Kheri ya kutimiza miaka Khamsini ya kuzaliwa kwako! Mie bado nakumbuka ukarimu wenu na upendo mlionionyesha! Daima nitawashukuru na kuwatakia mema siku zote! ??? Happy Golden birthday baba wa ma-private Jet ?……….
Please tembelea Instagram na Facebook za Linda Bezuidenhout / Linda Bezuidenhout personal page ujionee “ThrowBack” za nguvu!
