“It takes a strong man to accept somebody else’s children and step up to the plate another man left on the table”….. Mr Kimesera and his beautiful daughters…..one is missing ❤❤❤ them!
Category Archives: Uncategorized
Utalii wa ndani ya inchi
Special edition: Mr and Mrs Mali Kimesera 7th wedding anniversary!
My darling friends Today may the 29th I am celebrating my wedding anniversary. Today is the day we had our wedding surprise in Huston Tx. All our friends who got our invitations came to the wedding knowing it was my brother’s wedding. My brother SEKULU and Asha… We really surprised everybody and all the people who know us around the world. ??? it was Amazing I was so Thankful to God everything went well as we planed it was an amazing private wedding party ??. I thank God up to know 24/7 for such a husband . Who knows me and understands me may be more than my parents. I am so blessed to have him. My life wouldn’t be as exciting and amazing without MALI KIMESERA. I made the right choice to marry him THANK YOU GOD FOR CHOOSING HIM FOR ME. What a lovely msg Linda!…… Happy Wedding Anniversary to the hottest, wonderful, beautiful couple! Thank you for being one of the best examples of what true love is! Mbarikiwe sana ❤❤❤ …..angalia shemeji yangu alivyo bomba, kama kijana wa miaka 25 vile ?? Wapendwa wasomaji wangu, naomba tufurahie kwa pamoja hii couple kwani ndio Our 2016-Hottest And Best Couple Of The Year! Kama ulipitwa soma ? ??? …….. walifanya kusherekea siku ya JumaPili kwa kula nyama Choma, swimming, na ku relax around the pool. Just an easy day at home with family kama ilivyo kuwa kawaida yake; Linda alivalia free-style dress ya LB na hairpiece ya LB kama anavyo onekana….. “At the #Polaris #DownTownAtlanta With my Husband Celebrating the day we met after loosing contacts for 20 yrs. I was 16 and he was 21. When we met again I was 36 and he was 41 #ThankYouAllah. It was back on May 31st 2008, we were both married….Divorced our spouses .. Then we got married in less than a year on May 29th 2009. So today it’s 7 years since we met for the second time. Our love story is amazing and very rare to find in this time and era. In this time of material we lost money and businesses just to be together, when others need somebody with money in order to be together. TRUE LOVE IS BEAUTIFUL. Our story was featured on COMCAST TV EXPRESS YOURSELF TV TALK SHOW BY Dr. Daisy Johns.” – Mrs Kimesera Linda, my sister you look A-M-A-Z-I-N-G! Ulipendeza sanaaaaaa! That dress is to die for! Gorgeous!…….kwakweli nafurahia sana kuchagua hii couple kwani ni wa ukweli si geresha! ❤❤❤ it! The view my sister! Halafu hapo ni mambo ya ‘double view’ unaangalia nje dirishani ukigeuka unakutana na handsome boy katulia, the same with Mali akigeuka anakutana na Kichuna cha Kizaramo ?? na huo mguu sasa si mchezo!….. what a lucky man with blessed lady in front of him!… To God be the glory!
Need I say more?! Zibarikiwe kazi za mikono yake! Wow! What should I say, you guys were made for each other!….May the freshness of your love forever remain! Happy Wedding Anniversary Mr and Mrs Kimesera ❤❤❤
“I don’t have to adhere to anyone’s specifications to be a valid woman that God has created me”!
Nimejikuta nacheka baada ya kusoma hiyo msg ? juu! Niliandika miaka miwili iliyopita (05 / 2014), unajua sometimes people get under your little tiny nerves sasa hapo ndiyo yale mashetani yangu ya Kijaluo yanaamka ??…… Sikiliza nikwambie unene sana si mzuri na pia wembamba sana si mzuri. Lakini afya ya mtu hapimwi kwa unene au wembamba wake! Kuna watu nimeshuhudia wakifa kwa heart attack na walikuwa wembamba! Kuna watu ni wembamba maisha yao yote na wanasumbuliwa na kisukari! Nimeshuhudia kaka mmoja alikuwa 100% vegan na alikufa kwa Colon cancer sasa unabaki unajiuliza kama alikuwa vegan how did he end up getting “colon cancer?” wasn’t it supposed to be all “organic greens” coming out of his body?Wewe kama unataka kupungua pungua tu kwasababu zako na faida yako mwenyewe. Lakini hiyo siyo guarantee kuwa ndiyo una afya nzuri kuliko wengine! Siku zote kumbuka kuwa kila kitu nivyema kuwa na kiasi! Unene sana si mzuri na pia wembamba sana si mzuri. Kuwa mtu wa kiasi! ……….( btw, hivyo viwalo na viatu bado ninavyo one of these days nita vivaa tena nione kama nimeongezeka au nimepungua ?)
