Category Archives: When it’s family

Penda ndugu zako kwa matendo!

Wakulia amefurahia kumuona babu wakati wa kushoto amefurahia kumuona baba mkubwa! Ukitaka watoto zako wapende ndugu zako lazima uwafundishe muhimu wa ndugu zako kwako wakati wakiwa bado wadogo. Nasio kuwafundisha kwa maneno bali kwa vitendo. Siku zote watoto watasikia unachosema LAKINI watafanya kile ambacho wanaona mzazi unafanya. Wewe ndio ubao wao wakujifunza na watakusoma vizuri sana, basi hakikisha unacho andika kwenye ubao wako nikile ambocho kweli unataka watoto wako wajifunze toka kwako.

#ToGodBeTheGlor

Maisha ni nini?!

“Maisha ni nin? Swali hili limekuwa na utata na kuusumbua ulimwengu ni nini maana ya maisha; je! maisha ni kuwa na mume mwenye pesa nyingi? Je!maisha ni kuwa mke mzuri? Je! maisha ni kuwa na nyumba au gari nzuri? Je! maisha ni kuwa na marafiki wengi? Je! maisha ni kuwa na watoto? au je! maisha ni kuwa na kazi nzuri inayokupa heshima? Maswali haya yote ni sawa na bure maana watu wamekuwa na vyote hivyo na bado hawaelewi ni nini maana ya maisha! Maisha ni kutambua kuwa kuna Mungu na kukubali kuisikiliza sauti yake, kukubali kuwa yeye ametukomboa katika utumwa wa dhambi. Maisha ni kutambua kuwa miguuni pa Yesu pekee ndio mahali pa usalama Luka 10:38-42″ 

Sisters for life!


      Sema wapendwa wasomaji wangu, sorry ningekuwa busy kidogo nafurahia ugeni huu wa mdogo wangu. Amekuja kutembea kwa muda mfupi ambao wamefunga shule. Hii ni mara yake ya pili kuja U.S.A mara ya kwanza ilikuwa 2014 ambapo alikuwa ja mwaka mmoja na nusu. Hivyo ngoja tufurahi pamoja kwa moment hii 

Family ni msingi wa kila kitu ufanyacho!

 
           Kuna wakati familia huwa inaamua kukutana kwasababu tu wamejisikia kukutana. Saa nyingine mnajikuta wote mmetembelea eneo moja kwa wakati mmoja bila kujua hivyo mnakuwa mmekutana bila kukusudia. Mida mwingine familia inakuwa imekutana kwasababu kuna sababu maalumu ambayo inawalazimu wote kuwepo. Basi ndivyo ilivyokuwa hapa kwa familia ya mama na baba yangu. Walikutana kwa sababu maalum japo kwa leo sitaweza sema ni sababu gani iliyowakutanisha, hivyo wewe endelea kufurahia picha na pia endelea kutembelea blog hii kwani siku si nyingi nitakwambia ni kwanini family hii ya Mzee O.O Igogo iliamua kukutanisha ndugu zao siku ya jana Sunday July 8th, 2018.  Najua nawe utafurahia nami siku hiyo! 

Familia ni kitu ambacho kinathamani kuliko dhahabu na lulu. Ukiona mtu hajali familia yake au anapenda marafiki zaidi ya familia basi jua kunatatizo kubwa kwa akili yake!! Maamuzi ambayo tunafanya kila siku kwenye maisha yetu yanategemea sana tena sana nanfamilia tulizo kulia. Siku zote tupende na kujali familia zetu kwani ni hekalu dogo la Mungu.Hawa ni wadogo zangu wote. Msiwaone hapa wamekuwa wakubwa nimewaogesha na wengine nimewabadilisha nepi ? walikuwa wanaitwa "Bomoa group" yani ukipika "mahanjumati" lazima upike vya nyongeza maana hawafanyagi utani kwenye maakuli ?
 Hawa ni mashosti wa miaka mingi sana wamekuwa kama madada wa tumbo moja.



Mungu ibariki hii familia na familia zote duniani katika jina la Yesu ??

