Bella, Mrs Twaakyondo kama kawaida yake, kapendeza sana! Natural look yanguvu!
Kwakweli mimi huwa napenda and I admire a lot wadada ambao wanaweza kupendeza with very minimal or no makeups at all! Kuna wengine lazima tupake makeup kwani chunusi zimeharibu ngozi zetu, lakini nafikiri ku-over do makeup siyo powa kabisa! Kama unaweza ku-maintain your natural look then do so please! Kwani hiyo inaonyesha kuwa una confidence of who you are, unajikubali, na kujithamini!
Too much makeup and accessories kwa mwanamke yeyote yule (educated or none educated, rich or poor) inaonyesha lack of confidence, insecurities, plus demanding for attention! Pia kwa wale waliosomea mambo ya communications basi utakuwa umejifunza kitu kinaitwa ‘noise’. Mtu unavyo vaa na kujiremba inaweza ikawa kama “noise pollution” kwa wengine kwani wataacha ku-consecrate na wewe as individual or your msg na akili zao zote zikawa kwenye mavazi yako au mapambo yako. Sasa hapo ndipo unapoweza send a very wrong msg kwa wengine haswa wale wenye ‘judgemental’ mind set! Mimi binafsi my brain doesn’t function properly kwenye nyumba yenye too much bright / crazy colors. Yani huwa napata headache kabisa, na huwa nasema kwa wahusika. Sema huku Marekani watu wanaelewa ingekuwa Bongo ndo unasikia watu wanasema “anaringa sana” ??
Anyway, Bella kapendeza sana!….. Soma post za nyuma kuhusu Bella kwa kubonyeza ?