???? how true!……too many fake people nowadays! Yani ‘fakelicous’ people wapo katika level zote za maisha!……. ushawahi kuona wale watu ambao kila siku ukikutana nao au wao tu ndo kila siku for some annoying reasons hawana number yako ya simu halafu wewe you still have their number sijui for how many yrs? Yani mie nikishakupatia number yangu twice halafu tunakutana tena unasema huna number yangu?! Just forget about me! Kwani sitokaa nikupe tena my phone number as it’s clearly we ain’t suppose to communicate!! Navile huwa si mpenzi wa kuongeza kwenye simu basi unakuwa umenipunguzia mzigo! Maana I will delete your number the minute I am done talking to you!. …anyway we are living in a generation of “fake busy” and fake everything! Watu wana fake hata kumpenda Mungu ??