Category Archives: Uncategorized

Culture ya Mluo

Tanzania ni inchi iliyo jaliwa kuwa na makabila mengi sana, nafikiri (sina huwakika) ndoyo inchi inayo ongoza kuwa na makabila mengi dunia. Na kitu kinachofanya Tanzania ionekane unique mbele ya uso wa dunia, ni kotoka na ukweli ya kwamba pamoja na wingi wa makabila yaliyomo ndani ya inchi; hakuna kabila lenye nguvu kuizidi nyingine. Kitu hichi nitafauti sana na mataifa mengine barani Africa, ambapo utakuta kuna kabila moja au mawili uanajiona ‘superior’ kuliko mengine, na hivyo husababisha migongano na migogoro mingi ndani ya inchi husika.

Lakini kwa leo nataka niseme hili kuhusu kabila la waluo au wajaluo kama wengi waitavyo. katika kila kabila kuna mila na desturi zake, basi baadhi ya desturi ya Mluo ni kuto kuvaa khanga, kuto kupiga magoti wakati wa kusalimu, na kuvaa vizuri siku ya mazishi hasa kama wewe ndiye muhusika mkuu kwenye msiba huo.

Mimi kwakweli kama ningeolewa kwenye makabila ambayo culture zao ni zile za kupoga magoti; basi mie naona ningeachika 🙂 🙂   Yani ni kitu ambacho siwezi kabisa, na naogopa kuiga nisije siku nikaanguka bure mbele za watu.

Pia si desturi ya Mluo kwa wanawake kuvaa khanga. Sema sikuhizi mambo yanaingilia unaweza kuta baadhi ya wamama wakijaluo wakivaa khanga hata kwenye misiba. Khanga kwa desturi ya mluo huwa inatumika kama pambo fulani ambalo huvaliwa kwa kuwekwa begani. Lakini kama nilivyo sema sikuhizi kuna vitu vingine ambavyo huko juma vilikuwa vinatendwa na specific tribe lakini leo hii vipo common katika makabila mengi-na khanga ni moja ya mfano huo.

Kitu kingine ambacho ni sehemu ya culture ya Mluo, ni kuvaa vizuri na kusherekea baada ya mazishi. Mila na desturi za mluo zina amini kifo ni sherehe ya mwisho ya kila binadamu hivyo inafaa kuaherekewa kama ilivyo katika sherehe zingine kama kuzaliwa, na kuoa / kuolewa. Waluo ni watu ambao siku ya mazishi watu wata vaa vizuri sana na baada tuu ya mwili kuwekwa kaburini basi kiyakacho fuata ni kula, kunywa, na kucheza. Nakama ikatokea aliye fariki ni mtu aliyekuwa akiheahimiwa sana hapo anapoishi basi sherehe itakuwa kubwa sana na mbwembwe za kifahari nyingi sanaaa, kama vile kuvyatua risasi angani, kuchinja ng’ombe zaidi ya wawili ili watu wale na kusaza, na mambo mengine mengi sana.

Picha hapo chini ni za wiki iliyo pita ambapo mama yangu pamoja na shangazi yangu-Theresia Nyobuya walienda huko Karungu, Kenya kwenye msiba wa mme wa bibi yetu mdogo (Mwenye nguo nyeupe. Marehemu bibi yetu mzaa baba (Rhoda Igogo) yeye alitokea maeneo ya Kenya. Na huyu mjane ni mdogo wake pekee ambaye yu hai. Hivyo basi baba yetu anamchukulia kama mama yake mzazi  kwa sasa, kwani mama yake alisha fariki. Pole sana bibi  yetu, and R.I.P babu yetu.

Kitu kingine ambacho nilimwambia mtu hakashangaa, ni kwamba wajaluo hawajui kitu matembele wala kisamvu. Na mkowa wa Mara huwa hatupiki kwa kutumia nazi na wala sijawahi ona nazi mkowa wa Mara, wanapika na maziwa au organic cheese  (jibini).

