#FBF Me, Myself, and I back in 1992…………..cheka uwongeze siku za kuishi ?? nafikiri tabia ya kuweka family pictures ukutani nime irithi toka kwetu. I still do that and I love it ?? mwanangu sasa hapendii! chaajabu anapenda kuweka chumani kwake lakini siyo living room ??
