Miss. Winfrey yeye alienda kucheza kwenye milima ya barafu. Yani mimi hakuna kitu sipendi kama snow! Ni nzuri ukiitazama kwa mbali tu na siyo ndiyo iwe sehemu ya maisha yako. Nimeishi sehemu za baridi sana na hata siku moja sijawahi furahiya au kuzowea snow!…..anyway, Happy Easter to her ?