Hongera sana mdogo wangu kwa kupata degree yako ya kwanza. Kwakweli tunahitaji Accountants wengi kwenye huu ukoo. Nafurahia kuona umechagua chaguo jema kama la mzee William na your sister Akinyi lol! Nakuomba ufanye kazi kulingana na miiko ya fani yako, na maadili ya mpendezayo Mungu…..msalimie my cousin-brother
Hongera pia kwa rafiki yako. Haya mfanye sasa Masters na CPA.
Huyu Lawyer naye kapotelea wapi siku hizi? mpe salamu Thank you ladies for making us proud! Akili za ukoo wetu hizo, ni ukoo ulio barikiwa na Mungu ?? wenye wivu wajinyonge tu maana hamna namna ??