Kutoka Facebook
A truly beautiful story
During World War II, a soldier was separated from his unit on an island. The fighting had been intense, and in the smoke and the crossfire he had lost touch with his comrades.
Alone in the jungle, he could hear enemy soldiers coming in his direction. Scrambling for cover, he found his way up a high ridge to several small caves in the rock. Quickly he crawled inside one of the caves.
Although safe for the moment, he realised that once the enemy soldiers looking for him swept up the ridge, they would quickly search all the caves and would be killed.
As he waited, he prayed, “Lord, please spare my life. Whatever will happen, I love you and trust you. Amen.” After praying, he lay quietly listening to the enemy begin to draw close.
He thought, “Well, I guess the Lord isn’t going to help me out of this one.” Then he saw a spider begin to build a web over the front of his cave. “Hah” he thought, “What I need is a brick wall and what the Lord has sent me is a spider web. God does have a sense of humour. “
As the enemy drew closer he watched from the darkness of his hide out and could see them searching one cave after another.
As they came to his, he got ready to make his last stand, but then he heard the leader of the soldiers say, “You may as well ignore looking in this cave….if he had entered here this web would be broken!” So they left and he was delivered!
To his amazement, however, after glancing in the direction of his cave, they moved on. Suddenly he realised that with the spider web over the entrance, his cave looked as if no one had entered for quite a while.
“Lord, forgive me,” he prayed. “I had forgotten that in you a spider’s web is stronger than a brick wall.”
God’s ways are not our ways, God’s thoughts are not our thoughts.. He will neither leave us nor forsake us.. Let’s trust in God always!!
Sometimes a prayer doesn’t change the situation. But it changes our attitudes towards the situation and gives us hope which changes our entire life.
Stay Blessed! Always Trust in your prayers. God always responds in HIS own ways. He has answered me twice this year. Looking forward for the big one. Soon, very soon! I pray! Amen. source: one of my Facebook friends
The family of late Henry Kiherire has denied the allegations made by Mb. Joseph Mbilinyi
HENRY KIHERIRE- “Rest in Peace”
Arising from communications which are currently circulating through whatsapp and other social media regarding the handling of the overall bereavement on the passing of Henry Kiherile by gun shots, the family of Henry Kiherile in Houston wishes to express the following:
(1) We wish to express once again our sincere thanks to the Tanzanian Houston community and its leadership for the overwhelming support given to us as we grieved for the loss of Henry. You mourned with us, you prayed with us, you supported us financially, and you allowed us to cry on your shoulders. We thank you so much.
(2) We acknowledge with many thanks the support and leadership we received from the Embassy of Tanzania as we grieved on the loss. The consular services we needed to facilitate transportation of the body to Tanzania were rendered promptly and we appreciate the expressions of sympathy during the entire time we worked on the consular affairs related to transporting the body home. We are particularly grateful to the Embassy for sending an embassy official, Dismas Assenga, to Houston to mourn with us and to deliver the Ambassador’s condolence message and financial contribution. We thank you so much.
(3) We wish to inform you that the family is in close communication with the Houston Police Department team working on the case. We have had several in person meetings and regular telephone communications for briefings and updates. We believe the perpetrator(s) of the crime will be brought to justice in time.
(4) We would like to state very clearly that we were very well served by all institutions and organizations that we have worked with or are working with in this matter (Houston Police Department, Embassy of Tanzania, Forest Lawn Funeral Home, Umoja Church). We feel very well served during this very difficult time for us.
