Kama ilivyo kawaida yake, mrembo wetu Internation Super Model the one and only one Miriam Odemba katika ubora wake! Hapa akifanya final touches kabla ya ku hit the redcarpet kwenye Cannes Film Festival 2016 Hili ni tamasha kubwa sana la kimataifa la filamu huko Cannes, Paris ambalo hufanya kila mwaka. Miriam amekuwa mmoja wa warembo ambao ni kivutio kikubwa sana kiasi kwamba media nyingi huwa zinamsubiria kwa hamu nyingi kumuona amevaa nini na kutoka kwa designer gani! The Cannes Film Festival Ni kama The Oscars Awards hapa Marekani Yap! Better say thank you Lord first!??? mnamuona huyo kaka mwenye miwani ‘tinted’ anavyo mtazama mama Airis? I hope he got the memo that she’s from the most blessed land on earth; the Luo Land! Better check your intelligence level before opening your mouth! Money doesn’t talk in that land because we’re the Real Money! Intelligence is what matters ?? just for future reference Intelligence +Money = POWER! Thats why Luos’ are powerful, and well respected around the world ?? ….. kuwa na akili bila pesa ni sawa na sifuri ?Wahaya mpo ?? ……. kuwa na pesa bila akili ni sawa na bure ? Wachaga mpo ?? Isn’t she gorgeous! Glory and honor be to the Creator; GOD!…… She is our Lupita Nyongo ❤❤ Halafu Mmeona Kichwani eeh! #NoFakeZone Wow! Ringa mdogo wangu! Kwa raha zako mjukuu wa Odemba ?? peperusha bendera ya Tanzania hiyo! Hongera sana sana Miriam Odemba na asante sana kwa kuiwakilisha Tanzania vyema ?