Wishing you all a very Happy Memorial Day Wekend! Enjoy and be thankful ❤ …… ngoja niwaache leo na hii kinda old school toka kwa our Queen Lady JayDee just a #FBF
https://youtu.be/dvxnmnzu-58
Sehemu ya tatu: (Wafanyabiashara Badilikeni)
Wafanyabiashara ni wadau muhimu sana wa amani na ustawi wa nchi. Wao ndio chachu kuu ya ukuaji wa uchumi wa nchi pamoja na mwananchi mmoja mmoja. Nchi yoyote dunia ingependa iwe na wafanyabiashara wazalendo au wafanyabiashara wenye kufuata taratibu na sheria za biashara zilizowekwa ili nchi hiyo iweze kufaidika na biashara husika.
Mfanyabiashara mzalendo sio lazima awe mzawa ila ni yeyote yule mwenye kujali mahala anapofanyia biashara yake kwa kufuata taratibu na sheria za nchi hasa ya kulipa KODI. KODI ndiyo inayo endesha shuguli zote za serikali ikiwa ni mapoja na kuimarisha huduma bora za kijamii na mazingira mazuri ya uchumi kama vile miundombinu, mawasiliano, ulinzi na usalama, huduma za kisheria, kusimamia ushindani wa kibiashara, utawala bora na mengine mengi yanayogusa maslahi ya wafanyabiashara.
Lengo kubwa la biashara ni kupata faida na kuendelea kupata faida miaka ijayo, biashara yoyote ile ni lazima ilipe (ilete faida) kama utaifanya wakati sahihi, mahala sahihi na kwa wateja sahihi na ndio maana imeitwa biashara. Lakini wafanya biashara wengi wamekuwa na tabia mbili mbaya sana kwa maendeleo ya Taifa letu. Kwanza wamekuwa na mazoea na tabia ya kukwepa kodi kwa kufanya kila linalowezekana ili wasilipe KODI kwa lengo la kupata faida maradufu. Hii tabia haikubaliki jamani maana wateja wenu ambao ni wananchi wamekuwa wakikubaliana na bei zenu wakiwa na imaninkuwa kuna sehemu fulani inakwenda katika serikali yao kama kodi kwaajili ya kuendeleza nchi lakini wafanyabiashara hawa wasiokuwa wazalendo wamekuwa wakichukua mapato yote hadi yale ya serikali (KODI). Hii tabia inaleta uchonganishi kati ya serikali na wananchi wake ambayo ni hatari sana na haikubali.
Pili, wafanyabiashara wamekuwa na tabia nyingine ya kulalamika kwa matatizo wanayoyapata katika biashara zao bila kuangalia chanzo. Lawama nyingi zimekuwa zikielekezwa kwa wasimamizi wa biashara na serikali inapotokea mazingira yao ya kufanyia biashara hayapo vizuri, lakini ukichunguza kwa undani utakuta matatizo haya yamesababishwa na baadhi ya wafanyabiashara wenyewe kwa kukwepa kulipa KODI ambayo ingeweza kuwaondolea matatizo yao. Nakubali sio matatizo yote yanasababishwa na wao lakini mengi wao ndio chanzo.
Nawasihii mbadilike na mjifunze kuwa wazalendo na wenye kufuata taratibu na sheria. BADILIKENI…
Niwakumbushe wafanya biashara kuwa Serikali ya sasa sio ile ya miaka iliyopita, Serikali ya sasa ni ya KAZI NA KODI TU. Mh. Raisi ana maono ya kuifanya Nchi kujitegemea yenyewe kwa kuendesha serikali na kuleta maendeleo kwa fedha zake bila kutegemea misaada, haya ni maono mazuri na ya kuunga mkono. Tufike mahala hata wewe mwenyenyumba ya kupangisha ulipe kodi kwa serikali baada ya kupokea kodi kutoka kwa wapangaji kama alivyoshauri mtaalam wa uchumu Valentine Vedasto alipokuwa anahojiwa na BBC.
Walioteuliwa kumsaidia Mh. Raisi (Dr. JPM) wafanye hiyo kazi kwa spirit kama ya Raisi, wasimuangushe maana tuna imani na maono yake.
Na Peter Sarungi
Lovely Designer Mariam Beuzeidenhout Ishtiyaq of Fashionadoz, daughter of International designer Linda Beuzeidenhout (LB) of Atlanta, Georgia. Looking beautiful with her LB dress during her 8th grade (Elementary studies) graduation day! Mariam is already a well known fashion designer for baby dolls……..You can see some of her works and runways fashion show that she has participated through her Instagram page goes by Fashiondoz……..
