Kabla hujakata tamaa hebu jiulize ni watu wangapi wanaokutegemea? Ni wangapi walioko nyuma yako ambao wanatiwa moyo na mafanikio yako? Ni wangapi ambao wanaku-support? Ndio ujue kuwa kukata kwako tamaa kutaumiza wengi. Hata kama unahisi kuchoka hebu jitie moyo kwaajili ya hawa. Kumbuka maadamu unapumua bado unaweza kufanikiwa.USIKATE TAMAA, BADO LIPO TUMAINI. (Luka 18:1) #KIDOTI cc @pastor_nick_shaboka ❤
