Ni kama story lalini kunajambo lakujifunza:
Baba mmoja alikuwa anaosha gari lake jipya, mwanae mdogo wa miaka 5 akalichora gari ubavuni na jiwe. Baba alivyomwona mtoto anachora akakurupuka na kumbana mkono kwa plaiz ikapelekea vidole 3 kuharibika. Wakiwa hosptal mtoto akatakiwa akatwe vidole 3, mtoto akamuangalia baba yake; akamuuliza,vitarudi? Baba akaumia sana, akarudi kwenye gari aone mtoto kachora nini? akakuta kaandika “I LOVE YOU DADY”.
Kanuni ya maisha ni watu wapendane na vitu vitumiwe, lkn tatizo la walimwengu wa leo, tunapenda vitu kuliko UTU!