(5) Last but not least, and considering all of the above, we would like to inform all of you that we do not subscribe to the view expressed in the WhatsApp communication which wishes to send out a petition seeking signatures to support a recommendation to the government of Tanzania to remove Ambassador Wilson Masilingi from serving as Ambassador of Tanzania to the United States, purportedly for “kutowajibika na kutokujali vifo viwili tofauti ndani ya mwezi mmoja mjini Texas kwa kupigwa risasi”. We have not expressed such discontent to anyone and we would like to remove any implication that because we are one of the families that lost a son so horrifically we, therefore, may have contributed to the petition idea or motivated the authors of the petition. We want Henry to rest in peace and for us to be allowed to move on.
Should you have any questions or concerns please contact;
Mr. Mathew Mohono – 281-804-6478
Dr. Lenard Tenende – 713-540-6355
Listen to Mb. Mbilinyi allegations ?
Uwongozi wa THC wakanusha tuhuma zilizotolewa na Mb. Joseph Mbilinyi
*TAARIFA KWA WANAJUMUIA NA UMMA KWA UJUMLA*
Uongozi wa Tanzania Houston Community (THC) unapenda kukanusha taarifa zisizo sahihi zinazosambazwa mitandaoni ya kwamba ubalozi wa Tanzania nchini Marekani chini ya Mh. Balozi Wilson Masilingi haukufanya lolote wakati jumuiya yetu ilipopatwa na misiba miwili ya Bw.Henry Kiherile na Bw.Andrew Nicky Sanga iliyotokea kwa nyakati tofauti mapema mwezi April mwaka huu.
Uongozi wa THC unapenda umma utambue kwamba tulipata na tunathamini sana ushirikiano ulioonyeshwa na kutolewa na ubalozi pamoja na balozi mwenyewe Mh. Masilingi wakati wa misiba hiyo miwili na hata baada ya shughuli hizo za misiba kumalizika.
Baadhi ya mambo yaliyofanywa na balozi ni kuwatafuta viongozi wa jumuiyaTHC na kuzungumza nao mapema baada ya misiba hiyo kutokea (balozi alitutafuta viongozi na si vinginevyo) ambapo alizungumza na Rais wa jumuiya Bw.Daudi Mayocha na Katibu Mkuu wa jumuiya Bw.Michael Ndejembi na kuwapa pole kwa niaba ya familia na jumuia nzima.
Uongozi unafahamu kwamba sababu za balozi kushindwa kufika Houston wakati wa misiba hiyo ni yeye kumuwakilisha Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. John Magufuli kwenye kongamano la DICOTA lililokuwa likifanyika jijini Dallas, Texas. Tunatambua pia kwamba nia ya balozi kuja Houston bado iko pale pale.
Aidha Balozi Masilingi alimtuma afisa ubalozi kumuwakilisha katika shughuli za Misa na Kuaga mwili wa marehemu Andrew Nicky Sanga, ambapo afisa huyo pamoja na mambo mengine alitoa salamu za rambirambi toka kwa balozi na alikabidhi rambirambi ya $500 kwa kila familia pamoja na kuzungumza na wafiwa hao kwa nyakati tofauti. Afisa huyo aliweza pia kukutana na uongozi Houston Police Department (HPD) ambao wanashughulikia kesi za mauaji hayo ya watanzania.
Kwa taratibu za kiupelelezi Uongozi wa THC hauwezi kutoa taarifa zaidi ya namna suala hili linavyoshughulikiwa kati ya vyombo vya usalama nikimaanisha HPD Homicide Department na Ubalozi wa Tanzania lakini tunatambua kwamba ubalozi unafuatilia kesi zote mbili kwa ukaribu sana.
Uongozi wa THC unasisitiza kuwa hauhusiki kwa aina yoyote na Waraka (Petition)unaosambazwa kwenye mitandao ili kumchafua Balozi Masilingi na ubalozi wetu wa Washington D.C kwa ujumla.Uongozi unashauri watu wote kupuuza ujumbe na jumbe nyinginezo zinazofanana na huo kwani hauna ukweli wowote.
