Wapendwa wasomaji wangu mlipo pande za kwa Obama, kuna dada yetu huyu amefungua home business yake ya kupika ambayo inaitwa Hakuna Matata Kitchen, yenye makao makuu yake mjini Austin, TX, USA Basi naomba wapendwa tu ‘like’ page yake kwa Facebook. Napia tumuungishe mkono mwenzetu. Binasfi bado sijakula vyakula vyake kwani nilikuwa simfahamu. Usihofie sana kuhusu utamu wa vyakula kwani vitu vizuri vinaonekana hata kwa macho tuu! Mpangilio (presentation) yake yatosha kutoa ushuhuda. Nipo jiani ku order vitu tofauti halafu nje nitowe hushuhuda wangu humu. Simnajua mie sipendi kutowa hushuhuda wa uwongo?? Wenyewe wana safirisha order yako popote pale ndani ya America. Japo sina huwakika kama unaweza kukaa na kula hapo kwake. Mfatilie kwa ukurasa wake wa Facebook kujua mengi.
2 thoughts on “Hakuna Matata Kitchen”