Mariam has just finished her Elementary studies and now she is about to join high school this coming Fall semester! Its my honor to say congratulations Mariam! You did it! God bless you more and more!
Awwwwhhhh My third born FASHION DESIGNER @fashionadoz Is Graduating today from Elementary Studies. Ooo she just sent me this photo of her Making a grand entrance in her LB at her school. Awwwh photo taken by one of her teachers. Awww we are all getting ready to go see her walk awww I know I will cry today I know I will. Oooo jamani Maryam Leo anamaliza masomo ya msingi siamini machozi yashaanza kunitoka.
Hongera sana Linda na familia yako yote! Mungu azidi mlinda, amuongoze, na azidi kusimama katika nyia aliyopo sasa ??
Hatimaye a long awaited moment for many of us has come! Kwakweli swala hili lilipoanza nilihuzunishwa sana lakini sikushangazwa nalo kama wengine kwani nimeshaona matukio mengi ya hawa wanaume wanaotafuta power ya kuaminika katika jamii au katika familia wanafanya mambo ya ajabu including mauwaji na kama watu sio makini they may get away with it!. Bill Cosby hivi karibuni mambo yalikuwa magumu akawekwa underoath kwa kwenye case ya mwanamke mmoja (back in 2005) ambayo hakawa hana ujanja but to admit to drug women for sex! #SMH
https://youtu.be/lo0EBl9f9us
Kumbuka zaidi ya wanawake 50 walijitokeza mmoja baada ya mwingine na ku demand justice lakini statue of limitation ikawa inawabana! Sasa wengine wakajitokea ambao walikuwa ni underage teenagers some of them walikuwa waki act kwenye ile show ya The Bill Cosby show!……… Wazazi kueni karibu na watoto wenu ili waweze kukuelezeeni mambo yote bila uwoga wala aibu! Usiamini mtu yoyote!…….. Halafu haya maswala ya sexual or any kind of abuse mimi nafikiri yanachangiwa sana na wanawake wanaopenda “fake na cheap” life! Hawa watu ndo wana pretend everything is good nakuwapa hawa wanaume stupid force testimony about them ili tu wasaidiwe kitu fulani au ku maintain lifestyle fulani! Nimeshuhudia na wala sito ona aibu kusema! Hii tabia ndio inafanya hawa wanaume waendelee ku abuse wanawake na kuwafanya washindwe sema kwenye public kwasababu kuna stupid women somewhere wako radhi kutumika ili kuwafichia hawa wanaume mambo yao. Tena watatumia hela zao na power walio nayo kum victimize more the victim (s)! Nashukuru kuwa kuna wanaume kama President Obama ambao wako teyari kusimamia haki na ulinzi wa wanawake! Msikilize ?
Its so sad as the world was forced to believe this man is an icon when comes to “family hood” as he was a family man, husband and father figure. Kumbe yeye ndio abuser wakutupwa! Wanasema kama akiwa convicted ataenda jela kwa miaka zaidi ya 30! Sasa hivi anamiaka 78 inamaana atatoka akiwa na miaka 108! Judge aliyepangiwa hii case ni mwana mama can’t wait to see what will happen!……….? Sikiliza zaidi kuhusu hili sakata ?
Mwaka jana nilishawahi kuandika story kama hii bonyeza ? “Subway guy” au nyingine ni ? “Double life” or ? Parents!
Hongera sana Mtani wangu Muheshimiwa Zitto Kabwe! Hayawi hayawi sasa yamekuwa! Haya wadada wa mujini heshima na itifaki lazima mzingatie ee!………. Halafu mmeona alivyo mzuri? Sasa wee mtani wangu, kwani hata zile tamthilia za “Bongo movies” huwa huwangaliagi?! Siunaonaga wenzako wanapiga magoti au hii ni kibongo bongo? Mwe! Wee Muha acha vituko ?? Hongereni sana. Tunawatakia maisha mema, ndoa njema, na mpendane milele zote.
