Category Archives: Uncategorized

“My husband to be”

Sandra Mushi
Sandra Mushi

“My God! You will make such a beautiful bride!” The bridal shop sales lady exclaims as I come out of the dressing room. “You look absolutely beautiful!”

I try to blush and giggle, “aksante.”

“Your husband to be must be ecstatic!”

I try another giggle.

“So where is he from, if I may ask?”

“Erm. Sijui …”

“What do you mean hujui?”

“I don’t know.”

“Have you not met his family? Been to his place? Have you not done the mahari thing?” In naked panic questions pour out of the sales lady’s mouth.

“No. Nl. And my family does not do mahari.”

“You have not met his family? Is he not from here?”

“I don’t know.”

“You don’t know where he is from?”

“No.”

“You don’t care to know?”

“I do.”

“Sasa?”

“We have not had a chance to talk about it yet.”

“Ain’t you getting married next month?”

“Yes. June 30th.” I shift in the bridal dress. Much as I am enjoying the drilling, the dress is now making me feel rather hot.

“Sasa? Why have you not talked? Don’t you think its important to know? Atleast his family?”

“We have not yet met.”

“Who?”

“My husband to be.”

Stares as her brows slowly bunch up together into a frown. And takes a step back. And another.

??????

“Mapenzi kamwe hayawezi kuleta chakula mezani au kulipa bili”

Mke mwema havutwi kwa mwanaume kwa pesa zake au cheo chake, mke mwema huhitaji MUDA, UAMINIFU, MAPENZI, KUJIAMINI NA UCHAPAKAZI.  FB_IMG_1463431832624Mapenzi kamwe hayawezi kuleta chakula mezani au kulipa bili, inahitajika pesa, ila penye upendo pana matumaini na utulivu wa nafsi, hivyo ni rahisi kuwa na moyo wa kutafuta PESA. True or False?

2015-04-22 21.13.43Wapendwa naomba mnisamehe sana. Huyu kaka niona hii status yake kwa Facebook ya mtu ambaye ali share. Tatizo nimesaha jina nimejaribu kukumbuka lakini wapi ?? please kama utasoma hapa naomba uniambie jina lako. Au kama mtu unamfahamu please naomba mfikishie ujumbe ?

Siku ya Mawasiliano na habari duniani

FB_IMG_1463492347739Kheri ya siku ya Mawasiliano na Habari kwa wana habari wote na wataalam wa mawasiliano dunia kote. Asanteni sana kwa kazi nzuri mnayo fanya ya kutuhabarisha, kutuelimisha, na kutukumbusha wajibu wetu sisi kama raia wa hii dunia. Asante sana. Mbarikiwe mno FB_IMG_1463492331170

A word of wisdom

The day you decide to let go of anger, life will begin to get a lot more easier. The day you decide to embrace forgiveness and really let the past remain the past, your life will truly start heading in a more positive direction. Forgiveness will reward you and bless you in ways that you never thought possible. See when you don’t forgive, you put up barriers between you and your blessings. You block your own path to having who you need and what you need out of life. Your heart has to be free of tension, resentment, bitterness and anything else that will poison your mood in a negative way. Forgive yourself and forgive other people. We only get one shot at trying to live this life the best way that we know how. Don’t block your blessings because you can’t let things go.

Source: One of THC members 

Kutoka Facebook

FB_IMG_1463407704585-1Nimependa sana hii picha ya dada yangu Tuma. Kapendeza sana. Napia leo ni siku yake ya kuzaliwa, hivyo naomba nimtakie kheri na furaha ya siku ya kuzaliwa kwakwe. Ubarikiwe sana milele zote……..

Nampenda sana huyu dada yangu kwani anahekima sana, siyo mtu wa magroup, na wala si “Nyumbu”! Yani hajashikiwa akili na marafiki au watu baki. Maamuzi yake huyafanya kulingana na kile anachokijua kuwa ni ukweli na sahihi. Sio kama baadhi ya watu ambao wao hawawezi kutafakari na kuchuja kabla ya kufanya maamuzi. Ni mtu mwenye msimamo wake binafsi kwani hapendi kujihusisha na chuki zisizokuwa na msingi. Na kwasababu hiyo amekuwa msaada mkubwa sana kwangu mimi! Amenifariji sana na kunipa moyo siku zote. Kwakweli namshukuru sana Mungu kwa kunipa watu kama dada Tuma…… sina cha kumlipa bali namuombea mibaraka yote toka Mbinguni kwa Mungu.

Happy birthday my darling sister, I love you big!❤❤❤ ?

Soma zaidi kuhusu dada Tuma hapa

I am so getting married

So I’m getting MARRIED??️!

June 30, 2016!

