Kheri ya siku ya kuzaliwa shemeji yangu Vincent. Nakutakia maisha mema, marefu, yalio jaa upendo, amani, furaha, na afya njema. Ukazidi kuwa na busara na hekima ya kuitunza familia yako na mkeo kipenzi. Zaidi ya yote ukapate kuwa karibu na Mungu wako zaidi ya jana. Bila Mungu vyote ni batili! Mweee! Eddah mtoto ya Gachuma Muke yake na Vincent, dada yangu umelamba “dume”au dume limekulamba ?? what a lucky man with a blessed lady on his left shoulder! Da Eddah enjoy your blessing my dear ? wa namna hiyo ni wachache sana ! Unaona wapendwa, ukishafika umri fulani na unafamilia nyumbani inakutegemea hivi ndivyo unataka kufurahia sherehe yako ya birthday; Small party / gathering na watu fulani amazing wanaojitambua ? safi sana ? classic! Jamani kujitambua ni muhimu sana. Vitu kama hivi havifanywi na watu wasio jitambua! Yani utakuta baba zima mwenye watoto kutwa yupo bar au kwenye nyumba za mwanaume wenzake eti “chilling na mshkaji” sasa huyo “mshkaji” anakushika nini mpaka ushindwe ku chill with your family?! #SMH Sehemu kama hizi mnakutana na ku have fun kwa masaa kadhaa kisha kila mtu anaondoka zake home. Hongereni kaka na shemeji zangu kwa kujitambua. My wii Lulu wa Saria na dada yangu Eddah wa Vincent mmependeza sana ? So beautiful. Pendeza sana ladies. Eee dada Eddah eeh! Tuambiane basi nini siri ya hili penzi?! ?? wenyewe wa “mujini” wanasemaga “kizuri kula na nduguyo” sasa mbona wewe unakula pekeyako ?? haya bwana……….Vincent’s face expression speaks volume! tena kwa maringo na mikogo yote , just love it! Happy birthday Vincent. Na asante kwa kunitunzia dada yangu. Ubarikiwe sana.
Very good blog post. I absolutely love this. Thanks!