Unaweza kufikiri wazungu wamegundua mengi kumbe tunachuana nao! Hebu ona: Mzungu kagundua NDEGE Mwafrika kagundua UNGO. Mzungu kagundua ATM Mwafrika kagundua CHUMA ULETE. Mzungu kagundua DARUBINI Mwafrika kagundua RAMLI. Mzungu kagundua ROBOTI Mwafrika kagundua MSUKULE. Wewe ukiangalia nani mkali zaidi?