Sandra Mushi
Sandra Mushi

I know it’s sudden, but when you know you know. Many of you have been wondering why I have lost weight. Its so I fit perfectly in that wedding dress. And have I found a pretty one!

Anyway, we’ve kept it very quiet, so please don’t take it personally, if you did not know. Since it’s right around the corner, we’re not planning a big wedding. We will be inviting some family and a few close friends. Invitations will be mailed out soon, and we would really appreciate your presence on our special day.

Please no need to bring gifts. Just bring someone I can get married to.

???????? start your day with a smile from Sandra Mushi

Hot shot of the day

FB_IMG_1463314070971Gorgeous! Pendeza sana Mwanamitindo wa kimataifa Miriam Odemba ❤❤❤

Mother and son moment

FB_IMG_1463284985772#NaniKamaMama Mrs Lyimo with her little soldier Amani Lyimo on Mother’s Day.FB_IMG_1463284969590giving him a little kiss before walking on the redcarpet FB_IMG_1463284997646so beautiful! Ubarikiwe sana mama mwema!…. Mama Aika I love your dreess. Mlipendeza mno FB_IMG_1463018526102wazazi wote mnaosoma hii blog naomba msome ujumbe hapo ☝ ………. ni muhimu sana kuwaonyesha watoto upendo. Usimfananishe mtoto wako na mtoto mwingine yoyote yule. Kwani utakua unamkosea sana na kumnyima haki yake ya kuwa yeye kama yeye sababu wewe unataka awe kama fulani!

Jifunze kumpenda mwanao na kumjenga kifikra ili aweze kuishi maisha bila shida na aweze kupenda watu wengine kwani upendo mtu hufunzwa toka kwao na si barabarani! …….. wamama wafundisheni vijana wenu kuheshimu na kulinda wanawake. Teach them how to be a gentleman, a good father, and the best husband. Muwaambie kuwa wanawake siyo object or property fulani, hapana! Wanawake ni viumbe vyenye thamani vinavyo takiwa kuthaminiwa sana kwani hata mama zao nao ni wanawake vile vile!….Hata kama wewe ni single mother still you can raise a good man if you want to!

Matukio katika picha: “Blended But Not Broken”!

FB_IMG_1463284485104Designer wa kimataifa Linda Bezuidenhout  akiwa amependeza sana kwenye tukio la ufunguzi rasmi wa uuzwaji wa kitabu cha “Blended But Not Broken” cha mwanadada maharufu sana jijini Atlanta, Georgia ajulikanaye kama Sasha the Diva! Ambaye pia ni mtangazaji wa radio (Kiss 104 FM) maarufu sana hapo hapo Atlanta……. kama kawaida yake Linda alikuwa amevalia mavazi mazuri ya LB designs ambayo amebuni na kushona  yeye mwenyewe. Nywele zake na makeup alipambwa na celebrity stylist MUA @stylesby_crave ….. alipendeza sana  FB_IMG_1463284413293Linda pamoja na mumewe Mr Mali Kimesera walikuwa moja ya watu muhimu walio alikwa katika hafla hiyo ambayo ilifanyika siku ya tarehe 12, May, 2016 kwenye ukumbi wa The Ventana Room, downtown, Atlanta, Georgia. … pichani ni muhusika mkuu wa siku hiyo Sasha the Diva  (ambaye pia ni mteja mkuu wa LB) pamoja na Mr and Mrs Mali Kimesera. FB_IMG_1463284427733Hapa Mr and Mrs Mali Kimesera wakiwa na Mayor wa jiji la Atlanta bwana Kasim Reed wakati wa ufunguzi wa kitabu hicho “Blended But Not Broken” cha Sasha the Diva of Kiss 104 FM.  FB_IMG_1463284626068FB_IMG_1463284504183FB_IMG_1463284648514FB_IMG_1463284438431Ms LB pamoja na Mayor Mr. Kasim Reed FB_IMG_1463284497788Picha nzuri sana. Walipendeza mno!…… Picha zote na  @jaxonphotogroup 

Kutana na Chef Raphael

FB_IMG_1463319156810Haya kama unataka kuongeza maujuzi ya kupika mapocho pocho au unataka kujifunza kupika basi huna budi ku-like page ya Chef Raphael huko Facebook. Utajifunza mengi sana kuhusu mapishi! Screenshot_2016-05-15-08-35-12-1

Father and daughter moment: Mtoto wakike naye ni wathamani!

