Inasikitisha sana! Miaka mitatu (3 yrs) ya kufanya kazi TRA ndo mtu anakuwa na nyumba ya namna hii at 32 yrs old?! Labda kama chanzo cha pesa yake ni familia yake lasivyo basi hili ni jipu kubwa sana! Nimesema “kama chanzo cha pesa ni familia” kwani sina huwakika wa hii story wala muhusika mwenyewe hivyo sitaki kumuonea mtu! Kuna wengine wazazi wao wanawapa nyumba na kila kitu hivyo huwezi make a conclusion kwa information nusu nusu! Lakini hawa wafanyakazi waTRA only God knows what to do with them! Je hii ni kweli?