What a lovely picture of Wema and her mother! Priceless! Nani kama mama! Kuna binamu yangu mmoja siku ya msiba wa shangazi yangu alilia sana akasema maeno fulani kwa kijaluo ambayo maana yake ni “Mama yako ni mama yako tuu hata kama ni punguani ni mama yako” ……
Hakunaga kama mama! Na mtoto kwenye macho ya mama yake ni mtoto tuu hata kama dunia yote itamuona si mtoto lakini kwa mama yake ni mtoto mwenye dhamani sana! I truly love the unconditional love that mama Sepetunga has shown to her daughter! She always by her side regardless of whatever people say or has been saying about her daughter! Huyu mama ni mfano mzuri sana wa kuigwa katika jamii! Mtoto wako ni wako tuu hata kama watu wanamuona hafai wewe kama mzazi huwezi mkana mwanao! Hating her isn’t a solution but true love conquers all! Ubarikiwe sana mama Wema!……. Btw, who are we to point our fingers on Wema?!
Unanjaa unataka kula chakula kizuri lakini muda wa kupika hauna sababu ya kazi, shule, na mambo mengine ya kusaka pesa, basi hakuna matata kwani Hakuna Matata Kitchen wapo kwa ajili yako. Mabishi yao ni matamu sana na wana jali sana quality ya vyakula vyao hivyo huwa wanatumia brand za uwakika ili kulinda afya yako. Wao wako maeneo ya Austin, Texas lakini wanakutumia order yako popote pale hapa Marekani. Gharama zao ni nafuu kila mtu anaweza order na utapata kwa wakati unaotaka vikiwa fresh na vitamu!Pia unaweza wakodisha wakakupikia kwenye sherehe yako ndogo. Chakula ni presentation nao wanalijua hilo! Utawapenda sana. Wapendwa, naomba tu LIKE Hakuna Matata Kitchen page huko Facebook. Na tumuunge mkono mwenzetu, na wote tubarikiwe! …….kusoma post iliyopita bonyeza ? Hakuna Matata Kitchen
Nampongeza sana Ali Kiba kwa kupata mkataba na kampuni ya Sony. Hongera sana. Naomba ieleweke kuwa mimi sina timu na nasisitiza kuwa sina timu! Nampenda Diamond the same way navyompenda Kiba! Nafikiri kwababu Ali Kiba siyo mtu wa Social media sana hivyo mara nyingi huwa napitwa na habari zake!…. Kwanza Ali Kiba is my baby-brother, mtoto wa mtaani kwetu huyu. Tumekuwa wote Keko Juu hivyo mimi ni shabiki kidamu damu ??
Hongera sasa mtoto wa kwetu, we are very proud of you. Kaiwakilishe Tanzania vyema. Ubarikiwe siku zote!
Je wewe ni yule mtu anaitwa mzazi kwasababu ulizaa tu lakini hutekelezi majukumu yako kama mzazi?! Unapenda kuitwa mama / baba lakini hujui wala hutaki kutimiza majukumu ya hizo title? basi huyo mtoto ☝ anaongea na wewe kwakuwa mtoto wako analia hapo nyumbani na haumsikilizi!
Wazazi wengi (bila kujali kizazi kipi) nafikiri wanaona watoto kama ‘midoli’ fulani hivi au property! Wako busy na marafiki na mambo mengine yasiyo na maana bila kufikiria je mtoto wangu anapata upendo wa dhati kutoka kwangu? Je, mtoto wangu anajua nampenda unconditionally na siku zote yeye kwanza wengine baadaye? Je una weka muda maalum kwa ajili ya wanao / mwanao?
Watoto si ‘midoli’ bali ni viumbe vyenye uhai na utashi ambao wanatakiwa kufunzwa maadili, kupewa elimu bora ya duniani na ya kiroho. Chakushangaza wazazi wengi wa kizazi hichi wana concentrate na vitu kama mavazi na nywele na kuacha mambo ya msingi ambayo yataisaidia mtoto kukuwa kiakili na kiroho. Napia itamfanya awe raia mwema katika jamii inayo mzunguka na hata popote pale atakapo ishi hapa duniani. Sijasema mtoto avalishwe maronya ronya, hapana! Lakini pia jali mambo mengine ya msingi.Msiache wafanyakazi wa ndani ndio wakawalelea watoto kwani wanaweza wafundisha mambo ambayo yataharibu future ya mtoto / watoto wako na hakuna wakulaumiwa bali wewe mwemyewe mzazi! Kumbuka watoto hujifunza kwa kuangalia wazazi wao wanafanya nini na siyo wanasema nini! Kama wewe mzazi unawaambia wanao wasiibe wakati wewe mwenyewe ni mwizi wa mali za umma basi kumbuka watoto wako nao watakuwa hivyo hivyo! Ukipanda mahindi utavuna mahindi! Hata kama utamwagilia maji usiku na mchana usitegemee kuvuna mahindi wakati ulipanda michongoma!
