Hapa nimesema “Wahayaz” lakini sio wote ni wahaya ila kwasababu kuna mtani wangu hapo ndio maana ? Hapa kwenye picha hizo juu ☝☝ ni cousin-sisters, brothers na friends walikusanyika kufurahia na kushiriki kula chakula pamoja siku ya Thanksgiving. Kwasisi tulio mbali na familia zetu inakuwa ngumu kujulikana nao katika siku muhimu kama hizi. Lakini tukumbuke kuwa mwana familia wako anaweza kuwa mtu yoyote yule ambaye mmeshibana sana sio lazima awe ndugu wa damu au ukoo mmoja!…..mbarikiwe sana wapendwa!