Napenda kuwapongeza familia ya Mr. and Mrs. Nyagilo kwa kubarikiwa kupata mtoto mwingine. Mtoto Evin Otieno Nyagilo alizaliwa January 23, 2015 Dar es salaam, Tanzania. Hongera pia kwa mtoto Essy Nyagilo kwa kupata kaka. Mungu awabariki wote, na awe nanyi siku zote, Amina.
Congrats sis! God is so good
Ni jambo jema na la kumshukuru mungu kwa Pamoja kwa ajili yao. Hongereni Sana.