Daudi Mayocha,
Rais wa Jumuiya ya Watanzania Houston (THC)[email protected]
@All
Mawasiliano yangu kwa TEXT na Balozi….. Uongozi wa THC hauna chama wala haufungamani na chama chochote kile ????
Joseph Mbilinyi (Mbunge wa Mbeya mjini) aungana na wana diaspora wa Marekani!
- Ataka serikali iwatumie katika mipango ya maendeleo endelevu kwani “exposure” yao ni muhimu sana
- Asema serikali haiwajali diasporas wakati wakiwa hai na hata wakisha kufa
- Azungumzia msiba wa Andrew “Drew” Nicky Sanga a.k.a King 404
- Ataka kujua hatua gani serikali imechukuwa katika kufatilia Watanzania walio uwawa hivi karibuni hapa Marekani
- Amehuzunishwa sana na kitendo cha Balozi wa Tanzania inchini Marekani kuto kwenda kwenye kwenye misiba hiyo na hivyo anaungana na Watanzania waliopo Marekani katika kutia saini petition ya kumuondoa Balozi huyo madarakani kwani hanafaida yoyote!……. msikilize mwenye ?
Mimi (Alpha Igogo) sijaiona wala kusikia kitu chochote kuhusu hiyo petition ambayo Mbunge Sugu amezungumzia. Ndio kwanza nasikia toka kwake. Naona imenipita pembeni. Hivyo inawezekana ipo au la! Siunajua vitu kama hivyo haviwezi pita machoni pangu as huwa wanadai mimi ni “FBI” ??? Nikazi sana kuwa na akili za kushikiwa na marafiki!
General Mills flour recall!
Watanzania yatupasa kubadilika – Sehemu ya kwanza: (MIAKA 10 ILIYOPITA)
Miaka mitatu nyuma watanzania wengi walijikuta wakiwa katika hali ya kukata tamaa baada ya mifumo mingi ya serikali na uendeshaji wake kutokidhi mahitaji ya watanzania ki uchumi, siasa na jamii.
Mimi nilikuwa mmoja wapo niliyekuwa naumia sana nilipokuwa nikipata taarifa za utendaji wa serikali na vitengo vyake kama polisi, mahakama, ardhi, afya, elimu, uchumi na mbaya zaidi ni taarifa za ufisadi wa nchi. Ilifika mahala ufisadi ukawa ni wimbo ulioimbwa na kila mwananchi kwa kusifia au kulalamikiwa.
kusifika kwa ufisadi na rushwa kulianza kuota mizizi kwa watanzania hasa vijana waliokuwa wakichipukia katika kazi na kupewa vitengo either kwa kushikwa mkono na mnene flani au kwa juhudi zake. Vijana tulikuwa msemo; Ukipata kitengo serikalini itumie vilivyo kutusua maana nchi haina mwenyewe. Vijana wengi walikosa uzalendo na uchungu wa nchi kutokana na tabia waliyoikuta kutoka kwa viongozi wao ambao walikuwa wakiitafuna nchi bila huruma. Vijana walifanya kufuru kwa kujenga majumba makubwa na magari ya kifahari ndani ya mda mfupi (Miezi 6) akiwa katika kitengo, Tabia hii ilisababishwa na wanasiasa waliotumia pesa nyingi kupata madaraka na uongozi na pindi walipopata uongozi waliwashawishi watendaji kufanya mambo yasiyokuwa ya kizalendo kwa nchi ili kurudisha garama na kupata faida zaidi na hata mtaji wa kuwekeza katika uchaguzi ujao.
