Hongera sana Frank!

IMG-20160903-WA0013 Naomba nichukue nafasi hii kumpa pongezi my cousin-brother Frank Laurent Sarungi wa Mbagala, Dar es salaam kwa kufunga pingu za maisha.IMG-20160903-WA0012Nawaombea kheri, ndoa yenu idumu katika Bwana siku zote! Upendo, amani, vitawale daima ndani ya nyumba yenu.IMG-20160903-WA0011 FB_IMG_1472436063790Kwa faida ya wale msiomjua Frank: Ni mtoto wa marehemu baba yangu mkubwa. Yeye alizaliwa na ulemavu wa kuto sikia (kiziwi) na pia ana ongea kwa tabu labda niseme ni bubu kwa kiasi fulani ila anaeleweka…….Frank aliamia nyumbani kwetu baada ya kumaliza darasa la saba. Kwasababu ya upungufu wa shule nzuri za secondary na elimu ya juu kwa watu wenye aina ya ulemavu kama Frank, basi aliamua kujiunga na English course kwa muda wa mwaka mmoja na baada ya hapo alijiunga na chuo cha viziwi kilichopo Baltimore, Maryland, U.S.A ambapo alisoma hapo na kuhitimu degree yake ya Theology. Kwani nia yake ilikuwa awe Pastor kwa watu wenye ulemavu kama wake. Alijaliwa kumaliza chuo na kurudi nyumbani Tanzania ambapo amefanikiwa kufungua kanisa la watu wenye ulemavu wa kutokusikia. Na siku ya jana alifunga pingu za maisha. IMG-20160903-WA0009 IMG-20160903-WA0008 IMG-20160903-WA0007 IMG-20160903-WA0006Blessing naye alikuwepo kushuhudia
IMG-20160903-WA0004cake ikikatwa na Blessing naye hakutaka kupitwa ?? IMG-20160903-WA0003IMG-20160903-WA0014Nifuraha sana IMG-20160903-WA0015Wifi mtu Maseline Obago akifungua champagne kwa madaha kabisa IMG-20160903-WA0018FB_IMG_1472436063790Si kwa kucheza huko ???? Mzee Igogo na mama Igogo wakikumbushia enzi zao ……..yani hapo ilibidi mama Igogo aweke mambo ya usabato pembeni ?? ……. mzee Igogo na mama Igogo ndio wazazi walezi wa Frank toka alipo malizia darasa la saba na kuhamia kwenye himaya yao. Wao ndio walio msomesha Frank hapa Marekani na kumsaidia kuanza maisha alivyo rudi nyumbani Tanzania. IMG-20160903-WA0017FB_IMG_1472436063790nafikiri hapa ulikuwa ni mwendo wa Arutu  (Luo dance) nahisi ulikuwa ni ule wimbo wa “???bilima Cecilia, jaber osekao pacha?? bilima Cecilia awinjo chunya gombi ndi” ???……..Congratulations Frank. All the best!

Leave a Reply