Naomba iyelewe kuwa Siasa isn’t my cup of ‘protein smoothie’! and my knowledge is very limited kwenye maswala ya siasa. Hivyo naogopanga sana kuongelea vitu ambavyo siwezi kutolea ufafanuzi. Ila nachoweza kusema hawa wanasiasa wote haijalishi wa inchi gani, wote wana “personal” interest in everything they do or say. Hivyo kabla ya kushabikia mtu sana Jaribu kukaa pembeni na utafakari kama kweli hakuna any hidden agenda kwani usipende kuwa Nyumbu! With that being said; mimi binafsi sitokaa niongelee Siasa hapa kwa hii blog! Lakini nikipata mjadala mzuri uliopangiliwa vizuri with point za kuelimisha, nita share nanyi humu! Na ninaomba mtu asiniulize msimamo wangu au maoni yangu kwani sitakuwa nayo! I hope mtanielewa!………haya nimekutana na huu mjadala hapa by Mkandara Ebbie