Jamii zetu ziliathirika sana na tabia hii hasa vijana wetu wa kike maana ilifika mahala vijana wa kike wakaishi maisha ya kuigiza badala ya kuishi ualisia wao, wengi wao waliishi maisha ya kifahari pasipo kufanya kazi, mapenzi ya kweli yakawa ni historia, ndoa zikawa ni kwaajili ya kutoa nuksi kisha zinavunjika, kubeba mimba na kupata mtoto mmoja ikawa ni fashion na swaga za mabinti. Vijana wengi wa kiume mijini nao hawakupenda kufanya kazi za kuumiza akili, hawakupenda kufanya kazi kwa utaratibu na hawakuwa na uvumilivu katika maisha. Kila kijana alitamani akishapata kazi tu aweze kumikili gari, nyumba na mtoto mkali baada ya mda mfupi maana kwa kipindi hicho pesa iliweza kununua hadi mapenzi kutoka kwa baadhi ya mabinti waliojiona wazuri saana. Hivyo vijana wengi wakajiingiza katika ajira za kisanii na zingine zisizo halali kama utapeli, udalali waliolazimisha mifumuko ya bei, wauza poda, wafanyakazi hewa, mafisadi serikalini na wengine wakenda kwa wanganga na kutoa kafara za kutisha ili tu apate pesa ya kutamba na kufanya kufuru mitaani.
Siasa za nchi nazo zilibadilika sana kwa viongozi wetu ndani ya miaka 10 iliyopita. Viongozi walituaminisha kuwa kama huna cash basi siasa haikufai na hata wapiga kura tuliaminishwa kuwa mpigie kura anayekupa cash yaani kura zetu tuliziuza kwa pesa na zawadi mbalimbali. Siasa zikawa ni za maji taka kila mwanasiasa anatafuta pesa na umaarufu wa kuhonga ili aendelee kuchaguliwa. Wananchi hatukuona tena umuhimu wa siasa ikiwa viongozi tunao wachagua hawakidhi wala kutekeleza ahadi zao kwa jamii na wanasiasa safi walinyimwa kura kwa sababu ya kukosa cash na badala yake wafanya biashara na matajiri wa mitaa na majimbo ndio walioshindana kununua kura. Hali hii ilififisha dhana ya uchaguzi na demokrasia katika siasa.
Uchumi wa nchi ndani ya miaka 10 nao uli athirika kutokana na tabia ya ufisadi. Nchi ilisomeka kukua ki uchumi katika makaratasi lakini wananchi wengi walikuwa ni mafukara mifukoni waliokuwa wakiishi kwa mlo mmoja kwa siku. Vyanzo vikuu vya uchumi vili binafsishwa na kumilikiwa na wafanyabiashara na wanasiasa wachache(20%) waliomiliki sehemu kubwa ya utajiri wa nchi(80%) wakati wananchi wengi masikini (80%) walimiliki sehemu ndogo ya utajiri(20%). Maamuzi mengi ya uchumi wa nchi yaliumiza sana wananchi masikini mfano bei za bidhaa muhimu na garama za usafirishaji wake, viwango vikubwa vya kodi na kodi zisizokuwa na ulazima, maamuzi ya kuagiza bidhaa au kutengeneza bidhaa pamoja maamuzi ya kuacha sekta binafsi kutawala uchumi. Ndani ya miaka 10 tumeona hazina za nchi zikiachiwa huru kwa wageni kuvunwa kwa malipo madogo serikalini na viongozi wachache walioingia mikataba mibovu pasipo kuweka mbele uzalendo na maslahi ya nchi. Tulipofikia ilikuwa ni Hatariii kwa vizazi vijavyo..
Itaendelea….
By. Peter Sarungi
Watanzania yatupasa kubadilika- Sehemu ya Pili (Mwisho wa Mazoea)
Nakumbuka nimeanza kutambua haki yangu ya kupiga kura mwaka 2000 nilipokuwa kidato cha kwanza na nilishiriki nikiwa na uwezo wa kupambanua sera, ahadi na siasa za wagombea. Hivyo nilishiriki mwaka 2000, 2005, 2010 na 2015. Takribani awamu tatu za utawala nazishuhudia mpaka sasa.
Wanasiasa wengi waligeuza siasa kuwa ni uwanja wa kushawishi kwa kusema uongo wakati wakiomba kura, kuna wakati ilijengeka kuwa ili upate uongozi basi ni lazima uwe na pesa au uwe na uwezo wa kuunda uongo na kuupamba ukiwa unaomba kura.