Family feud continues: The Kimambi

Naona mdogo wake Mange Kimambi ameamuwa kuweka roho yake huru kwa kuweka wazi kuwa anamsapoti RC Makonda na serikali ya awamu ya  tano. Wiki iliyopita aliweka picha akiwa na RC Makonda ikiambatana na short caption "nikiwa na RC wangu" lakini leo naona kawa muwazi zaidi.... .... Well, this is not so good and very sad on Kimambi side But it's good kwa wanaopenda drama na wengine tunajifunza hapa jinsi ya kuhandle family issues especially when it played out on public.......

Tutaendelea kuwafatilia mpaka mwisho.   

Regrann from @lord_supremo1 -  Tanzania ni yetu na Amani ndio msingi wa umoja wetu!! Nimeamua kua mzalendo!! Nikiwa na RC wangu @paulmakonda ? - #regrann

LeMutuz: Mambo bado kabisa mpaka mtakapoelewa kuwa SERIKALI YA AWAMU YA TANO ni serious business

Regrann from @lemutuz_superbrand  -  FACT: Is walipokutana jana yaani ... Le Commandant Field Marshall RC @paulmakonda na KAKA YAKE NANILIHIU LE KIGAGULAZZZ Mama Maandamano Hewa waliongea kwa masaa 4 nonstop wakiwa wamejifungia ofisini kwa Le Commandant WAWILI TU! ....ni FACT ....swali la msingi hapa ni je WALIONGEA NINI MUDA WOTE HUO WA DAKIKA 240? ...Kwani Kaka anajua nini kuhusu Dada yake Mama maandamano Hewa? ....Kwanini Le Commandant hakukutana na ndugu wengine wa Mama Maandamano Hewa akakutana na huyu tu? ...Le Commandant na Kaka wameanza lini kufahamiana na je walikuwa na Mawasiliano siku zote au? ...au Kaka ametumwa na Dada? ...kwa nini Dada kalia sana kwa uchungu? ...Le Commandant alijuaje kukutana na Kaka italeta kilio cha damu kutoka kwa Dada kama ilivyotokea? ....I mean haya ni maswali muhimu sana ya kujiuliza na kujijibu kabla hujakurupuka na kuanza kuropoka ropoka kwa nyie Misukule ...mwenyewe Dada Mama Maandamano Hewa kakubali kuwa kaumia wewe Msukule unasema nini? ...tulieni mambo ndio kwanza yameanza mpaka Dada afikishwe kwenye mikono ya Sheria ya Tanzania na ni karibuni sana hana muda mrefu ....Rais wa zamani wa USA Reagan aliwahi kusema "YOU CAN RUN, BUT YOU CAN'T HIDE FOR GOOD" - HIROSHIMA"........INAITWA KUPATWA KWA JUA nyie Misukule na Minyumbu tulieni hii ni "OPERATION KIGAGULAZZZ ONE" ...habari kamili inakuja ...toeni mapovu, lien, rukeni hii hamchomoi mazafantazz...KIGAGULAZZZ kashikwa pabaya na bado subirini the next "OPERATION KIGAGULA TWO" ...ndio maana ya ...LE COMANDANT FIELD MARSHALL now U know ...mambo bado kabisa mpaka mtakapoelewa kuwa SERIKALI YA AWAMU YA TANO ni serious business kazi kazi na Bampa to Bampa ....wewe Kibibi Kigagulazzz hiyo ni rasha rasha tu HABARI KAMILI BADO INAKUJA ....mpaka utinge Mahakamani Kisutu kujibu mashitaka yako rasmi ya UHAINI....hahahaha....ok guys here is THE KING OF ALL BONGO SOCIAL MEDIA NETWORK & THE KING OF ALL MOTHERS OF FREEDOM OF SPEECH! ....nani anabisha hukooo? au nani mwenye tatizo hukooo?...KANYAGA!  and THIS CASE IS CLOSED! - @lemutuz_superbrand  - #regrann

Family feud: The Kimambi

Regrann from @mangekimambi_  - letter to my brother Anil..... Since baba amefariki in 2004 I have tried to be the best big sister I can be.Siku zote nimewaweka nyinyi mbele yangu mimi.
Nimejaribu kufikiria kama you thought everything through kabla ya kwenda kwa Bashite. Remember hiyo mansion(nyumba) mnayoishi 25%  ni yangu.Kumbuka hoteli inayowapa kula 25% ni yangu. Na sio yangu kwa maneno ila kwa judgement ya mahakama kuu. Judgement imetoka since 2006 na mpaka leo sijawasumbua muuze chochote mnipe changu.

