Nimekutana na huu mjadala wa kutoa “tips” kwa wafanyakazi ambao wapo kwenye ‘hospitality industry’ kama waiters / waitress, wafangizi, na wahudumu wa sehemu mbalimbali. Je wewe huwa unatoa tips kama unavyotakiwa au niwale ambao ukisha kula unapangusa mikono na kwenda zako hata asante kwa wahudumu husemi?! Hivi unajua hata wale wafangizi wa hotelini huwa tunatakiwa kuwapa tips! Je wewe ukilala hotelini huwa unatoa tips kabla ya kufunga mlango au ndo unajiondoa kama ulivyo?! ……. kwa kawaida kama mfagizi hayupo karibu unatakiwa uwache tips yake juu ya kitanda au sehemu ambayo ataweza iyona. The same way unavyo achaga tips mezani kwa muhudumu wa chakula!…….. sasa kuna dada ambaye anaitwa Faith Mbori, mmiliki wa “Tamu Flavors” The Authentic Kenyan Dishes. Alianzisha mjadala huo kwa kusema hivi ……… ?
Dear Immigrants, People of Color and all bad Tippers,
Please learn to tip your servers. You are making us , people who tip well get bad service because they think we won’t tip. If you can’t afford a tip of 20% , try 15% please or stay at home, Google and prepare the meal you were going to order in that restaurant.
Dear Servers, please stop stereotyping too. That person you think won’t tip you may be your angel. I had a bad experience at Apple’s Bees I was once a server, so I played it cool.
Anyways he still got a 25% tip . Hope he will learn to treat people well. Have a great day bad Tippers and Servers