Familia ya mzee Prof. Sarungi yenyewe walisherekea mapumziko ya Pasaka kwa kula na kunywa pamoja kama familia (kama ilivyo kawaida yao). Pia wakajumuika na ndugu wengine kusherekea miaka 80 ya kuzaliwa Prof. SarungiWapendwa si mnakumbuka nilitoaga ushahidi kuwa mama Sarungi anapenda sana kuvaa Batiki! Si mnamuona eeh?! ?? Barikiwa sana mama yetu kipenzi. Mlipendeza mno ndugu zangu. Raha sana! Mbarikiwe wote.