Happy belated birthday mama Manongi; Mungu akubariki sana akupe maisha marefu, yalio jaa upendo, amani, na afya njema. Jamani sijuwi nianzie wapi kumzungumzia huyu mama yangu jamani! Ooh Lord! Yani ni Mungu pekee ndiyo anejua jinsi ninavyo mpenda na kumthamini huyu mama! Ni mama mwenye upendo, yani akiongea na wewe sauti yake tuu nikielelezo tosha cha upendo wake! Ubarikiwe sana mama yetu. Mama Manongi kwa wale wasio mjuawa ni mama yake mzazi na my dearest brother Noah Manongi. Wanasema ndugu sio lazima mchangie damu, bali ni mnavyo ishi, basi ndio undugu wangu ulivyo na kaka yangu Noah! Undungu wangu haukuishia kwa kaka yangu na mkewe tuu, uliongezeka na kuimarika sana pale wazazi wake Noah walipokuja kutusalimia Kalamazoo, Michigan. Kama sikosei ilikuwa mwaka 2010. Nami mwaka 2013 nilipo kuwa Tanzania nilienda kuwasalimia kama picha inavyo onekana. Mama Manongi, naomba niseme asante sana kwako wewe na familia yako yote kwa upendo mkanipokea jinsi nilivyo na kunifanya mmoja wa familia yenu! Mungu awabarikiwa sanaaaaaa mpaka mshangae ? Sisi hapa, simnatuona eeh ? Mwanangu mie, malkia wa roho yangu (kushoto), mimi (mtu kati), na my lovely brother Noah Manongi
Baba, mzee Manongi Mungu akubariki sana and kiss mama Manongi for me ??
Special song to her:
Thank you so much, sister Alpha. It means a lot!
The pleasure is all mine brother! be blessed!