Since 2004 baba alivyofariki sijawahi kudai wala kupokea hata shingi 10 ya mapato ya hotelini  sababu niliwaza nyinyi mnahitaji hizo pesa more than me.Nilitaka msim-miss sana baba sababu aliwaacha nyinyi wadogo sana. Nikaona nibusara niwaachie na share yangu ya hotel. For 14 years hamjawahi kunipa hata sumni. That’s how much I love you. Nahangaika kivyangu marekani ila hata siku moja sijawahi kuwaambia muanze kunipa asilimia 25 yangu ya mapato ya hoteli. Leo hii nikisema niwadai share yangu ya mapato ya hotel since 2004 mtakuwa na hali gani?? Au nikisema uzeni nyumba mnilipe changu mtaenda kuishi wapi? Na mmezoea kuishi kwenye mansion?  Mnadhani sihitaji hizo pesa zangu ? Nazihitaji ili na mimi ninunue japo apartment hapa marekani ila sitaki kuharibu undugu sababu ya mali. Ila wewe umekubali undugu wetu kuharibu? 3 months ago mmeuza lile eneo la machimbo ya kokoto pale Tegeta kwa milioni 400 hamjanipa hata senti, hata kuniambia kama mmeuza hamjaniambia.Nafanya kuhadisiwa na mliowauzia. Mmegawana  wenyewe wawili na mama enu. I’m sure mtapata shock kuwa najua hili. Na hata kuwauliza sijawauliza sababu nalinda undugu. Na nnalinda undugu sababu hakuna kitu baba alikuwa ananisihi kukifanya kama kuhakikisha hatufarakani. Kila siku aliniambia wewe ndio mkubwa, wewe ukiwapenda wadogo zako hamtokaa kutengana. Wewe ndio wakuwaunganisha. Niliwaachia mali ili kumuenzi baba yetu.Nikaona bora nyinyi muishi like kings mimi niishi kawaida.

Mpaka hati zangu za shamba langu la Mbweni nilikubali mkazichue kwa  lawyer wangu although jaji alinikabidhi mwenyewe. Kama isingekuwa  Mama Tenga  kukataa kuwapata bila mimi kuwepo leo mngekuwa nazo. that’s how much I don’t care abou mali but undugu. 
Nilikuwa tayari niishi vibaya ila nyinyi muishi vizuri ndio maana sikuwasumbua na mali za baba yetu.

Nna uwezo wa kurudi mahakamani na kumwambia jaji yule yule alieamua kesi yetu ya mirathi in 2006 kuwa miezi mitatu iliyopita mmeuza machimbo ya kokoto ya Tegeta kwa milioni 400 bila kunitaarifu na mkagawana nyinyi wawili na mama yenu bila kunipa milioni 100 yangu au hata senti moja na hatua kali zikachukuliwa kwa kunitapeli, labda your new friend Bashite atakusaidia huko mahakamani ?? You have a big connection now ??
Share yangu ya machimbo ya kokoto mliouza muanze  kunitafutia. Mlidhani sijui? Kweli mnadhani naweza kupewa habari nyeti za serikalini ila nisipewe habari za nyinyi kuuza machimbo yetu ya kokoto? Nilikuwa najua Ila niliamuwa kukaa kimya sababu nawapenda na bila nyinyi kwenye maisha yangu nahisigi siwezi kuishi ila labda nahitaji kujifunza kuishi bila nyinyi. Niliona kama ningewauliza kuhusu hayo machimbo tungegombana nikaona bora nisamehe hizo milioni 100 kuliko kupoteza ndugu zangu ila nyinyi hamnithamini ?. Mapenzi yangu kwenu yanafanya mnaniona zoba. I have tried my best to keep our family together.

Na hayo machimbo mmeuza wa bei ya njaa sana, eti milioni 400 wakati yana thamani ya karibia 1 billion.Si mngesubiri mpaka uchumi u-pickup ndio tuuze?
Anil, I just wanted to remind you of how easily I can fuck you guys over but I havent.Ila wewe leo you decided to fuck me over. Ukoo mzima unanishangaa how come sijachukua changu hadi leo, miaka 12 toka jaji ametugawanyishe in 2006. Ndugu wengi wanadhani mmeniloga nisichukue hata mauzo ya hotelini. Naamini hamjaniloga ila ni mapenzi yangu kwenu tu.

