Palipo na Mungu siku zote pana upendo wa kweli! Mr and Mrs Bob Tuvako mmependeza sana. Hapana ngoja nikupe heshima yako: Mchungaji Bob Tuvako na mama Mchungaji, mbarikiwe sana wapendwa.