Hongera sana mwanangu kipenzi kwa kumalizia darasa la saba na zawadi nyingi za uwanafunzi bora. Wow! Very happy and proud of you Daniel. Ubarikiwe sana na uwendelee hivyo hivyo mpaka utakapo maliza elimu ya juu kabisa ambayo Mungu ataona inakufaa! Wazazi wazaa “njembe bora” nao hawakutaka kupitwa na tukio hili muhimu kabisa la mtoto wao mpendwa, mtoto wao wa kwanza. Mdogo mtu naye hakutaka kupitwa. Alihakikisha anakuwepo ku-show love kwa kaka. Umefanya vema Chaulo nawe utafuata tabia ya kaka. Kama kaka alivyo fuata toka kwa baba. Kazi njema sana mwanangu, hongera hayo ndo maneno ya mama mzazi kwa mwanawe. Hiyo cake jamani tubakishiane ibegoyoo ? Hongera sana Daniel. Ubarikiwe mno. Pia hongereni wazazi kwa kulea mtoto vyema.