Kupachika majina

Kunatabia ambayo baadhi ya watu wanayo yakupenda kupachika watu wengine majina ya bandia (labeling people) kutokana na maumbile yao kama unene au ulemavu wa kiungo fulani au mahala wanapo ishi. Huwenda wanafanya hivyo kwa kujua au kutokujua lakini kiufupi si tabia nzuri na si tabia ya kiungwana hata kidogo.

Utakuta mtu anapachikwa jina “bonge” eti kwasababu tuu ni mnene?! Tena watu wanaona sawa kabisa kuitwa hivyo bila woga! Kitu ambacho si sahihi hata kidogo, kwani huyu “bonge” anajina lake halisi, na sidhani kama kuna mtu hapa duania anapenda to be called out of their names or label them just because of the situation of which sometimes is beyond their control, or even worse it might be something that they have been struggling with it and here comes someone start to label them!!

People often take advantage of our relationships,  thinking  they have the right to justify their bad behavior because they are our sisters, brothers, cousins, etc Kwasababu hao ambao huwa wanapachika watu majina huwa ni watu wenye uhusiano wa karibuni na victim. Jamani, watu kuzaliwa au kukulia nyumba moja haimaanishi kuwa mta experience things or being treated the same way; na kila mtu mwili wake na akili (psychology) vina react tofauti hata kama is the same situation. Hivyo ku gain weight siyo mara zote zinaletwa na chukula, saa nyingine ni kwa sababu ya emotional issues ambazo mtu anazo moyoni mwake na huwenda hajapata wa kumwabia.  Every human being is fighting a battle you don’t know about!! Hivyo basi wewe mtu ambaye unatoka huko na kuanza kumpachika majina unakuwa unamuumiza zaidi badala ya kumsaidia.

Hivi mbona kuna watu hawawezi kuzaa kwa sababu mbali mbali, mbona I don’t see people walking around calling them wagumba au tasa? Why you think its okay to call someone bonge kwa sababu ni mnene? Kuna watu wana makengeza au chongo basi nao tuanze kuwaita majina kwa ulemavu wao kama tunavyo waita watu ambao ni wanene!SMH!

Wewe utajisikiaje kama ni mlemavu wa miguu au hata ndugu yako umpendaye ambaye ni mlemavu halafu watu waka mpachika jina na kumwita “kiwete” badala ya jina lake halisi? Si huungwana wala ubinadamu hata kidogo to label people or calling people out of their name especially if the name has something to do with her / his physical disability /situation. In fact no one has to adhere with anyone else’s specifications to be the person whom God created them to be!! We need to respect and be kind to one another!!

#ChangeBeginsWithYou#

Leave a Reply