#FBF…..! leo nimeamua ku Flash-back hii picha tulipiga mwaka 2013 mara baada ya kumaliza lunch / dinner ya birthday ya mama yetu iliyofanyika pale Dar Sport Lounge. Kwenye picha ni mimi mwenyewe, mama mzazi hapo kati, pamoja na kaka yangu mkubwa. Huyu ndo first born wetu lakini hutokaa umuone active kwenye social medias kwani yeye na social medias ni vitu viwili tofauti kabisaaaaa! Yani hata wats app anatumia once in a blue moon. He is a very good entertainer ila ndo mpaka umfuate kwake. Anapenda sana wageni, you will enjoy visiting him! …………..Anyway, Mother’s Day is around the corner, there’s no word is perfect enough to express how I truly thank God for my mama. She’s one mother of her own kind! A very rare gemstone from Kowak, Rorya Distric, Mara region! God keep blessing her! Love you mama Igogo!
??? nimekumbuka kitu.,,, marehemu bibi yetu mzaa mama alikuwa anashangaa watu wa Dar wakimuita mama “mama Igogo”! Akawa anauliza kwanini wanamuita hivyo kwani yeye ndo kamzaa Igogo? ??? Nikamwambia bibi hayo ndo mambo ya mujini, karibu ujionee ??? I miss my bibi. R.I.P Valeria Awiti, kipenzi changu na my best friend!
Je una picha ya mama yako ungependa ku share nasi kwa ajili ya mother’s day. Na ujumbe wowote? Ni inbox kwa Facebook au nitumie hapa nami nita share.