Uchaguzi ulioisha 2015 umeshitua fikra zangu na kasumba niliyokuwa nayo ya muda mrefu ya kuamini kuwa siasa ni uhodari wa kusema uongo. Upepo ulikuwa ukibadilika kila wakati hadi ikafika sehemu wanasiasa wakakubali ukweli utawale katika hoja zao na ahadi zao.
Nimekuwa nikimsikiliza na kufuatilia kauli za Mh. JPM tangu alivyokuwa akijinadi na kuomba kura hadi alipoanza kazi ya uraisi na nimegundua kuwa Mwisho wa Uongozi na Utendaji wa Mazoea umefika. Nampongeza sana Mh. JPM kwa kuongoza kwa kufuata kauli zake toka alipokuwa akijinadi. Maana dhamira yake na kauli zake hazijabadilika tangu alivyoomba kura hadi sasa.
Hii inaashiria nini? Inashiria kuwa huko tuendako kuna majipu ya mazoea yatatumbuliwa sana. Ni vizuri watanzania tukaanza kuelewa maona ya Raisi hasa kwa kubadilika katika uongozi na utendaji unapokuwa unapewa dhamana au kazi katika idara za serikali. Kufanya kazi kwa mazoea pasipo kujali maslahi ya Taifa na wanyonge, kufanya kazi pasipo kufuata taratibu na sheria za nchi, kufanya kazi kwa kutumia cheo vibaya ni hatari kwa zama hizi za JPM.
Ni vizuri tukajitathmini je, mazoea tuliyonayo yanafaa kwa zama hizi za HAPA KAZI TU? Kama hazifai basi badili gear angani na ucheze ngoma iliyopo.
Na Peter Sarungi
Congratulations to Mr. Edwin Bruno and Ms. Hellen Dausen: Forbes-Africa under 30 most promising entrepreneurs
Source: The Citizen
Kutoka Facebook
2016 Norway Quota Scholarship Scheme for 800 Bachelors, Masters and PhD Students from Developing Countries
In the proposed state budget for 2016, the Norwegian government has suggested to phase out and eventually replace the Norwegian Quota Scheme. Therefore, we regret to announce that there will be no new admissions for the Quota Scheme for the 2016/17 academic year.
Brief description: The Norwegian Government offer scholarship funds for the Quota Scholarship scheme for Bachelor’s, Master’s and PhD Students from Developing Countries at universities and university colleges in Norway 2015/2016
Accepted Subject Areas: Students usually apply for degree programmes that serve as a continuation of their studies in their home country or for courses which can be a joint part of a degree programme in their home country (joint degree or sandwich programmes). Most of the programmes offered are at Master’s or PhD level, but the Quota Scheme also offers certain Bachelor’s study programmes.
About Scholarship: The main objective of the Quota Scheme is to contribute to capacity building through education that will benefit the home country of the students when they return. The Scheme is also intended to strengthen relations between Norway and the selected countries and thus contribute to internationalization at Norwegian institutions of higher education. Most universities and university colleges in Norway participate in the Quota scheme. The institutions involved are allocated a certain number of students under the programme each year. Most of the programmes offered are at Master’s or PhD level, but the Quota Scheme also offers certain Bachelor’s study programmes
To read more click ? ?
source & credit ? AfterschoolAfrica.com
Girls beach vibes
House for sale: Cypress erea, Houston,Tx
Below home is back on the market for only $246,986. Built -2016, 2-story,bedrooms and located on good school district area of Cypress.
Call (Ephraim) your Texas Real estate Professional today for more details about this home and more on the market @832-577-8396.
This home could be yours and dream big while your eyes are open.Haya nyumba hiyo nzuri sana inauzwa, ni wewe tu na wallet yako ??
Hot shot of the day!
Hongera sana Hellen Dausen: Forbes under 30 enterpreneurs in Africa!
Weka uzalendo mbele, mpigie kura Diamond: The BET AWARDS 2016
Vote! Vote! Vote! Weka uzalendo mbele, mpigie kura Diamond for link bonyeza. ? BET AWARDS 2016