Nimependa sana nywele za Neema. Naona watu wengi siku hizi wameamua kuwa na nywele fupi. Kwakweli bado tunapendeza sana na vipili pili vyetu, inaonyesha kujikubali na kujiamini. Ubarikiwe sana Neema.