Sorry guys, ilibidi nitoe hili kifuani ili niweze kuendelea na mambo mengine. Nisingemwambia ingeniuma zaidi. Haki leo Bashite kaniumiza.Yani leo Bashite kaniweza.But the struggle continues ?. I promise not to address this issue again. Kwahili mniombee maana limeniumiza haswa, worse than pain ya ndoa yangu kuvunjika.Na nimeumia kwasababu moja tu, my dad must be very disappointed huko aliko. I have failed him. Finally tumefarakana ??

**PS: Mnaoniambia nifute hizi posti nambloku. Mnataka nife na maumivu? I feel a little better now.  - #regrann

Mkuki kwa Nguruwe kwa binadamu mchungu……. !

Kuna watu wanajifanyaga kuwa wao wanajua jinsi ya kufanya maamuzi mazuri kuliko wenzao, wako wepesi sana kusema matatizo ya watu na kuhukumu wengine kwa maamuzi wanayo fanya! Sasa ikatokea maamuzi uliyofanya hayakuzaa matunda mazuri mbona utakoma! Lakini ikiwa yeye ndio  kafanya maamuzi ambayo siyo sahihi atatafuta kila njia ya   Ku justify hayo makosa na kutumia gharama zote kuficha makosa yao. Sasa huyu Tamar Braxton ni mmoja ya watu wenye tabia kama hizo. Yani huyu alikuwa mwepesi sana kusema dada zake kuwa wamechagua wanaume wasiofaa  na ndio maana ndoa zao zina matatizo. Msikilize hapa ?

Kuna siku pia alimuita Ex husband wa dada yake kuwa ni "baby sitter" kwamba hana faida yoyote kwa dada yake wala watoto zaidi ya kuwa kama mfanyakazi wa kulea watoto. Dada yake alichukia sana na kuwambia kuwa Andre anaweza asiwe mume mzuri lakini ni baba mwema sana kwa watoto wao na hato weza kumvumilia kuona anamdhalilisha baba wa watoto wake. Tizama hao ?

Sasa leo hii yamemkuta matatizo kwenye ndoa yake mpaka anadai talaka sasa amekuwa MBOGO! Hataki hata kuongea na familia yake kuwaelezea ukweli kuwa ndoa yake naye ilikuwa ni mbovu tu kama yao ila alikuwa anaficha. Yamemkuta yale yale aliyokuwa akiwaambia dada zake, kwa aibu anashindwa hata kuwaambia dada zake kuwa amekwenda mahakamani kudai talaka. Dada zake wamejua kuwa mdogo wao amekwenda mahakamani kudai talaka  baada ya kusoma  kwenye mitandao.  Halafu dada zake wanapotaka kumuuliza ili wajue ukweli anakuwa mkali kama pili pili!  Majibu ya shortcut huku akitumia Mic kama "defensive" mechanism! Embu mtazame hapo ?

Unajua kama hayajakufika kama hujui ku sympathize na matatizo ya watu basi ni bora ujifunze kunyamaza kuliko kuhukumu wenzio unafanya wajione  like something is wrong with them! Wakati jambo kama hilo au tatizo lolote lile linapokukuta unakuwa mkali hutaki kuulizwa  wala husikii kitu!

Nasikia Tamar amekuwa very sensitive na ame withdrawal kutoka kwa familia yake. Yupo very protective kulinda image ya mume wake.

Masikini Vince anatia huruma! Anataka ku fight for his marriage. Nafikiri ni vile anajiona yeye ni yatima na amekuwa kwenye Braxton family karibia miaka 20 na zaidi. Kumbuka Vince alikuwa Manager wa Toni Braxton kwa takribani miaka 10. Mkataba wake wa umeneja ulisitishwa baada ya kuamua kumuoa  Tamar kwani Toni alisema hawezi kuchanganya undugu na kazi akimaanisha Vince amekuwa shemeji yake. Wakati huo huo kunatuhuma za domestic violence kati ya Vince na Tamar ambazo zimetolewa na mama yake Tamar. Kama asemacho mama mkwe wake  ni ukweli basi nitakuwa nimeshangaa sana!! Kupiga mwanamke?! No! big No!