Wazazi wengi siku hizi wameamua co-parent na technology! #SMH yani watoto ulelewa na mitandao! Wapo ndani ya nyumba kama “misekule”! Wanaonekana kwenye bills na vyeti vya watoto zao lakini si kwenye maisha ya watoto! Instead of taking their children to school they rather send them to school! Umeshawahi ona wale wazazi ambao wanalipa ada ya shule lakini hajui mwanae anafundishwa nini? Wazazi ambao wako busy ku entertain marafiki na ndugu baki lakini hawezi ku entertain au ku socialize na watoto wao! Inasikitisha sana kwani hao hao wanakuwa wakwanza ku criticise watoto pale wanapo kwenda kinyume na matakwa yao!
Hizi tabia ni za kuridhi! Kama umekuwa makini kuangalia kwa kina hawa wazazi ambao ni absentee parent wa kizazi cha sasa nafikiri utakubaliana na mimi kuwa hicho ndicho walicho jifunza toka kwa wazazi wao. Kwahiyo wao kwakusudia au bila kukusudia wanarudia makosa yale yale ambao wazazi wao wamefanya. It needs an outsider to give them a wake up call! Mabadiliko yana anza na wewe, usikubali kuwa sehemu ya hii laana! Fanya mabadiliko sasa!
WHY I DO WHAT I DO?
Sickle Cell disease is a hemoglobin disorder that affects more people than any other blood disorder in the world. In Africa, about 1,000 children are born daily with this disease. Most patients in Africa are unable to afford the costly treatment options and care due to high levels of poverty.
Although, there is not yet a cure, folic acid supplementation would be a great benefit to those living with the disorder. Folate also known as folic acid helps produce red blood cells in the bone marrow and helps to thin the blood to prevent sickle cell crisis.
My non-profit organization helps raise money to buy Folic Acid supplements to help these patients. Your donation of any amount will help prolong their lives and reduce the pain crisis that comes with this disease. We also hold seminars and training quarterly on Sickle Cell awareness.
Please help us spread Sickle cell awareness, education and to bring hope to families affected by this devastating diseAl-Jabri.ICKLE CELL FACTS
• There are between 20 and 25 million people worldwide living with Sickle Cell Disease (SCD), and of that number 12–15 million live in Africa.
• In Africa, mortality rates for those under age 5 range from 50% to 90%
• In 2010, study records indicate that about 2000 newborns were born in Tanzania hospitals.
• Children born in high-resource countries have higher chances of survival and lower mortality rates than those born in poor resourced countries
• Sickle Cell Disease causes complications in multiple body organs and includes chronic pain, musculoskeletal problems, stroke, pulmonary hypertension, and septicemia.
• Sickle Cell, if untreated, they may lead to death.
• Doctors have suggests that premarital and prenatal screening and diagnosis could reduce the burden of blood disorders in poor resource countries.
LET’S SPREAD THE WORD AND KNOW YOUR STATUS!!! Honeymoon Mohammed Al-Jabri
Source: One of THC members
Siku ya Juma Mosi tarehe 21 May, 2016 majira ya saa kumi jioni (4pm), wanajumuiya ya THC walikusanyika na kumuuluza Todd Tyler (The Lead Detective of homicide case of Andrew Sanga) maswali ambayo walikuanayo juu ya nini kinacho endelea kuhusiana na case ya mpendwa ndugu yetu Andrew ‘Drew’ Nicky Sanga a.k.a King 404. Mkusanyiko huo ulifanyika kwenye makutano ya barabara ya De Moss Drive na Fondren ambapo ni sehemu marehemu alipigwa risasi…….. Watu wengi walijitokeza, bado hisia za watu zinahuzuni nyingi ambapo wengi walitaka kujua nini haswa kina endelea na wao kama jumuiya wafanye nini kusaidia kurahisisha na ku speed-up uchunguzi ili mtuhumiwa aweze kupewa adhabu anayo stahili. (Tazama videos ? part 1 & 2)
Mkutano huo ulichukua zaidi ya masaa mawili kwani watu wengi walikuwa wanamaswali na Detective Tyler alikuwa yupo teyari kusikiliza na kujibu maswali yote. Kuna maswali ambayo yaliandikwa in advance kutoka kwa watu mbali mbali na kuna maswali ambayo yalijitokeza kwa wakati huo; na yote yalijibiwa kwa kuzingatia sheria na kanuni za upelelezi haswa za kesi za mauwaji!…….. Miongoni mwa watu walioudhuria mkutano huo nipamoja na mzazi mwenzie marehemu Andrew aitwaye Emmy pamoja na binti wa marehemu Zoe Sanga. Mkutano huo uliogozwa na Mwenyekiti/ President wa jumuiya ya Watanzania waishio Houston, Texas ndugu Mayocha
Naomba ifahamike kuwa hizi post ni zangu mwenyewe, hazijatoka kwa viongozi wa THC. Nime share nanyi kwa mapenzi yangu binafsi hivyo nipo fully responsible kwa chochote kile! Naomba niombe msamaha kama kuna mtu yoyote atakuwa amekwazikwa kwa hii post kwani hilo si lengo langu! ……… Poleni sana wafiwa wote, ndugu, jamaa, na marafiki!…….. Until the morning glory comes continue to rest in peace Andrew!