FB_IMG_1430360376136
…………..Mama yangu mzazi, bibi (mjane), na Shangazi Theresia Nyobuya
FB_IMG_1430360350518
……………………..Bibi yangu na mashangazi zangu

Family Time

One of the amazing beautiful families I ever known.  The Mashimis’ family from Atlanta, Georgia, looking beautiful as usual. God keep blessing you guys. Much love from “Michigan”

FB_IMG_1430039275908FB_IMG_1430039318578

Family Time

The Kakoschokes’ family as usual got to post their pictures,  may be am obsessed with them LOL!  But frankly, wanapendeza wanavutia sana. Bado wapo vacation, wametoka Japan sasa on their way to their nex destination……more pictures visit www.maisafari.com

FB_IMG_1430049594179FB_IMG_1430049631176FB_IMG_1430049621903

Kutoka Facebook

Leo kutoka Facebook nimeipenda sana hii picha ya my cousin-sister Sophy Makoyo. Simple but beautiful!

FB_IMG_1430039475419

Family Time

Kama kawaida ni mewahaidi kila juma Pili nitakuwa naweka picha za families zaidi. Hivyo basi leo tuna anza na dada yetu kipenzi Shy-Rose Bhanji ambaye huyo Los Angeles, California kwa sasa akisalimia familia ya ndogo wake aishie huko.

FB_IMG_1430039598232FB_IMG_1430039647464FB_IMG_1430039591463FB_IMG_1430039490242Kwa kweli wamependeza, na wanavutia sana. Mbalikiwe ma binti wa Bhanji.

Kutoka Facebook

Leo nimependa sana hii picha ya Fina Nyongo (left) na rafiki yake, wamependeza sana. Kila binadamu anahitaji rafiki angalau mmoja. Mbarikiwe wapendwa!

FB_IMG_1429897884902

Kupachika majina

Kunatabia ambayo baadhi ya watu wanayo yakupenda kupachika watu wengine majina ya bandia (labeling people) kutokana na maumbile yao kama unene au ulemavu wa kiungo fulani au mahala wanapo ishi. Huwenda wanafanya hivyo kwa kujua au kutokujua lakini kiufupi si tabia nzuri na si tabia ya kiungwana hata kidogo.

Utakuta mtu anapachikwa jina “bonge” eti kwasababu tuu ni mnene?! Tena watu wanaona sawa kabisa kuitwa hivyo bila woga! Kitu ambacho si sahihi hata kidogo, kwani huyu “bonge” anajina lake halisi, na sidhani kama kuna mtu hapa duania anapenda to be called out of their names or label them just because of the situation of which sometimes is beyond their control, or even worse it might be something that they have been struggling with it and here comes someone start to label them!!

People often take advantage of our relationships,  thinking  they have the right to justify their bad behavior because they are our sisters, brothers, cousins, etc Kwasababu hao ambao huwa wanapachika watu majina huwa ni watu wenye uhusiano wa karibuni na victim. Jamani, watu kuzaliwa au kukulia nyumba moja haimaanishi kuwa mta experience things or being treated the same way; na kila mtu mwili wake na akili (psychology) vina react tofauti hata kama is the same situation. Hivyo ku gain weight siyo mara zote zinaletwa na chukula, saa nyingine ni kwa sababu ya emotional issues ambazo mtu anazo moyoni mwake na huwenda hajapata wa kumwabia.  Every human being is fighting a battle you don’t know about!! Hivyo basi wewe mtu ambaye unatoka huko na kuanza kumpachika majina unakuwa unamuumiza zaidi badala ya kumsaidia.

Hivi mbona kuna watu hawawezi kuzaa kwa sababu mbali mbali, mbona I don’t see people walking around calling them wagumba au tasa? Why you think its okay to call someone bonge kwa sababu ni mnene? Kuna watu wana makengeza au chongo basi nao tuanze kuwaita majina kwa ulemavu wao kama tunavyo waita watu ambao ni wanene!SMH!

