baba ni mtu anayetakiwa kuwa mlinzi (protector) wa watoto wao haswa watoto wa kike. Watoto wakike huwa wanategemea sana baba zao as their shield in any kind of trouble. Wajibu huu usipotimizwa ipasavyo huwa unaleta madhara makubwa sana kwa watoto wakike na jamii kwa ujumla kwani ustawi wa jamii yoyote ile inategemea sana mwanamke! Kuna wababa ambao huwa wanachagua watoto; yani anaona mtoto wa kike hana thamani sana kama mtoto wa kiume. Au anaona hawana umuhimu wowote ule. Sasa chakushangaza ni kuwa YEYE MWENYEWE KAZALIWA NA MWANAMKE! Ili ukoo wake usonge mbele / uwendelee kukuwa unahitaji wanawake! Sasa sijui kwanini aone kuwa watoto wakike hawana umuhimu! ……wababa pendeni na kuwalinda watoto zenu wakike kama mnavyo penda watoto zenu wakiume kwani nao wanathani sana kama hao wakiume.
“The status of women in Africa is also personal to me as woman!….. see what I want you all to understand is that; I am who I am today because of the people in my family particularly the men in my family! Who valued me, and invested in me from the day I was born……… any man who uses his strength to oppress women is a coward” – Michelle Obama …… Msikilize ?
Ubarikiwe sana baba mwema!