Tunapoelekea kusherekea siku ya wakinababa dunia (June 19th) je, umeshawahi kujiuliza wewe ni baba wa ina gani? Au unataka kuwa baba wa aina gani? Au unamuandaaje kijana wako / mtoto wako wakiume kushika title hii “baba”? Au wewe ni yule mzazi unaye subiria mtoto ajifunze kutoka mtaani halafu siku aikifanya kinyume na matarajio yako unaanza kumgombeza utafikiri ulishawahi kumfundisha njia iliyo sahii!
Unaweza dhania kuwa mtoto wako ni mtoto bora kwakuwa anapata “As” darasani au anapata Academic Awards nyingi lakini kupata A au academy awards hakumfanyi mtu kuwa good citizen wa hii dunia, wala hakumfanyi kuwa a good man / woman, wala hakumfanyi kuwa a good husband / wife, au a good father / mother. It takes more than getting “As” in class or academic achievements to make your child a greater human being! Don’t get me wrong, Im all for academic excellence achievements thingy, I adore smart and genius people in all type of academic field, but let me quote Aristotle “educating the mind without educating the heart is no education at all”! Mtoto anatakiwa kupata malezi bora! Yes, wapewe elimu ya dunia lakini nilazima mtoto apewe elimu ya kimbingu / kiroho pia ili kumsaidia kuwa kiumbe bora!
Ulisha sikia kwenye news wanasema “she / he was an A student au alikuwa na excellence academic records” halafu wanashindwa kuelewa ni kwanini ame made a very poor choice ambayo ina m-cost probably for life! Narudia, “educating the mind without educating the heart is no education at all”!!……… Halafu mimi nimeshaona mara nyingi hawa watu amnao wao wana ji-consider ” educated” wengi wao wako so “ignorant” with a chip on their shoulders like they know more than others or they are the best in making good decision(s)! Wakati ukweli ni kwamba hawa watu often their intelligence level is low! Huwa mara nyingi wana make decisions zao based on their friends that they consider to be in the same “level” which; often ina wa cost sana na hata ku destroy their academic achievements that they worked so hard for! Plus most of them wapo insecure na wanakuwa intermediated with people who got talent!
Watu maharufu walio wengi (sisemi wote) ukisikiliza story zao utasikia wakiongelea juu ya mama zao sana au bibi zao upande wa mama kuliko baba zao. Na hii nikutokana na mateso ambayo wamepitia au shida walizo pata kutokana na tabia au life choices ambazo baba zao walichagua! Tyler Perry ni mmoja ya watu ambao baba yake alimtesa sana yeye pamoja na mama yake pamoja na ndugu zake wengine. Kama mnavyo msikia kwenye hizi interviews
Manyanyaso katika familia yapo ya aina nyingi na katika ngazi tofauti haswa kama baba ndiye mwenye kipato kikubwa kuliko mama. Kuna wababa ambao wanatumia pesa zao kunyanyasa familia zao. Yani mambo yake yeye ndio yafatwe hata kama yanaangamiza familia! Au unakuta baba ana hela lakini hataki somesha watoto au kusaidia kitu chochote kile chamaendeleo ya watoto. Kazi yake ni ku-destroy watoto wake financially and emotionally! Wababa wa aina hii mara nyingi wanakuwa very addicted na hii tabia kiasi yakwamba hataki kuona watoto wake wanafanikiwa na kitu chochote especially kuwa na financial freedom ili tu aendelee kuwanyanya! Ushaona wababa ambao behind the science wao ndio wana destroy watoto zao?! Na huwa ni ngumu sana watu kuamini haswa kama wamefanikiwa kutengeneza mazingira fulani yakuaminika katika jamii! Inahitaji watu makini sana kuelewa watoto ambao wako kwenye mikono ya wababa wa namna hii!
Basi unapoangalia hizi videos za interviews zake, kama wewe ni baba tafakari je ni baba wa namna gani na unampango gani kubadilisha mwenendo wako kama mwenendo wako unafana na wababa yake na Tyler Perry. Nakama ni baba mtarajiwa je unajiandaaje kuwa baba mwema? Na kama ni mama au baba mwenye mtoto wa kiume je unamuandaaje kijana wako kuwa mwanaume na baba bora katika jamii!……. Kuna wa baba walio wema wazuri kuliko hata mama hao tutaongelea siku nyingine!