Our 1st lady! Mrs Janet Magufuli. Hapa ni jana akitia signature kwenye kitabu cha wageni katika kambi ya kulea wazee huko Nungu, Kigamboni. Nimependa jinsi alivyo simple, inaelekea ni liberal-conservative fulani hii, hivyo nafikiri mavazi yake mengi yatakuwa kama ya mama yangu mzazi ?? more of traditional look but in a classy way! I love her, as well as my mother ?? ubarikiwe sana 1st lady wetu……..btw mimi napenda sana watu wanao andikia “mashoto” huwa wanasema wanakuwa na akili na busara nyingi!