Mmh! Wishing her the best, nimefurahi sasa atajifunza kutokana na makosa. Maybe she will learn to put her ego down because she learned her lesson in a very hard way!

Mama’s trip to California

Mama yangu pamoja na mama Ruth wakiwa pembezo mwa daraja maharufu sana lijulikanalo kama The Golden Gate bridge huko San Francisco, California

Na hapa wapo kwenye mtaa mzuri uliotengenezwa kwa ustadi wa maua mazuri sana ujulikanalo kama Lombard street huko huko San Francisco, California

Kutoka kushoto ni Mama Otto, mama Igogo, mama Suleman Marando, na Mr and Mrs Apindi Adhero  ?❤ Marafiki na majirani wa mama Apindi wakiwa wamekuja kujumuika nao kusalimia wageni wao Mungu ni mwema sana tuna kila sababu ya kumshukuru

Mama’s trip to California!

 Mama yangu ndani ya California ??amekwenda kutembelea ndugu, jamaa, na marafiki ambao wanaishi katika jimbo hilo. Kwanza namshukuru sana Mungu kwa kumfikisha salama. Pili nawashukuru ndugu na marafiki wa California kwa kumu host mama yangu, haswa Ruth Ogot (gal!! Sina cha kukulipa zaidi ya kusema asante sana ubarikiwe milele). Haya mama enjoy your stay! ??? 

Wasichana wa Kowak katika ubora kwenu ??? much love!

Ni kwa neema tu!

Kama si wewe Bwana tugekuwaje sisi?! ….. Usifiwe msalaba wa Yesu, lisifiwe kaburi la Bwana linalo zidi yote asifiwe Mwokozi ?  ❤ Mtu na bibi yake katika pozi siku ya jana huko Austin, Texas tulikwenda kushangaa kidogo kwenye  Makao Makuu ya Texas state. Birthday girl katika pozi ? Leo ni birthday ya mwanangu, ili kuingiza kumbu kumbu katika blog hii basi naomba niseme Happy birthday Mercy! May God give you all that your heart desires  for His glory, Amen! Saa nyingine lazima uiname chini  ili uweze kuinuliwa juu!  #BeConfidentYetHumble

In today’s world of technology and social media no generation should left behind ??Nahisi walikuwa wananiteta ?? Siku zote salama panapo upendo kila sauti ni tamu panapo upendo  ?

Watoto wa mwenye haki! Zaburi 37:25-26

Zaburi 37: 25-26 :-

“25 Nilikuwa kijana na sasa ni mzee;

kamwe sijaona mwadilifu ameachwa na Mungu,

au watoto wake wakiombaomba chakula.

26 Daima huwapa wengine kwa furaha na kukopesha,

na watoto wake ni baraka.”


Psalms 37: 25 -26 :-

“25  I have been young, and now am old,

yet I have not seen the righteous forsaken

or his children begging for bread.

26  He is ever lending generously,

and his children become a blessing.”

My people!

My family on their way to Utegi kwenye mazishi ya ndugu yetu Kenneth! Hapa walikuwa Singida  jioni ya leo, umeona kitu cha “Utegi Mgahawa”? Kijiji chetu ni maharufu ati ?? ……. anyway, nawatakieni safari njema ndugu zangu, mfike salama na pia mrudi salama. Mazishi mema!

Wajukuu wamtembelea babu mkubwa!

Haya wenye babu zao acha waringe ?? my International niece and nephew leo baada ya kutoka kanisani wakasema wame m-miss babu mkubwa hivyo wakaenda kumsalimia na picha wakanitumia eti kunipa wivu ?? mwe! Nitasema nini zaidi ya kukodolea macho picha?! Maana mie babu zangu wote walisha lala usingizi wa mauti ??   Nivyema sana watoto kufundishwa their roots ili waweze kujitambua na kujivunia asili yao. Wajue vyanzo vya familia zao na kuviheshimu. Pia nifuraha na faraja sana kwa akina bibi na babu kuwa na mahusiano mazuri na wajukuu zao. Kwafaida ya wasomaji wangu, hawa ni watoto wa mdogo wangu Janeth Igogo. Na huyo babu yao ni baba yangu mkubwa mzee Charles Igogo.  Mungu azidi wabariki sana 

When your babybrother surprises you!

