Nilikuwa sijui kuwa Magimbi yanafaida sana mwilini! Hivi vyakula vyetu vya #Uswahili japo wengine wana vidharau lakini ndio tiba kwa magonjwa yote yanayo toka na na kula vyakula vya “kizungu” ?? haya ona faida za kula magimbi nipamoja na
- Kuimarisha afya ya ngozi yako
- Kupunguza risk ya kupata ugonjwa wa Kisukari
- Inaongoza nguvu ya mwili wako kupambana na magonjwa ya kuambukiza
- Inapunguza hathari za kupata kansa ya mapafu na kansa ya kinywa
- Inaongeza nguvu ya kuwa na ubongo mzuri wa ufahamu
- Inasaidia kuongeza damu mwilini
- Inasaidia kusaga chakula mwilini
- Kuongeza nguvu au kasi ya macho yako kuona vizuri
- Inapunguza msongo wa damu……. namengine mengi. Haya kazania hivi vyakula mpendwa kwaajili ya kulinda afya yako!
Taro root is crucial to my body,I need more it