Hatuna la kusema zaidi ya Asante kwako na asante kwa Mungu Baba aliyekuchagua wewe kuwa baba yetu na babu wa watoto zetu! Unaweza usionekana kama baba bora mbele ya macho ya watu wengine, hiyo ni sawa tu kwani hata aliyekuumba anajua hakuna aliyekamilika lakini siku zote fahamu ukamili kwetu sisi watoto zako na wajukuu zako! God created you perfect for us! Thus why you are our father not theirs! For that we are greatly appreciate and love you..... Happy Father's Day my baba! ❤