Since its Friday, let us flash-back some memories ? Hapa ilikuwa Bongo Star Search ya 2010 behind the scene. Huyo binti ni mwanangu akiwa na Diamond Plutnumz, TMK-Wanaume, na Marlow. Yuko wapi Marlow siku hizi?!
Anyway natumaini baadhi ya hizi picha zitakupa faraja na natumaini wewe uliyekata tamaa.!
Muwe na weekend njema. Mbarikiwe wote