Wapendwa wasomaji, kuna watu ambao nimeamua kuwaanzishia specific category kwa ajili yao. Kila mmoja nitampa jina lake ili niwezesha kushare nanyi picha zao in a very special way that pleases my heart! Sasa ngoja niwatambulishe kwenu Foster Collection!
Hichi kitakuwa kipengele maalum kwa huyu dada yangu. Yeye anapenda sana color combo, na anajua sana kuzipangilia, kiufupi namkubali sana. Hii ni kwa wadada waliopo Facebook tuu, Instagram nimemuachia my sister Shamimu Mwasha mama wa 80/20. Mie mzee Facebook ndio mahala pangu ?? Najifunza mengi sana toka kwa 80/20 nitakuja niwaambie kitu gani nataka nimgelezee! #KizuriKulaNaMwenzio haya subirini Foster ageuke….. Si mmemuona eeh! Too cute! I love the shoes. …..Haya enjoy the collection….. kula muhimu jamani lol! Isn’t she lovely! Mimi penda yeye sana such a sweet soul ? Haya wapendwa leo tumeishia hapa. Mpaka siku nyingine ni mimi mtangazaji wako Alpha Igogo ???
Hongera sanaaaaaa Muddy McHemba! Asante mutoto ya dada yangu kwa kututoa kimaso maso! Tanzania oyeeeeeeeee! Awiiii! Bharora bharora hivyo vichwa vya bazungu awii! Okoreebhuya mjukuu wa Mwita Gachuma! Nyanokwe aghongwe sana! (Better ask your mom to translate) ?? We are very proud of you!
My son I’m very proud of what you have accomplished, keep working hard and always believe in God because He is the only one in control! I will always cherish this day and remember that your one of the best 50 high school football players in Maryland, I love you soooooooo much keep making us proud.
Feeling you my sister! So happy for you!…… Hongereni sana mama, baba, na familia yako yote! Mungu azidi wabariki sana. Akafungue milango yote ya baraka, mkabarikiwe mpaka ushangae. Asante sana Muddy kwa kuipeperusha bendera ya Tanzania vyema ? hey! Muddy, remember my “cut” from that first paycheck ?? very proud of you Muddy! Wow! Baba na mama Muddy hongereni sana kwa mfano mzuri mliyo uwonyesha sio tuu kwa watoto wenu bali kwa watu wengi sana walio wazunguka. Mfano mzuri sana wa kuigwa katika jamii. Mbarikiwe sanaaaaaa ❤❤❤ Ulipendeza sana binti wa mzee Gachuma. Bibi Mdeche must be very proud of you. Hongera mama, ubarikiwe sana mke mwema! Beautiful family! Mbarikiwe sana wapendwa Congratulations Muddy, well done!…. with no particular order you can read more posts about Muddy a.k.a former #88 click ?
Young African Professionals (YAP – Houston) is a 501(c)(3) public charity in the United States with the goal of fostering a community of young African professionals 21-40, or within the first 7 years of their career, in the diaspora to encourage community participation, networking, professional development and other interests of our members. We hope to use the organization to amplify our voices in addressing issues that affect our communities and meet our personal and professional goals. We host events to meet these goals. Feel free to invite all persons you believe fit the criteria. YAP Houston will be officially launching on June 24, 2016! At this time, membership will open and the 2016 events will be announced! More details regarding the launch event will be coming soon!
To all my brothers and sisters who live in Houston erea, young and vibrant please join this group if you can. The age limit is very restricted; kindly keep that in mind!