing her that she is ignoring her children and chases Diamond’s love. The lady has tried to explain to you that she has a schedule which runs between her and the father of her children to take care of the kids. No one knows that it was dads time to have the kids because we don’t know the family plans, and still people keep on criticizing her for not being at her child’s birthday. what ever the case, I am sure Zari loves her kids as any mother does to her children.
What I would like my fellow ladies who know how to point finger to others is that Zari is a person like any of her children. She is a mother yes, but she has her needs. We as mothers have lives to live too. Having children doesn’t mean our lives stop. Zari needs love, care and to know that someone cares for her. Her children definitely love her as a mother but they will not satisfy her with other needs. Lets agree also that Zari has been flying back and forth from Tanzania to SA to be with her children. To me she has been doing very well. How many women live in the same house with their children 24/
Zari knows that she needs to survive and she will not continue to depend on child support or some businesses that she created with her ex. She is trying to build her life after it crashed. She is looking for new friends, new love, new networks, new family and the list goes on…I have done my own research and I have just realized that this lady is just the victim of the male dominant society in Africa. WOMEN ARE SUPPOSED TO STICK TO THEIR MARRIAGES BECAUSE OF THE CHILDREN AND LISTEN TO THEIR HUSBANDS, WHETHER THEY CHEAT, DONT LOVE YOU ANYMORE OR EVEN KILL YOU IT’S OK. really? This is what Zari was expected to do. Just because you have children then you don’t have a choice? jamani, have you seen those pictures of women who are killed by their husbands in Tanzania for relationship reasons? Most of those women believed that they had to stay because if they leave their husbands, the society will not understand them. Zari doesn’t know me and I don’t know her. I just read about her in blogs, but every time I read some ladies comments it pains me to see that some women don’t understand what other women are going or have gone through. Just know that you cannot judge anybody unless you put yourself in her shoes.
Breaking up with someone you had children with is not easy, especially when that someone has big money like her EX. There must be a good reason why the poor lady decided to end up that relationship. As for now, lets give her time to settle. You cannot expect her to have the same schedule she used to have with her kids after beginning a new relationship. She will definitely one day settle down and know how to balance everything. As regards to Wema I think she was in deep love with Diamond but had positive or negative influence from her mom to stop seeing him, and the reason behind was like she could get a better person than him and that he was just using her. Now that being the situation, she chose to end the relationship. I think it is fair to not blame Zari or hate her because she has nothing to do with the breaking of Wema and Diamonds relationship. Did she make the right choice to break up with him? we don’t know, but time will tell. Lets be patient and watch…………..
Mother’s Day is around the corner and this message came at the right time!! Johanna HK was responding to some Tanzanian bloggers and women who negatively criticized Zari’s a.k.a The Bosslady’s motherhood / parenting style!!
Birthday wishes
Birthday wishes
Mahojiano Linda Bezuidenhout-Part 2
https://youtu.be/rELfTBwva9g
Congratulations Jane D. Oming’o
Napenda kuchukuwa fursa hii kumpongeza Jane D. Oming’o kwa kufanikiwa kumaliza elimu yake ya degree ya pili katika mchepuo wa Science in IT (MSc-IT). Hongera sana my cousin, ni mfano wa kuigwa kwa watu wote husunani wanawake wa Kitanzania.
Jane akisherekea graduation yake pamoja na familia yake, ndugu zake, marafiki zake, na jamaa zake wa karibu akiwemo mdogo wake mpendwa Dr. Elizabeth Daniel Oming’o kutoka Dar es salaam, Tanzania.
Motherhood
Wamama na watoto zao, wanajivunia na kufurahi cheo chao cha mama. Mbarikiwe sana wamama wote duniani.
Kutoka Facebook
Birthday wishes
Happy birthday to the beautiful and mathematics genius Veronica Sarungi. Talking about brain, beauty, humbleness, and God fearing lady right here! Najua mpaka hapo umesha barikiwa sana tuu, ila nakuombea Mungu azidi kukubariki sanaaaaa!! Happy birthday my beautiful cousin-sister..
What a beautiful smile from two beautiful sisters…….blessed always!