FB_IMG_1463318790227baba ni mtu anayetakiwa kuwa mlinzi (protector) wa watoto wao haswa watoto wa kike. Watoto wakike huwa wanategemea sana baba zao as their shield in any kind of trouble. Wajibu huu 2015-04-22 21.13.43usipotimizwa ipasavyo huwa unaleta madhara makubwa sana kwa watoto wakike na jamii kwa ujumla kwani ustawi wa jamii yoyote ile inategemea sana mwanamke! Kuna wababa ambao huwa wanachagua watoto; yani anaona mtoto wa kike hana thamani sana kama mtoto wa kiume. Au anaona hawana umuhimu wowote ule. Sasa chakushangaza ni kuwa YEYE MWENYEWE KAZALIWA NA MWANAMKE! Ili ukoo wake usonge mbele / uwendelee kukuwa unahitaji wanawake! Sasa sijui kwanini aone kuwa watoto wakike hawana umuhimu! ……wababa pendeni na kuwalinda watoto zenu wakike kama mnavyo penda watoto zenu wakiume kwani nao wanathani sana kama hao wakiume.

“The status of women in Africa is also personal to me as woman!….. see what I want you all to understand is that; I am who I am today because of the people in my family particularly the men in my family! Who valued me, and invested in me from the day I was born……… any man who uses his strength to oppress women is a coward” – Michelle Obama …… Msikilize ?

Ubarikiwe sana baba mwema!

Kutoka Facebook

12694148013Beautiful picture of my friend Rose and her husband Dr. Thomas Ongwela from Kalamazoo, Michigan. ❤❤❤

“Siwalaumu kwasababu elimu hii imepuuzwa”

FB_IMG_1463273440877Ni bahati mbaya sana kwamba shuleni tunafundishwa jinsi ya kuwa mwanasheria, wahandisi au daktari hatufundishwi jinsi ya kuwa ‘mwanamume’. Matokeo yake unakuta mwanamume anashindana au anapigana na ‘mwanamke’ au wanajibizana maneno kwenye simu au Instagram au Facebook au what’s up. Toka wakiwa watoto vijana wa kiume lazima wafundishwe kuwalinda na kuwahifadhi dada zao. Ili wakiwa wakubwa wawalinde na kuwatetea wake zao. Kukosa kufanya hivyo ndio unakuta mwanamume mtu mzima anapigana na binti baa au club, au anashindana na binti kupanda daladala, au anampita mama mjamzito kwenye foleni, halafu anajiona mjanja wa mjini, siwalaumu kwa sababu elimu hii imepuuzwa. 

2015-04-22 21.13.43Kaka yangu, umesema kweli kabisa kuwa elimu hii imepuuzwa. Asante kwa kuliona hilo. Lakini hukusema nani aliye ipuuza?! Maadili huwanzia nyumbani. Watoto hujifunza kwa kuangalia wazazi wao wanafanya nini na si kusikia wazazi wanasema nini! Wazazi wanaweza ongea sana lakini kama wao wenyewe hawaishi kulingana na kile wanacho kisema basi ni bure! Hili limekuwa ni tatizo kubwa sana na imesababisha wazazi wengi wa wakizazi hichi cha karne hii kupungukiwa na maadili na hekima! Utakuta wengi wanajua kuongea lakini angalia matendo yao je yanaendana nayale wayasemayo?! Sasa hicho ndicho nawao walicho jifunza  kutoka kwa wazazi wao ‘kuongea bila matendo’! Baba anasema heshimu wakubwa wakati huo huo baba huyo huyo anamtukana na kumdhalilisha mama / mkewe mbele ya watoto! Unafikiri watoto watajifunza nini? Don’t get me wrong siungi  mkono udhalalishaji wa aina yoyote ule. Haijalishi unafanyika mbele za watu au in privite! Nalaani vikali mno!……Pia tatizo lingine wakina baba (haswa wa Kiafrika) walio wengi wako very selfish! It’s all about how they feel bila kujali watu wengine haswa watoto zao wanajisikiaje. Mawazo ya watoto hayathaminiwi kabisa katika ngazi ya familia! Basi na hii imechangia sana watu kuwa selfish kwasababu kila mtu anafikiria nafsi yake yeye mwenyewe hata kama wengine wanaangamia ilimradi yeye anafurahia moyoni mwake basi hiyo ni sawa!

Tunatakiwa tubadilike, na mabadiliko yanaanza na wewe mwenyewe. Its about time to start a real talk about ‘familyhood’ in African families particularly Tanzanian community! When you know better you do better!

Hakiki simu yako kabla ya kununua!

FB_IMG_1463273440877Nimetafakari sana suala la simu FAKE nchini Tanzania. Nimetafakari sana uamuzi wa kuzizima simu FAKE hizo mwaka huu. Nimejiuliza maswali mengi sana, simu FAKE hizo zimeingiaje Tanzania? Zimeingia kupitia mlango gani? Hayo maduka yanayouza yameruhusiwa na nani? Mwananchi mnyonge anayenunua kwenye duka la simu kosa lake Nini? Nani katufikisha hapa kiasi cha kuwatia hasara wananchi wetu? Hatua gani zimechukuliwa dhidi yao?