Wewe utajisikiaje kama ni mlemavu wa miguu au hata ndugu yako umpendaye ambaye ni mlemavu halafu watu waka mpachika jina na kumwita “kiwete” badala ya jina lake halisi? Si huungwana wala ubinadamu hata kidogo to label people or calling people out of their name especially if the name has something to do with her / his physical disability /situation. In fact no one has to adhere with anyone else’s specifications to be the person whom God created them to be!! We need to respect and be kind to one another!!

#ChangeBeginsWithYou#

Birthday wishes

Happy birthday to my nephew mzee Chaulo. May God be with you, and bless you abundantly! Happy birthday son, we all love you!

FB_IMG_1429886051472

Kutoka Facebook

Nimependa sana hii picha yya Tabu akiandaa samaki fresh and organic toka Mwanza. Ni zawadi ambayo aliletewa na cousin-sister wake.”Undungu ni kufaana, undugu si kufanana!”

2015-04-22 17.34.07

Furaha ya dunia

Wahenga walisema furaha ya dunia watoto! Na hakuna kitu kizuri kama kuwa mtoto maana huna bills zozote zile za kulipa, yani wewe kazi yako ni kula, kucheza, na kulala. Kazi ngumu ni kucheza  kama unavyo waona watoto hawa walivyo busy na michezo na pozi katika picha. Mungu awalinde na azidi kuwabariki wa toto wote.

FB_IMG_1429666683996IMG-20150421-WA0000IMG-20150421-WA0001

Happy Wedding Anniversary

Happy 18th wedding anniversary to Mr. And Mrs. Ngeli

FB_IMG_1429648921252

“18 years ago God gave me a best friend, a partner in crime, a person to love, care and pray for. I learned a lot from you darling and most of all you have encouraged me to be strong, confident, and successful woman I am today. And most of all you have made me a queen. I will do it all over again with you because I have enjoyed every minute of it. Thank you and Happy anniversary my husband” ……….those sweet, sincere, and touchy words are from the wife- Tumaini.

To read my interview with da Tumaini click Here

Birthday wishes

Happy 3rd birthday gorgeous baby Amaya! May you live long, may God keep blessing you grow up and wiser, loving, and caring woman. We all love you and wish you the best in your life!

FB_IMG_1429649615188
Here’s baby Amaya and aunt Alpha back in 2013 in Dar es salaam, Tanzania at Amy’s great grandma resistance.

FB_IMG_1429649441551

FB_IMG_1429668582576At the same time its not too late to wish Amaya’s mother a happy birthday. Mitsuka enjoyed her birthday on April 15.

FB_IMG_1429649636764
Here’s Mitsuka with her grandmother mama Juma Nne. Current Mitsuka is in Tanzania visit her grandmother.

Kutoka Facebook

Leo kutoka Facebook nimependa hizi picha. Hata model huwa wanapika” hayo ni maneno yake mrembo wetu Miriam Odemba akiwa ameambatanisha na picha kama hizi. Safi sana Miriam, ni mfano wa kuigwa.

FB_IMG_1429481141381

FB_IMG_1429617472799

Birthday wishes

FB_IMG_1429649185731Happy birthday to my dearest mtani and college-mate Eve Lance. May God keep blessing you always. Enjoy your vacation in Tanzania and my regards to mama.

Mahojiano Maalum-Linda Bezuidenhout (LB)

http://youtu.be/7tmJgxbmB1A

News Alert!

KESHO JUMATATU MAHOJIANO YA HUYU NA YULE USIKOSE KUJUA USIRI WA MAISHA YA LINDA

NI MENGI AMEZUNGUMUZA AMBAYO MIMI NA WEWE HATUKUYAJUA

unnamedKesho Jumatatu katika kipindi cha mahojiano cha Huyu na Yule usikose mahojiano na mwanamitindo mbunifu wa LB kutoka Atlanta, Georgia atakapoelezea historia yake yenye milima na mabonde historia ya maisha yake yenye huzuni na furaha wakati mwingine Linda akitokwa na machozi kwa kukumbuka maisha aliyopitia.

