Mali Kimesera and Linda Bezuidenhount family wakiwa kwenye weekend gateway (min vacation) huko North Carolina kwenye milima inayo toa moshi (smokey mountains)! What a beautiful family! Hii family itapendeza sana ikiwa na reality show yao kwa TV ?? si hata nyie mnaiyona inavyo vutia eeh ?? glory and honor be to God!
