Wanajumuiya ya Kalamazoo walijumuika pamoja siku ya jana kusherekea siku ya uhuru wa inchi ya Marekani (Indepence Day) au kama watu wengi wapendavyo kuiita 4th of July!
Kulikuwa na kula, kunywa. na kucheka kwingi!
Bibi mama Kagumba naye alikuwepo nasi
watoto, vijana, kwa wakubwa wote walifurahi sana
Mtaalam wa BBQ akifanya mambo yake ni blogger Emmanuel Turuka wa Mungupamojanasi.com
Mr and Mrs Kagumba
Hata mimi nilikuwepo 😘
Hata Charles naye alikuwepo 😉
Mwalimu Ngonyani was nice seeing you and your lovely family!
Asanteni wapendwa wote nilifurahi kuwaona wote, Mbarikiwe sana and much love!