Yesterday morning (E.A time) Sir O.O Igogo gave  a surprise visit to his sister who lives in Pida village a.k.a SabaSaba in Butiama, Mara region while on his way to Utegi village to handle some family business………May God keep blessing them forever and ever Amani! ?❤

Hii picha imenikosha moyo wangu!

Kwamnao nijua lazima mtajua jinsi gani huwa naishukuru hii familia. Yani nimekuwa nikitumia picha zao sana mpaka mwenyewe nikaona aibu ?? Ndio maana siku hizi nawaweka mara moja moja ili niwape brake kidogo lakini hii picha imenikuna sanaaaa ikabidi niwaweke tu! What a lovely family! Symbol of UNITE as a family! Yani wanasonga mbele wote hawaachani juma. Sijui mama tu ndio awe "super star" hapana! Wanavutana mmoja baada ya mwingine kila mtu kwa karama yake! And please, let us give Mali a credit! Jamani wanaume wangapi wa Kitanzania ambao wangeweza kuzungukwa na team kama hii with their full energy na kumudu?! Kwakweli anastahili pongezi sana! He is one of the very few best father! Mungu azidi mbariki. Na hii familia izidi barikiwa zaidi ya hapa. ❤ it! Mfano mzuri sana huu wa what should family be! "The Grand Opening of Linda Bezuidenhout Couture Boutique at Phipps Plaza. The navy blue dresses are LB Couture, the Cream dress dressed by Linda's 3rd born Maryam and the Red dressed, dressed by the last born Marlinda are designed by Maryam. Linda's third born has been designing from a very early age she started with doll clothes @fashionadoz." ~~~~ Ms LB

The Teshas’!

What a beautiful picture! The Teshas’ katika ubora wao! Wamependeza sana! ❤ It!  Quote for today:

“Not only the presence of love fed the life of a family but there’s more to it in reality…”~~~~ Unknown 

Hili limenikosha moyo!

Nilikwenda kuchungulia kwa mwanamuziki maharufu kutoka Kenya aitwaye Akothee Akothee! Nikakutana na hizi picha za yeye na babu yake akimpa babu good time! Zimenigusa mnooooo, zikanikumbusha bibi zangu na babu natamani wangekuwa bado wako hai. Nilikuwa nawapenda sanaaaaaa my grandparents! Namshukuru Mungu kwa kunipa nafasi ya kuwaona, kufurahi nao, na kuhakikisha wanajua kuwa nawapenda kabla mauti haijawapata. Hivyo hata kama sikonao tena lakini nafuraha moyoni kwakua walijua jinsi gani nawapenda kwani niliwaonyesha kwa vitendo!..Anyway embu nawe zitazame ?“my grandfather , my best friend my sweetheart , when he dint see me in his house for 2 days , he knew something was wrong , so he broke the sickbed rules , grubbed a pikipiki and suprised me at home , the love is real , ww have a tight relationship , as tired as he is , he made it to my house , his words (“ka ok anenoi ndalo ariyo., to aparoni tiendi cha omedore ,kata ituo , koro jii to okwera ni siasa rach oko kanyo , to apondonegi mabiro ” he said . GOD BLESS YOU JAMES OGENDI I love you too”~~~~~~ Akothee Akothee  

Ndugu wanapokutana…….!

Pale ndugu wanapokutana ni furaha kwa kwenda mbele! ........mama akipata kumbukumbu ya picha na binti yake kwa furaha ya kuonana tena baada ya miezi kadhaa kupitia! Magreth akimpokea dada yake Elline kwa furaha sana!..........  kwafaida ya wasomaji wangu, Elline ni dada yetu mkubwa, mimi ndio namfuata. Yeye alikuwa anaishi Geita lakini mwezi uliopita wamehamishiwa kikazi Makao Makuu (Dodoma). Hivyo sasa ni wakazi wa Dodoma! ........Tunamshukuru Mungu kwa yote! 

Manhood!

Mzee Guka (left) na Mzee William (right)

My baby brothers!! I always count my blessings, but when comes to these two I count TRIPLE Blessings! I got their back, indeed they got mine as well! We are focused on the future and care less the mindless nonsense ???? They are my coworkers and business partners ?? I love them more than they can imagine especially when they keep my bank account 'smiling' ?? God bless you BwanaPesa  (right)  and BwanaMifugo / Mzee wa Mipango (left) ??❤?