FB_IMG_1462685155600Simu bandia na vifaa bandia vya electronics vimeleta maafa makubwa sana, nyumba nyingi zimeungua, watu wamedhurika hata kupoteza viungo vya miiko yao. Uhalifu unaongezeka. Nani alaumiwe? Wako wanaozitaka hizo feki kwa matumizi maalumu (uhalifu)! Wananchi wengi wanapoteza fedha, serikali inapoteza mapato (hazipitishwi njia halali hivyo hazilipiwi kodi)!

Tunahitaji kuwa salama, tunahitaji kuepuka madhara tusiuoyajua kwani hazijulikani zinatengenezwa na nini!Simu feki sio za kutoka China, yako Mataifa sugu kwa kutengeneza simu bandia! Hakiki yako sasa, huwezi kujua umebeba nini na unakaa nayo 24%! Serikali imefanya uamuzi huu baada ya kutoa tahadhari tangu 2010 na kutoa miezi 6 ya kuelekea ukomo wa matumizi ya simu bandia 16/6/2016 Kweli? Wananchi wsmetahadharishwa tangu Juni 2010! Taarifa zimetolewa kwa njia mbalimbali zaidi ya miaka 5! Wakati Kenya ikizima simu bandia serikali ililaumiwa kwa nini hamfanyi kama Kenya! Makampuni ya simu yametuma text message kwa kila mwenye simu kuhakiki simu yake kabla ya kununua!  FB_IMG_1463273378767Wajibu wa TBS tunaujua? Kazi yao sio kuzuia vitu bandia bali kuweka viwango na kuthibitisha ubora wa bidhaa (Angalia Mandate Yao kwenye sheria iliyoanzisha Shirika).

TCRA haina mamlaka ya kusaka wala kuzuia bali kusaidia soko kujua na kutambua vifaa vya mawasiliano vyenye kukidhi viwango vilivyowekwa na ITU na WHO na kutoa leseni  kwa waagizaji na wasambazaji wa vifaa vya mawasiliano. Iko maabara ya kukagua vifaa kuanzia minara, vifaa vya utangazaji na vyote vya mawasiliano.

FCC ndio wenye dhamana ya kukagua, kusaka na kuharibu bidhaa bandia kwa ujumla. Wanafanya kazi yao vizuri. Tatizo ni kuwa bidhaa bandia ni uhalifu wa kimataifa na zinatumika mbinu mbalimbali kuziingiza nchini. Ilichofanya TCRA ni kuleta teknolojia ya kuzitambua simu bandia kuunga mkono jitihada za kimataifa kukabiliana na tatizo hili.

Vitu bandia ni vingi, unahitajika ushirikiano wa wananchi kuisaidia serikali kupambana na uhalifu huu badala ya kufikiria “kutumbua” tu. Tuwatumbue kina nani kuhusu fedha bandia? cheni bandia? Tushirikiane kuzuia Tanzania kuwa soko la bidhaa bandia. Chukua hatua, hakiki simu yako leo, usinunue simu bandia.

Jumma Mubarak

FB_IMG_1463159301149Jumma Mubarak kwenu nyote. Weekend njema pia. Sorround yourself with greatness and love! ???

Hang in there, Sabbath is coming!

FB_IMG_1462641687347-1Nawatakieni maandalizi mema ya Sabato na muwe na Sabato njema ???

I decided not to coexist anymore with pretense, hypocrisy, dishonesty and cheap praise!

FB_IMG_1463149912512

Hot shot of the day

Screenshot_2016-05-12-18-10-15-1The Bosslady herself, looking great like always??

Mahojiano ya Swahili TV na baadhi ya Watanzania jijini Houston, Texas

Sikiliza mahojiano na baadhi ya Watanzania walio udhuria sherehe ya maisha ya Andrew ‘Drew’ Sanga a.k.a King 404 ambayo yamefanywa na Swahili TV

https://youtu.be/fi1C9o1fF80

Happy birthday Nick

FB_IMG_1463147567075They say to get the true value of love you must have someone to divide it and share it with. Am glad it is you Nick Mkapa. Even if I was given another chance to choose, I would still choose you. Happy birthday darling, baba Nigel Mkapa Jr. , baba Nathan aka the big guy. May your cup of blessings overflow with goodness from the Lord above. May you be blessed with a long, happy and healthy life to see your children’s grandchildren. Be blessed and enjoy your dayFB_IMG_14631442326162015-04-22 18.13.36Happy birthday baba Nathaniel. Nakutakia maisha marefu, yaliyojaa baraka, na furaha nyingi sana kuzidi ya leo. Happy birthday mume mwema. Be blessed!