Je Mume wake Mali walijuana nae wapi? na mengine mengi kuhusu maisha yake ikiwemo kampuni yake ya LB na malengo yake ya kupeperusha bendera ya Tanzania anga za kimataifa. USIKOSE mahojiano yaliyofanywa na mwakilishi wa Vijimambo na kwanza production Michigan Alpha Igogo ambae alitaka kujua undani wa maisha ya mwanadada Linda

unnamed (2)Alpha Igogo akifanya mahojiano na Linda jijini Atlanta

unnamed (1)Maswali yalikua moto Linda akipumua na kumkumbatia Alpha Igogo baada ya mahojiano kufikia mwisho

visit my blog at http://lukemusicfactory.blogspot.com/

Family Time

FB_IMG_1429458469012Family ya Mr. and Mrs. Kakoschoke, wao wako katika Spring tour safari yao ilianzia inchi za Middle East ambako ndipo wanaishi, wakaenda Tanzania, Singapore, Vietnam, na sasa wako njiani kuelekea Japan na inchi nyingine. Kwa matukio mengi mazuri ya kupendeza tafadhali tembelea www.maisafari.com

FB_IMG_1429454043879 FB_IMG_1429458592520FB_IMG_1429458616947FB_IMG_1429458522068FB_IMG_1429458510600FB_IMG_1429458542054FB_IMG_1429458548102

Kutoka Facebook

“Nani kama mama! Mano Mamawa, Jaber NyarKowak, Nyar Awiti, Nyamin gi Leo Awiti, Iber ndi merwa”…….basi hayo ndo yalikuwa maneno yake Advocate Janeth Igogo kwenye hiyo picha ya mama yetu kipenzi.

Kama huifahamu hiyo lugha ni lugha ya Kiluo, kutoka mkowa wa Mara wilaya ya Rorya.  Na tafsiri yake ni kama ifuatavyo :-

Nani kama mama! Huyo ni mama yetu, mrembo binti wa Kowak  (Kowak ni kijijini alipo zaliwa mama yetu), binti wa Awiti, dada yake na Leo Awiti  (Mzee Leo Awiti ndiyo kaka mkubwa katik familia ya mama yetu), wewe ni mrembo sana mama yetu! mmmmh! so touchy!

God keep blessing our mama and all good responsible mothers out there! We love you so much NyarAwiti!

FB_IMG_1429449228192

Family Time

Nilishawahi kusema huko nyuma na sito choka kusema kwani naelewa na naheshimu umuhimu wa familia. Ukitaka kuiua society yoyote ile anza kwa kuvuja marriage and family institution basi mengine yote yatafata kirahisi kabisa.

Hivyo basi, hii blog itatumika sana kuhamasisha umuhimu wa familia. Kila jumapili Mungu akinijalia nitakuwa nawawekea picha za familia mbali mbali. Kama utapenda kushare picha zako au una ujumbe kuhusu familia ungependa kushare, tafadhali wasiliana nasi.

Hii ni familia ya “Mama na baba watatu” kama wanavyopenda kujiita. Wao wanaishi Ohio, Marekani. Naipenda sana hii familia, na pia inanifurahisha zaidi kwani nilishuudia kuundwa kwake (ndoa yao) miaka zaidi ya mitano iliyopita, wakati huo walikuwa Mr.  and Mrs (-) watoto. Mungu azidi kuibariki familia hii, idumu katika Bwana siku zote. Amina!

FB_IMG_1429453942294 FB_IMG_1429453917157 FB_IMG_1429453933974 FB_IMG_1429453953638FB_IMG_1429750724772

Linda Bezuidenhount

April 14, 2015 Linda BezuidenhountApril was invited to attend the New York Festivals International Television & Film Gala. The event took place at the Westgate Las Vegas Resort and Casino, Las Vegas, Nevada. Here are some photos to share with you, as usual Linda is rocking hee own design from LB Apparel.  Hongera Linda.

FB_IMG_1429157642505 FB_IMG_1429157617130 FB_IMG_1429157621021 FB_IMG_1429155869567